Manengelo Aman

12K posts

Manengelo Aman banner
Manengelo Aman

Manengelo Aman

@ManengeloA

Katılım Ağustos 2020
1.4K Takip Edilen849 Takipçiler
Manengelo Aman retweetledi
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
@Imanrashid91 Najua mengi mpaka Mungu anisemeshe ndiyo nasema! Mbona najua sana Bashiru Namroga Meko 24/7 lakini bila kibali siwezi sema!
Indonesia
7
2
22
0
Manengelo Aman retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Je wajua kuwa katika historia ya Marekani Mwanamke hajawahi kuwa rais wala makamu wa rais lakini mwaka huu Kamala Harris amechaguliwa kuwa Makamu wa rais na mume wake atapewa heshima ya kuitwa “Second Gentleman”. Je akipatikana mwanamke rais mume wake ataitwaje? #ElimikaWikiendi
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
15
21
163
0
Manengelo Aman retweetledi
LYENDA
LYENDA@IamLyenda·
"Sisi hatukwenda msituni kupigana ili nchi hii itawaliwe na mwanamuziki. Hatutakubali @HEBobiwine aje kuwa Rais wa hii nchi,"... Waziri wa Haki na Masuala ya Katiba nchini Uganda, Jenerali Kahinda Otafiire.
LYENDA tweet media
Indonesia
35
14
98
0
Manengelo Aman retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
“Vitendo vya ukatili na ulaghai uliofanywa na NEC kwa kushirikiana na vikosi vya jeshi la Tanzania, vyombo vya ulinzi na usalama vya kijeshi na utawala wa eneo na mkoa katika siku ya kupiga kura vinatakiwa kulaaniwa na kukomeshwa” - @idualliance, #ChangeTanzania #ChaguziHuru
Filipino
0
5
56
0
Manengelo Aman retweetledi
mbise
mbise@mbisee·
#FreeTitoMagoti #FreeTheo. Haya ni matumizi mabovu ya rasilimali Askari yaani ni kama tunajihujumu wenyewe. Hii haina tofauti mtumishi hewa unamlinda mtu ambaye hana kosa halafu utasikia Askari hawatoshi kama ni hivi kweli hawatoshi. @iAlenOfficial @Queen_com1 @lifeofmshaba
mbise tweet mediambise tweet media
Indonesia
4
14
80
0
Manengelo Aman retweetledi
Four
Four@24onFour·
@PatricOleSosopi Na fidia kwa nini zinakwenda kwa DPP ? najua huu upumbavu wa watu kutubu kisha wanabadilishiwa charges zao aliutoa meko tena hadharani tu. Sasa ndo tujue kuna siku benk inaweza kupewa kesi na hela zetu zikapelekwa kwa DPP.
Indonesia
0
2
8
0
Manengelo Aman retweetledi
#ChangeTanzania
#ChangeTanzania@ChangeTanzania·
VIDEO: Disemba 23, 2019 siku tatu baada ya kutekwa Tito Magoti Kamanda wa Polisi Kinondoni alikana kumkamata na Kumshilikilia Tito Magoti huku akisema aliwasiliana na maofisa wa polisi Dar es Salaam lakini nao walikana kumshikilia. #FreeTitoMagoti #ChangeTanzania
Indonesia
23
45
214
0
Manengelo Aman retweetledi
Henry Kilewo
Henry Kilewo@HenryKilewo·
Watu wema wakaapo kimya inawezekana watu wakaaminishwa kuwa Jehanamu ni Peponi na Peponi ni jehanamu.
Indonesia
1
5
18
0
Manengelo Aman retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
“Huwezi kumnyima mtu haki yake kila mara ukadhani kila muda atakuwa anavumilia tu.”- Padre Charles Kitima #ChangeTanzania #ChaguziHuru
Think Different tweet media
Indonesia
5
8
70
0
Manengelo Aman retweetledi
Manengelo Aman retweetledi
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Nakumbuka tulisema Kipaumbele isiwe DUDE la Bilioni 600. Serikali iwekeze kwenye Elimu. Wakaja watu wakasema sisi si WAZALENDO na Serikali ikiwekeza kwenye NDEGE tutapata hela za kujenga Shule! 🤣🤣🤣 Haya bado Serikali inawekeza kwenye ndege lakini watoto laki 7 hawana madarasa!
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume

Watoto 70,000 watakosa kujiunga Form 1 mwakani kwa upungufu wa madarasa na vifaa. Swali 1. Serikali ilikuwa haijui kuna watoto wangapi Std. 7? 2. NBS ilishindwa kutoa takwimu ya watoto wanaotegemea kufaulu ili Serikali ijiandae kujenga madarasa? 3.kwanini Serikali haijajiandaa?

Indonesia
24
27
246
0
Manengelo Aman retweetledi
Reuben Lukumay ole CDM
Reuben Lukumay ole CDM@ReubenLukumay·
Tangu 2015 tumekuwa tukipita katika nyakati ngumu. Hatupo huru kabisa tukiwaacha watesi wetu waendelee kuchanua mabavu yao huenda kukawa na hatari kubwa zaidi mbelen. Chombo chetu cha kudai haki kwa maana ya mahakama imepokwa mamlaka yake. Ni wapi pakukimbilia? #FreeTheoAndTito
Reuben Lukumay ole CDM tweet media
Indonesia
3
23
160
0