ThinkBig

3K posts

ThinkBig

ThinkBig

@ThinkBi80655747

Great Thinker

Katılım Nisan 2021
332 Takip Edilen98 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
Tunakoelekea nnadhani inafaa kupambana ili Ubunge uwe kazi ya hiari iso na malipo, iwe kama Uenyekiti wa Kijiji/Kitongoji ama Udiwani. Hii itatusaidia kupata watu bora wakuwakilisha matakwa yetu, sahii Ubunge ni kazi na wanaenda kusaka utajiri
Indonesia
2
3
8
0
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@SimbaSCTanzania Mnakatwa na vibwengo kampostie bibi yako huko shamba mshamba mmoja wewe
Filipino
0
0
0
7
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@mdh_tanzania Hao ndio Wazungu bwana, wamewateka majitu ya hovyo kati yetu alaf yanawapa pesa ili wachochee uzinzi na uasherati. Shame on you stupid people
Indonesia
0
0
0
107
Management and Development for Health
Mashine zetu za kutoa kondomu bila malipo zinapatikana: 🔹Sinza - Ambience/Corner Bar 🔹Mwananyamala - Kwa Wahaya 🔹Tandale - Uwanja wa Fisi 🔹Tabata - Kitambaa Cheupe Usiingie kazini bila zana! Linda afya yako na ya umpendaye. #untileveryoneishealthy
Management and Development for Health tweet media
Indonesia
64
76
281
51.6K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@RahmaMwita Amekuonea aibu tu alitaka kukuambia Acha kuliwa bila faida
Indonesia
0
0
0
12
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
Mzee Mwita anajua kunitibua Wallah kila Birthday yangu hua nampelekea Cake, Jana nimempelekea Cake ananambia Cake Nshapata Bado MJUKUU. 🥺😭
Indonesia
93
15
524
44K
wise melody12
wise melody12@wise_Melody12·
@nyuki_malkia Bongo ukiwa mwanaume handsome ni kosa utaskia nyoko nyoko one man down alafu kumbe ndo wanaowatombea madem zenu
Filipino
14
0
19
8.1K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Wanaume wa hivi watanitoa roho 🙌
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Filipino
210
40
1.3K
138.4K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@mwaipungu24 Kafiri wa kwanza tokea huko. Murtad hana pepo ya Mungu
Indonesia
0
0
0
13
George E. Mwaipungu
George E. Mwaipungu@mwaipungu24·
🔷🔷🔷Fr. Paulo Hassan Padre Katoliki wa kwanza kutoka Mafia akiwa na Mama yake mzazi Bi. Khadija siku ya upadrisho wake! Ni Padri wa Kwanza mzawa wa Kisiwa cha Mafia ambaye amepata upadrisho tarehe 7 Julai 2023. Wazazi wake wote ni waislam kutoka Mafia.✍️
George E. Mwaipungu tweet media
Indonesia
120
255
2.6K
113.4K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@Jambotv_ Kinachowasumbua hata si mkataba, ni Waarabu na Uislam unawatesa ila nnawapa hii, sio Waarabu wote ni waislam so vungeni
Filipino
0
0
0
138
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Askofu wa jimbo katoliki la Kahama Christopher Ndizeye ametoa barua ya kuwaalika na kuagiza juu ya Tamko la Baraza la maaskofu katoliki Tanzania kuhusu mkataba kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani na ‘Emirate ya Dubai’ juu ya Bandari zetu lisomwe jumapili ya kesho tarehe 20 Agosti 2023 ,katika Misa zote. Huku akisisitiza kuendelea kuomba mungu ili Haki,ukweli na Upendo wa dhati kati yetu watanzania viendelee kustawi ili kuleta maendeleo ya kweli katika taifa letu.
Jambo TV tweet media
Indonesia
52
65
600
80.8K
Getrude Mollel 🇹🇿
Getrude Mollel 🇹🇿@Getrude_mollel·
Charles Kitima ni chawa cha Chadema hii iko wazi kabisa, mambo haya ya kutumia Mwamvuli wa dini kupenyeza ajeda za kisiasa hata siku moja sio mazuri. Waraka wa Kanisa katoliki hauzuio utendaji wa serikali, nchi hii ina madhehebu mengi, kila dhehebu likitoa msimamo wake hakutakuwa na haja ya Katiba wala sheria. Mahakama kanda ya Mbeya ilishatoa hukumu kwamba hoja za watu wa Chadema hazina mashiko na zote zimepigwa chini.
Getrude Mollel 🇹🇿 tweet media
Indonesia
276
25
216
26.5K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@__abdulazack @lifeofmshaba Sema we jamaa una kaujinga flani, badala ujenge hoja ya maana unaleta kombolela, sasa jibu la ameenda kama nani ndio hili?
Indonesia
0
0
0
27
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Mama yake Abdul kuwa Rais tu, Abdul amepata mpaka fedha kuwekeza kwenye umama huko UGANDA 😂😂 Yaani urais unaambanata na ubillionea ndani ya miaka miwili? Lakini tunakua kuna zile billion 100 Lissu amesema zilikutwa chato CASH Sisi sio wajinga, tunajua mlikuwa wa kawaida Juzi
Think Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
22
46
149
37.1K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Haji Manara: “Naumia sana na kulaumu Serikali kukaa kimya sakata langu na TFF ilhali mi ni mwanaCCM na 'Pro Government' sijawai kuwa hata mpinzani bora hata angekuwa Mpinzani angefanyiwa haya Ila mi CCM”
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
416
55
1.4K
151.3K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Wanaume wanaoshinda gym kutengeneza miili wamekuwa wajinga wajinga tu sana
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Indonesia
168
59
2.2K
148.7K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@SheikhPonda Am a good Muslim lkn hili nnakupinga na sababu nnazo. Nyie viongozi wetu mmekosa maono ya kujenga taasisi zenu Imara ili nasi tufaidike na hii ppp mmebakia kugombania Misikiti, nambie BAKWATA wana agenda gani ya maana ya kua na taasis kama KCMC au Selian ndio muanze kulialia
Indonesia
1
0
13
555
Shekh Ponda Issa Ponda
Shekh Ponda Issa Ponda@SheikhPonda·
“Serikali inatumia Sh. 36.8, bilioni kila mwaka kwa hospitali za dini, kulipa mshahara, kununua dawa na vifaa tiba” Gazeti Mwananchi Nov. 6, 2012. Kongole serikali na kanisa. Hata hivyo muhimu mkataba uwe na ukomo ili fedha hizo 36.8bl, zijenge na kuhudumia hospitali za Taifa.
Shekh Ponda Issa Ponda tweet media
Indonesia
131
70
373
42.8K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@Gibson44178359 Wewe kilichokujaa ni Chuki na Udini. Prof Shivji ni Mkiristo? Lipumba ni Mkiristo? Haya tuambie Kibajaji ni Muislam? Msukuma je? Ukiwa na akili ndogo lazma uhusianishe Uarabu na Uislam lkn waarabu ni kabila kama wachaga tu
Indonesia
0
0
0
5
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@SuphianJuma @IssaShivji Wewe kwa ufinyu wa akili yako kumjibu Shivji ni kutaka watu waendelee kuamini zile tuhuma unazotuhumiwa nazo
Indonesia
0
0
0
10
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Prof @IssaShivji unajua wazi: Ukomo (hauzidi miaka 30) na mgawanyo wa mapato vipo mikataba ijayo ya UTEKELEZAJI (HGA na CAs), na kwamba kilichopitishwa ni mkataba wa USHIRIKIANO (IGA), kwamba tutapata faida nyingi Bandarini kuliko sasa, kwanini unatumia uProfesa KUPOTOSHA umma?
Suphian Juma Nkuwi tweet mediaSuphian Juma Nkuwi tweet media
Filipino
430
17
417
84.4K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@MariaSTsehai Haya mambo ya Vita na Jeshi ukiwa huna unalojua ya asumbua sana, ila acha nikuambie tu Madam hiyo unayoona ni propaganda yakumhadaa adui
Indonesia
0
0
0
2
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@mshambuliaji Nyie ni wasaka tonge tu, watu wa hovyo mnaonunulika kujaza matumbo yenu yasio na staha, njaa na udanda unawangaisha, wazee wa hovyo ambao matumbo yenu yako mbele kuliko vizazi vyenu
Indonesia
0
0
0
50
Doktamathew
Doktamathew@doktamathew·
@FKihamu VIJANA ACHENI KUPIGA PUNYETO,ZIKIWA NDOGO MSIJE KUSEMA SIKUWAONYA
Indonesia
7
0
18
8.5K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Kuna yule Binti flani ambaye sio wa kumpost na wala hafagilii sana kupostiwa, sio pisi kali na sio Pisi mbovu ipo tu pale kati, hana mambo mengi na ukiwa stressed ni backup nzuri kimawazo, kuna time unajikuta unamkubali sana, muda wowote wa mechi we panga uwanja na mfumo yeye atacheza tu na magoli utafunga. Hakuombi vitu na sio demanding ila unajikuta tu mwenyewe unamzingatia. Masela wengi wanae huyu kwenye PHONEBOOK, ndio ukweli😀
Indonesia
277
156
1.8K
163.6K
Doktamathew
Doktamathew@doktamathew·
@FKihamu VIJANA ACHENI KUPIGA PUNYETO,ZIKIWA NDOGO MSIJE KUSEMA SIKUWAONYA
Indonesia
2
0
13
14.3K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Simba kwenye suala zima la scouting ya Makocha huwezi kuwa na shaka hata kidogo, Sven alikuja akabeba makombe yote na kuivusha Simba makundi CAF, akaaga na kuondoka zake, sasa hivi yupo kwenye bench ndani ya fainali ya klabu bingwa Afrika. Zoran nae aliaga na kuondoka na ikachukua masaa tu kupata timu mpya huko Misri, kwa Lunyasi hapo Mchawi bajeti tu za kusalia na Makocha wakubwa dhidi ya ofa za Kaskazini, hata Robertinho ni suala la muda tu. Siku moja nilikuwa napiga stori na Kiongozi mmoja akaniambia “Kijana wangu kuna ofa zinakuja hata wewe unaona aibu kumkataza Mwalimu”😀 kiukweli timu zetu kutoka huku Kusini ni kama dhambi kufanya vizuri, Kaskazini wanabeba kila zuri. Na Sven hakuondoka kirahisi CEO @bvrbvra alipambana nae sana kuhakikisha anabaki Mtalaam ila akawasogezea kete ya kuwa ni suala la familia yake😀 VISIT MOROGORO🇹🇿
Farhan Kihamu Jr tweet media
Filipino
63
43
2.1K
149.7K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@iamKaga Mimi bwana nilishajua namba haipandi na sikuwahi kuhangaika nayo, nikakomaa zangu na masomo yangu 6 huku nkijua hilo la 7 nnafeli nikajipigia zangu c 5 na d na mswaki na A level nkaenda na leo niko hapa. Waliokomaa na hesabu wakafeli kila kitu
Filipino
1
0
1
292
K A G A
K A G A@iamKaga·
KWANINI TULIIBA NECTA? Wakati niko Form 4, kuna jamaa yangu somo la hesabu zilikuwa hazipandi, wakati nazielewa kinyama. Akamuambia Mama yake kuliko aibisha ukoo, bora anunue pepa zilizovuja. Mama yake akamuambia atam support kuzinunua By that time pepa zilikuwa zinauzwa 150k
K A G A tweet media
Indonesia
30
37
282
53.9K
Zayed Bakhresa
Zayed Bakhresa@zayedbakhresa·
Headlights
Zayed Bakhresa tweet mediaZayed Bakhresa tweet mediaZayed Bakhresa tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
116
201
3.9K
306.1K
ThinkBig
ThinkBig@ThinkBi80655747·
@eastafricatv Huyu Ndaza alishaaminisha watu ana akili na sasa anatumia ujinga wa wengi kula haram
Indonesia
0
0
0
83
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
"Nimesimama kuzungumzia sakata linaloendelea kwenye mitandao, na moja ya mambo ya hovyo katika mitandao hiyo na mimi nimetajwa, sioni ajabu wala siogopi kusema mimi ni mmoja wa wabunge ambao tulisafiri kwenda kujifunza na kuona uwekezaji nchini Dubai,"- Msukuma, Mbunge wa Geita
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
175
25
1.2K
142.7K