Southerner🇹🇿

2.4K posts

Southerner🇹🇿 banner
Southerner🇹🇿

Southerner🇹🇿

@Lufingo16

@mbeyaboy rip to my beloved ones!!. always try to be the best!.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2020
299 Takip Edilen427 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@nyuki_malkia Dear Lord, Today, I pray for boundless energy, unstoppable faith and relentless determination in pursuit of my dreams! Lord, God, change my unmanageable sadness and anxieties into unmanageable achievement, progress, economic success, joy, and gratitude. In Jesus’ name. Amen🙏🏾
English
5
1
6
0
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@EsirEid Sasa maslai ya Saudi yapo wap,, sabab ni partnership Iran angekuwa hataki ilo basi angetoa yeye hela ili iwe Arabian Iranian Oil Company
Filipino
0
0
0
2
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@JuvenaryJM @fumbokhanJr Taperi tu huyu katanguliza udini kuliko uhalisia wa jambo/mambo eti vyombo vya habari vimeminywa,cjui anafikiri ni kama tbc yetu ...mfano VOA ipo USA na bado inamshambulia Trump kama sio rais wa US
Indonesia
0
0
1
7
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@fumbokhanJr Kwani hakuna vyombo vingine vinavyo aminika vya kutangaza mashambulizi y IRAN dhidi ya Israel?! Mpaka msubiri CNN/BBC watangaze?! Kwani Al Jazeera,RT-russia na vyombo vya China ambao kimsingi na rivals wa Israel hawawezi kutangaza uhalisia wa mambo?!
Indonesia
2
0
2
250
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Jana Iran imeishambulia vibaya mnoo Israel Ila huwezi kuona Media ziki report kama wanavyo shambuliwa IRAN. Israel na US wameminya uhuru wa vyombo vya Habari vikubwa vyote. US Jana Kaongeza wanajeshi Elfu moja tena, Sema IRAN ni team kazi haswaa.
Indonesia
27
7
131
5.1K
Joti
Joti@JotiOfficial·
Kwa hiyo kupata Kombe inabidi tuvamie Ikulu 😂😂
Joti tweet media
Filipino
26
38
1K
20.4K
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@Lissu4change @ayubu_madenge Sasa wew na akili zako za kibongo unatukana watu kila siku eti Marekani apigwe sijui haitak Iran sasa ubaya wote unaoona wewe unafikir uyo Larijani alikua haoni na akamuacha binti yake uko na sio Larijani tu viongozi wengi wa Irani watoto/ndugu wapo USA kwa ajil ya elim au maisha
Indonesia
0
0
0
30
Abo Taleb🇹🇿🇵🇸
Abo Taleb🇹🇿🇵🇸@Lissu4change·
@ayubu_madenge US ina pambana kuondoa utawala wa Iran ili kuiba mali za wairani na sio familia ya larijani.. Asa huelewi nn hapo.. Nyie watu wa scholarship shida sana...
Indonesia
4
0
12
3.6K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mtoto wa kike wa Ali Larijani (kiongozi wa Iran aliyeuawa) anayeitwa Fatemeh Larijani amesoma Marekani, akawa daktari bingwa wa Kansa Marekani na akaajiriwa na Chuo kikuu cha Emory. Tena 2021 akapewa “Green Card” kibali rasmi cha kuishi Marekani. Hii dunia ni ngumu sana kuielewa
Ayubu Madenge tweet mediaAyubu Madenge tweet media
Indonesia
47
77
1.1K
43K
Kyambo
Kyambo@prince_massawe·
@EsirEid Tajiri kwanini usikabali yaishe huyu jamaa yupo na akuna wakumfanya kit
Indonesia
2
0
24
2.3K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Benjamin Netanyahu alifariki tarehe 8 Machi. Hii ndiyo sababu Yair Netanyahu (kijana wake) alichukua mapumziko yasiyo ya kawaida ya siku 7 kwenye X, kwa ajili ya kipindi cha maombolezo cha Kiyahudi kinachoitwa shiva. Aliandika mara ya mwisho tarehe 8 Machi, kisha akasubiri siku 7 kamili hadi tarehe 15 Machi ndipo akaretweet post😅
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
66
20
397
34.5K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Unasemaje Mwamuzi msaidizi kakataa Goli halali…? Maaana yake kuna Rushwa…? Simba wakidai Goli lao na alama Tatu mtawapa…? . Achana na Offside ya DUBE ambayo nina Uhakika DUBE angekosa sababu ni mchezaji wa Kawaida, lakini kusema mwamuzi msaidizi kakosea maana👇
MeaMswahili tweet media
Indonesia
24
4
197
16.5K
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@EsirEid Hivi by nature Muislam anasimama na Iran na Mkristo anasimama na Israel sabab asili ya uislam ni Palestina na asili ya Ukristo ni Israel sasa Iran imeingiaje apo ni suala lingine ila naweza kulijibu pia
Indonesia
1
0
0
12
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
Walijaribu kutrendisha sherehe ya kuzaliwa kwa mhaini wao, ikafeli. Kisha kumbukizi ya miaka 33 ya chama chao, nayo ikafeli. Mwisho wakaratibu tukio la makusudi ambalo walijua litazuiwa na Jeshi la Polisi, Ili wapate sababu ya kutrend. Kiufupi hiki chama kimeshakufa muda sana.
MK47TA tweet media
Indonesia
71
20
39
5.5K
Joseph Nyanshoke
Joseph Nyanshoke@JNyanshoke·
@nyuki_malkia Story ya stamina inaumiza .. Ila ya mabaeste inaumiza Zaidi, Nadhani Yule mwanadada amesha regret na ana wish time irudi nyuma arekebishe alipokosea .
Filipino
5
1
23
9.2K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Jamaa aliyegongewa mke na mchezaji wa Simba sidhani kama ataoa tena 🙌
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Filipino
28
27
801
104.8K
Sadah Chelsea💙
Sadah Chelsea💙@SadahMsangi·
Kuna umuhimu gani wa mwanaume kwenda kulala kwa mwanamke ambaye hajamuoa na angali una kwako😂🙌 kuna huyu kafumaniwa na mwenye nyumba yake sasa… usiwaamini sana wanawake mtakuja kuuliwa vibaya sana😅
Filipino
28
25
358
17.2K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Baba wa Siasa, Baba wa Hekima na Busara, Baba wa Amani…. Sisi vijana wako tunaamini kwamba ungekuwa bado kiongozi wa kisiasa hakika Watanzania wasingeuawa 29 Oktoba 2025, Sisi vijana wako tunaamini kwamba ungekuwa kiongozi wa kisiasa Taifa lisingeingia katika mgogoro na mkwamo huu. Sisi vijana wako tunaamini Watanzania walifanya makosa kukukosa, na taifa linajuta kukukosa. Sisi vijana wako tunakuombea uendelee kutulia, uendelee kulea wajukuu kama walivyotamani iwe na ikawa, Endelea na maisha yako nje ya siasa. Wewe ni baraka muhimu ya taifa uliyekuwa kiunganishi imara kati ya hasira ya umma na hekima ya taifa. Sasa taifa limepatikana, wawashindi wanahofu, wamekosa tumaini majuto yako vinyani mwao. Endelea kuifaidi furaha ya dunia ukiwa nje ya siasa baba. Wale vijana uliowaamini hata katika nyakati ngumu, wale vijana uliowafungulia dunia wakaitwa watu mbele za watu, wamekusaliti na wanaendelea kukudhalilisha mchana kweupe, Haujawahi kuwa na kisasi, wala hujawahi kutufundisha visasi. Baba ukimya wako ni adhabu kubwa kwa maadui zako. Tuliowema kwako tunafurahi tuonapo majibu ya karma. Sisi vijana wako uliotuleta na kutufunda, tutakuenzi na kuilinda legacy yako daima. Wewe ni Baba wa siasa na hekima za nera Afrika. Heri ya Mwaka mpya Mh @freemanmbowetz
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
226
13
111
68K
Aimee 🤍
Aimee 🤍@aime_mwizaa·
Can relationship survive without sex? 🤔
Aimee 🤍 tweet media
English
1.1K
93
3.7K
341.5K
izzo Bizness MINDSET
izzo Bizness MINDSET@Izzo_bizness·
Nawatakia Nyote Heri Ya Sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya Mwema Uliojaa Amani, Afya Njema, Na Baraka Tele. Upendo Wenu Ni Nguvu Yangu. MUNGU NI MWEMA 🙏🏽.
izzo Bizness MINDSET tweet media
Indonesia
8
4
24
1.5K
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@YerickoNyerereT Yeriko ni mjinga mjinga mmoja ivi,,hata watu waliokuwa wananunua vitabu vyake sijui hawakujua wanapewa elimu na mtu asiyekuwa na elimu
Indonesia
0
0
0
43
BlockLayer Podcast
BlockLayer Podcast@BlockLayerPods·
Pick your lucky number from 1–50. 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 1 numbers hide a surprise! 4 Winners picked will be picked randomly in 24 hours. Comment your pick.⬇️🏆
English
6.8K
339
2.6K
593.6K
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@EsirEid Halafu niwe katibu mkuu wa wizara yako nitoe baadhi ya masomo, topic au subtopic kupunguza adha kwa wanafunzi kutumia mda mrefu shule kusoma masomo au topic zisizo na umuhimu.
Filipino
0
0
0
18
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya CHADEMA tukija kuchukua Nchi… Rais Mteule LISSU anikabidhi Ministry Of EDUCATION. Baada ya Kuapishwa tu- Nitapiga Marufuku wanafunzi KuCopy Notes kutoka kwa Text books kuja kwa Exercise Books. Kwanza kwa nini tunafanya hivyo? Haina maana kabisaa… hii ni mbinu ilitumika na ma babu zetu- maana kipindi kile hawakuwa na uwezo wa kila mwanafunzi kumiliki TEXT BOOKs. Yaani atakachokuwa anafanya labda kutake summary kwenye daftari. Tutahakikisha kila mwanafunzi anakuwa na vitabu vya kusoma, All subjects. Vitakuwepo kwenye Library ya shule. Vitagawiwa Bure… KENYA rais Mwai Kibaki alifanya hivi 2005 na ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa. Mwanafunzi anaenda shuleni na Uniform na begi baasi- tools zote atazipata shuleni. Hii itasaidia ndani ya mwaka mmoja mwanafunzi anasoma madarasa mawili. Kila darasa miezi sita tu! Maana hakuna sehem imeandikwa mtu akae darasa moja mwaka mzima- afterall muda mwingi unatumika kuCopy notes ambazo tayari tutakua tumeupunguza. Hata hivyo tuna move pia kwa digital world- Technology - mambo ya madaftari hayatakua na nafasi tena! 1/2.
Indonesia
166
236
1.4K
39K
Southerner🇹🇿
Southerner🇹🇿@Lufingo16·
@ccm_tanzania Huduma ya afya Zanzibar bure uku tunalipishwa mfano kujifingua ilikua bure saiz bila hela hakuna huduma
Indonesia
0
0
0
62