kiongoz
52 posts


#HABARI Naibu Waziri wa Elimu, Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye, elimu ya msingi itakomea darasa la 6 na hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni kidato cha nne tu.
#EastAfricaRadio

Indonesia

NIGERIA: WAVAMIA HOSPITALI NA KUTEKA MADAKTARI, WAGONJWA
Tukio limefanywa na Watu wenye Silaha za Moto. Pia, wamewateka Ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la #Niger
Inadaiwa waliotekwa ni 20 na Watu watatu wameuawa
Soma jamii.app/UtekajiHospita…
#HumanRights

Filipino

MDAU: SERIKALI KUTOWEKA WAZI RIPOTI ZA UCHUNGUZI KUNALINDA UHALIFU
Anasema kumekuwa na usiri wa Matokeo ya Uchunguzi au kutojulikana hatua zilizochukuliwa akitolea Mfano matukio ya Soko la Kariakoo kuungua, Mtuhumiwa na Askari kufia Polisi Mtwara
Soma jamii.app/Uchunguzi

Indonesia

👕 Jezi bora kuanzia ubunifu hadi namna ilivyotengenezwa imefika. Hii haijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati.
Saa 5:00 asubuhi tutazindua jezi na muda huo zitaanza kuuzwa kwenye duka la Vunja Bei Sinza Madukani. #SimbaNaVunjaBei #SimbaWeek #SimbaDay #SimbaDay2022 #NguvuMoja
Indonesia

@GHMFelix @mjomba_nimama iPhone 6s plain na auzingi pia kama inapatikana
Indonesia

@ikulumawasliano @venusnyota Sa unaandika kiingereza hil iweje mbon nyie watumwa sana alafu hapo juu umeandika kwa Kiswahili Taarifa kwa vyombo vya habar
Indonesia

@swahilitimes Kwa walokamilisha leo siku 30 , hivi inakuwaje mwezi wa 30 unakuwa wa kutafuta tena? Imana kama umetimiza 30 bas ungeonekana wazi tu tena mkubwa tu, labda niulize hata kama umefunga 30 huna haja ya kuendelea je mwezi wa 30 na leo mwezi 1 umeuona?
Indonesia

@dna_bongo @MwanzoTv Kweli yaan familia ya kikwete aina huruma na watanzania wanafiki wanataman tanzania pesa zote ziwe zao
HT

@MwanzoTv She is selfish,mlafi mkubwa,hana haya kabisa,Mke wa raisi na hivi sasa mbunge,mtoto mbunge,familia ya walafi wasio tosheka,hata mpewe utajiri wa dunia nzima hamtatosheka. Hana imani huyu,haonei huruma watanzania wengi masikini. Mwisho wa siku kuna umauti na utaacha kila kitu
Indonesia

#TANZANIA: Mke wa Kikwete ataka walipwe stahiki wenza wa Rais, Makamu na Waziri Mkuu mara tu mwenza wake anapostaafu
Bofya: youtu.be/HSW_SGd89XU

YouTube
Indonesia




















