KONG
1.1K posts


@Geofreik @shabiki_jr Niliiiifuta nikasema how comes mb zangu nyingi nikaifata recycle bin
Indonesia

@shabiki_jr Movie ni kali, wakati inaanza unaweza usiipende lakini kwa kadri inavyo endelea ndivyo inakuvutia zaidi... but nimewaza ni kama inaelekea kufanana na season ya FROM kwa namna fulani ivi
Indonesia

@mbwanga_ @P8Anco @SimbaSCTanzania Fa Simba ashiriki kwahiyo miaka mitatu Simba alikua ana shirika Mo Dewji Family Premier League
Indonesia


@Miss_amyrah11 Pombe
Haya mambo ya birthday
Mambo ya mwanaume kwenda harusi
Filipino

@ahmed__ally Ivi @ahmed__ally mm kama mwana simba nkitaka kuisupport team angu kwa kununua hisa ata za af40 40, nafanyaje? kama wafanyavyo @CRDBBankPlc n.k
Indonesia

Ubingwa wa PSG kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na Pyramids kwenye Ligi ya mabingwa Afrika ndio mapito ya Simba Sports Club
Mwaka 2011 PSG ilininunuliwa na Qatar Sports Investments kwa hisa za asilimia 87.5 baada ya hapo Tajiri amejaribu kutawala soka la Ulaya lakini hakufanikiwa
Safari yake imeenda sambamba na kusajili wachezaji wakubwa duniani kama Messi, Neymar na wengineo lakini bado hakufikia malengo
Miaka 14 baada ya uwekezaji wake ndio PSG imefanikiwa kubeba Ubingwa Ulaya.
Pyramdis ilinunuliwa na Tajiri kutoka Falme za kiarabu (UAE) Salem Al Shamsi mwaka 2019.
Baada ya Al Shamsi kuinunua Pyramids imemlazimu kusubiri kwa miaka sita kuchukua ubingwa wa Afrika
Njia ya Tajiri wa PSG na Pyramids ndio anayopitia Tajiri wa Simba Sports @moodewji
Mo Dewji ameingia rasmi Simba mwaka 2018 akiwa Mwekezaji wa hisa 49, ndani ya miaka saba ya uwekezaji wake Simba imecheza Fainali ya Afrika
Hii ni hatua kubwa sana kwa Simba na Mo Dewji kwenye malengo yao kutawala soka la Afrika.
Muhimu kwetu wana Simba ni kuwa na subira, ukubwa wa Afrika ndio kitu tunachokitafuta hivi sasa na hatupo mbali kufikia
Tumpe support mwekezaji wetu kama walivyofanya PSG na Pyramids na tuendelee kuinga mkono timu yetu bila kuchoka

Filipino

@fumbokhanJr @ahmed__ally Fumbo naskiaga wanasema hauna akili ila we jamaa bright sana Leo umeongea point sana
Filipino

@ahmed__ally PSG inasajili wachezaji Quality alafu sisi tuna sajili Ateba, na Mukwala Mechi mbili Shots on Target 1 na bado tunapata Ujasili wa Kuifananisha Simba na PSG.
I think hii point haiko sawa ata Kidogo
Indonesia

In my opinion; Omar Artan is the best young referee in Africa. 🚨🇸🇴
On our way for the final, I was just sitting next to him on the plane.
I saw him pull out his iPad then started to watch some few games of Sundowns and Pyramids.
He also watched his own performances from other games he officiated and sat down quietly to analyze them.
Artan also explained to me some decisions and calls they do make on the field after asking him questions.
I have never seen a young referee who is this intelligent.
He’s really knowledgeable and has deep understanding of the game.
I am not surprised about his excellent performances yesterday. 👏
At the next CAF Awards, he deserves the Referee of the Year accolade.
Thank you Somalia for giving us such a top class referee. Hopefully, you’ll continue to give us more in years to come.
#CAFCLwithMicky
#TotalenergiesCAFCL
#Somalia
English

Defeat in Cairo, but this journey was driven by your unwavering support, Masandawana. We will come back stronger.
Pyramids FC (23’ Mayele, 55’ Sami) 2️⃣ (3)➖(2) 1️⃣ Mamelodi Sundowns (75’ Rayners)
#Sundowns #TotalEnergiesCAFCL #RabatsenaGape

English

Ndio muda wa kuangalia hii Movie..
Nilikua nasubiria itoke Safi 😅😅

Latto 𝕏@Rydx_017
Yoooooo! Guys!! Nimetoka Angalia Trailer la Hii movie mpya "SINNERS" Excitement level yangu iko juuu 🙆♂️🙆♂️ Huyo Michael B. JORDAN humu ndani... Angalia mwenyewe.... Video kwa Comments 👇
Indonesia

























