Mapunda Simba
562 posts
























Alaaaa Watu hawajui na wanachanganya mradi wa Hoima crude na biashara ya Dangote. Hivi ni vitu viwili tofauti kimkakati kabisa. Hoima crude ni resource ya Uganda na njia yake kubwa tayari imefungwa kupitia EACOP kwenda Tanga kwa soko la nje. Dangote refinery ni biashara binafsi ya usafishaji na usambazaji unaotafuta crude supply, fursa za masoko na uwezeshwaji Afrika Mashariki. kifupi Aliko kanusa fursa EAC watu wapo desperate washaanza kubabaika. Si kwamba Dangote ndiye anakuja kuokoa mradi wa Hoima au ndiye owner wa crude ya Uganda hapana. Uganda na Tanzania tayari walishafanya maamuzi yao ya kimkakati kuhusu Bomba la mafuta. Njia ya usafirishaji, pamoja na malengo ya mbeleni kuhusu refinery pamoja na nani wa kushirikiana naye. Mnapaswa kuelewa kenya kuwa na refinery hakubadilishi moja kwa moja control ya Hoima crude wala haifuti strategic advantage ya bomba la mafuta kupita Tanga. Wacha inyeshe tuone panapo vuja 😂😂😂



















