Fox miah wolf

865 posts

Fox miah wolf banner
Fox miah wolf

Fox miah wolf

@miahhwolf

❌no freedom of speech🤞/ ❌ good democracy🇹🇿/ Free Tz.. #new_constitution.. free activist!!

Katılım Ekim 2021
345 Takip Edilen198 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
The Universal Declaration of Human Rights (1948)—Article 19 states that "Everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media....
English
0
0
1
0
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 188 Mahakama imerejea. Majaji wameingia muda huu saa tisa. Mhe. Tundu Lissu yupo. Cha ajabu Mawakili wa Serikali hawapo. Mh. Lissu ameuliza Jamhuri imekimbia. Watu wanacheka.😂😂😂 Majaji wako pale mbele. Hakuna kinachoendelea muda huu. Sasa wanaingia baada ya kuwaweka Majaji dakika kama 20 hivi. Anasimama Renatus Mkude anasema Waheshimiwa Majaji tunaomba radhi kwa kuchelewa kwa niaba ya wenzangu naomba mtusamehe. Tunae shahidi mwingine tunaomba kuendelea. Majaji wanaandika kidogo Shahidi anayefuata ni P4 na ataongozwa na Wakili Winiwa Kasawa. Huyu ni Shahidi anayelindwa sasa Winiwa anajiandaa kuja kumuhoji P4 ambae ni Shahidi wa 10 wa Jamhuri. Jaji anamuuliza una miaka mingapi? Shahidi wa kificho P4: 29 Jaji: Dini yako? Shahidi wa kificho P4 : Mkristo. Jaji: Haya muapisheni. Anaapishwa hapa P4 Wakili: Wewe ni mkazi wa wapi? Shahidi wa kificho P4 : Arusha. Wakili: unajishughulisha na nini: Shahidi wa kificho P4 : Dereva Bajaji. Wakili: unafanyia wapi hizo bajaji? Shahidi wa kificho P4 : Kwa Mrombo. Wakili: Unakumbuka nini tarehe 03/04/2025 Shahidi wa kificho P4 : Nakumbuka tarehe hiyo majira ya saa sita mchana nikiwa natoka nyumbani nilifika mahali nikasimama mahali kusubiri wateja. Nikawa naperuzi kwenye simu yangu nikaingia kwenye mtandao wa Youtube. Nikakutana na habari za Mwenyekiti wa Chadema. Anaitwa Tundu Lissu Wakili: nini kiliendelea? Shahidi wa kificho P4 : Akawa anaelezea kuwa amejipanga kuzuia uchaguzi. Wakili: Kingine nini uliona? Shahidi wa kificho P4 : Alisema watakinukisha maana hawana imani na Uchaguzi. Kwani hata Majaji ni vibaraka wa CCM. Wakili: ikawaje? Shahidi wa kificho P4 : alisema hawana imani na tume ya Uchaguzi kwani imevuruga uchaguzi mdogo wa 2024 kwahiyo hawana imani na tume. Wakili: nini kingine? Shahidi wa kificho P4 : Hata Polisi wanashiriki kuiba kura. Wakili: ikawaje sasa? Shahidi wa kificho P4 : Maneno yale yalini convice kusapoti alichokuwa anakisema. Wakili: Nini kingine kiliendelea? Shahidi wa kificho P4 : Abiria wangu walifika niliwapeleka kwa Mrombo na baadae kijiweni. Wakili: Nini kilikuwa kimeku convice? Shahidi: Maneno ya kwamba tutafanya uasi, tutakinukisha na hivyo vyombo vyote kuwa hawezi kuviamini. Wakili: Yalikushawishi nini? Shahidi wa kificho P4 : Hali ya maisha ni ngumu sana ndio maana nikashawishika. Wakili: Kingine je? Shahidi wa kificho P4 : Nikarudi kwa Mrombo pale maana nilikuwa nimeshawapeleka wateja wangu. Wakili: Nini kikaendelea? Shahidi wa kificho P4 : Walikuwa wanasimuliana pale kijiweni kuhusu Mwenyekiti wa Chadema alivyokuwa anazungumza pale kijiwe cha Bajaji. Wakili: nini kikaendelea? Shahidi wa kificho P4 : Watu wengi walikuwa wanaunga mkono wanasema bora kinuke ili unafuu wa maisha upatikane. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Wana kasi wawe taratibu. Wakili: Nilikuuliza akina nani hao? Shahidi wa kificho P4 : madereva bajaji wenzangu na mwenye kiduka pembeni. Wakili: ikawaje? Shahidi wa kificho P4 : Nilishangaa Polisi wametuvamia na kila mtu akakimbia ila nikakamatwa Mimi na Mwenzangu ambae ni P7. Tukapelekwa kituo cha Murieti na Baadae Central Mjini. Wakili: Ikawaje? Shahidi wa kificho P4 : Tukaambiwa pale Polisi kuwa tunazuia Uchaguzi. Tukawekwa ndani. Wakili: nini kilifuata? Shahidi wa kificho P4 : Tuliandikwa maelezo tukawekwa ndani. Wakili: Ikawaje tena? Shahidi wa kificho P4 : Wakaja mdogo wangu na Dada angu kuniwekea dhamana. Wakili: Walijuaje? Shahidi wa kificho P4 : Tulikamatwa watu wakiwa wanatuona. Walituwekea dhamana na Polisi walitupa utaratibu wa kwenda kuripoti kila siku. Part 189 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba repost yako.
Indonesia
23
421
1.1K
52.2K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@HildaNewton21 Police wanaitelejensia kali kwahyo wakaona shahidi hata km hajatishiwa ila tumuombe kujificha kwenye mbao aweze kusoma script
Indonesia
0
0
3
1.2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 190 Mhe. Lissu anaendelea na kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P4 Mhe. Lissu: Ulisema ulikuwa unaperuzi kwa simu yako majira ya Mchana, waeleze kwenye hayo maelezo, maneno hayo yapo? Shahidi wa kificho P4 : yuko kimya. Shahidi wa kificho P4: anajibu sasa: Haipo. Mhe. Lissu: Pia leo umesema wakati ninahutubia mkutano nilisema tutakinukisha. Onyesha hayo nayo yapo wapi kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P4 : Hayapo kabisa. Mhe. Lissu: umesema kuwa nitafanya fujo kuzuia uchaguzi, hayo maneno umeyasema au hujasema? Shahidi wa kificho P4 : nimesema na hayapo kwenye maelezo yangu. Mhe. Lissu: Unasema mlihojiwa halafu mkawekwa ndani tuonyeshe kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P4 : Hapa hayapo. Mhe. Lissu: Tarehe 04/04/2025 ulisema walikuja Dada yako na mdogo wako. Hayo nayo yapo kwenye maelezo? Shahidi wa kificho P4 : Hayapo. Mhe. Lissu: Siku hiyo wakati unahojiwa na Polisi hawakukuuliza kama unamfahamu Tundu Lissu? Shahidi wa kificho P4 : Niliwaambia namfahamu ni mwanasiasa mkubwa. Lissu : Sasa tuoneshe ni wapi umeyaandika kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P4 : hayapo. Lissu: Je ulitumia Computer? Shahidi: siwezi kumiliki computer nilitumia simu Lissu: Wengi wenu mlikuwa mnaunga mkono bora kinuke. Je kusema hivyo ni kosa la jinai? Shahidi: Mimi sio msimamizi wa sheria siwezi kujua. Lissu: Kuhamasika na maneno kwamba Uchaguzi unaibiwa na wagombea wa Chadema wanafutwa ni kosa la jinai? Shahidi: Sijui. Lissu: Majaji ni vibaraka wa CCM ni kosa la jinai? Shahidi: Sijui Lissu: Na polisi kuwa ni wezi wa kura wanashiriki kuiba uchaguzi nalo ni kosa? Shahidi: Sijui Lissu: Umesema sana maneno kukinukisha. Je unajua maana ya neno kunuka? Shahidi: Kitu kinachotoa harufu mbaya. Lissu: unajua maana ya neno kunukia? Shahidi: Kutoa harufu nzuri. Lissu: Mtu akisema atakinukisha anaweza kuwa anaamisha atafanya harufu iwe mbaya? Shahidi: Inategemea na maana ipi? Lissu: Na kunikia vizuri pia inaweza kuwa ni kukinukisha. Shahidi: hiyo ni lugha ya mtaani. Lissu: Mtaa upi? Mimi mtaani kwangy hakuna hiyo lugha. Shahidi: tunakoishi hayo maneno tunayasikia. Lissu: Unajua kwenye uchaguzi wa mitaa wa 2024 CCM ilishinda asilimia 100 na wapinzani walifutwa wote? Shahidi: Ndio CCM ilishinda. Lissu: wagombea wa Chadema walifanywa nini? Shahidi: Hawakuwepo kwenye uchaguzi Lissu: Ninaposema wasimamizi wa uchaguzi wanafanya mambo ya hovyo ninaposema tuwaondoe nakosea hapa Shahidi: Sijui Mhe. Lissu: Unajua Tume ya Uchaguzi ilisema wagombea wa Chadema hawaruhusiwi kugombea uchaguzi wa mwaka jana na wa miaka mingine mitano Shahidi: Sijui Lissu: Je umewahi kuwasiliana na Polisi tena baada ya kuandika maelezo. Shahidi: Juzi Tarehe 15 waliniita Polisi. Mhe. Lissu: Kwahiyo waliokwambia kuna wito wa Mahakama ni Polisi? Shahidi wa kificho P4 : Ndio. Mhe. Lissu: Kwahiyo kuanzia tarehe 17/04 hadi hiyo juzi hukuwahi wasiliana na Polisi? Shahidi wa kificho P4 : Sikuwasiliana nao. Mhe. Lissu: Je ulitishiwa na mtu yeyote? Shahidi wa kificho: hapana Mhe. Lissu: Sasa waeleze majaji kwanini umejificha kwenye hizo mbao? Shahidi wa kificho : Nahofia maisha yangu. Mhe. Lissu: Nani aliyekufundisha hayo maneno wakati umesema hakuna aliyekutisha? Shahidi wa kificho : sijasema kama nimefundishwa. Mhe. Lissu: Unajua polisi wamekuja mahakamani na kuomba amri ufichwe kuwa unatishiwa? Shahidi wa kificho: Sijui. Mhe. Lissu: Video uliyoiona Youtube umeiwasilisha Mahakamani Shahidi wa kificho : Hapana. Mhe. Lissu: Je umesema kokote hiyo video uliangalia kupitia wapi? Shahidi wa kificho : Habari24 ndio niliangalia. Mhe. Lissu: Umeweka hayo kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho : Hapana. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji nimemaliza kwa Shahidi huyu. Part 191 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Indonesia
20
428
1.1K
35.2K
Lambert
Lambert@Em23_Kenan·
@HildaNewton21 Mhe. Lissu: Je ulitishiwa na mtu yeyote? Shahidi wa kificho: hapana Mhe. Lissu: Sasa waeleze majaji kwanini umejificha kwenye hizo mbao?
Filipino
2
0
25
2.9K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@Rahma_Simba Asee kweli sab ushaidi ulikua mzito sanaa....pia shahidi alisahau kifungu cha PGO kinachoonyesha kujiandikia maelezo ya onyo peke yake
Indonesia
0
0
0
12
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
Lissu alishindwa kuleta hoja nzito za kisheria zinazoweza kupinga ushahidi uliowasilishwa
2
0
0
128
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
*LISSU AANGUKIA PUA, USHAHIDI WA POLISI WATHIBITISHWA* Kisheria maswali ya Lissu hayakuweza kubomoa ushahidi wa msingi kuhusu tukio la Mromboo, bali yalionekana kuthibitisha weledi wa polisi. Badala ya kuonyesha dosari katika operesheni ya polisi au ushahidi wa watuhumiwa,
One Sister tweet media
Indonesia
16
18
19
1.6K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@N37231Grace @AloyceMakotha Mkuu wana akili timamu kabisaa ila hapo kinachofanywa na hao ni kazi ya makusudi c wanalipwa?! Kumbuka wale waliokua wanaandamana Marekani badae wakaenda kuunga mstari wa kulipwa utanielewa kaka😁
Indonesia
1
0
0
8
Jurist
Jurist@N37231Grace·
@miahhwolf @AloyceMakotha An Hawa jamaa akili Zao sijui wamezaliwa kwa wa mama wa aina gan aisee 🤣🤣🤣
Indonesia
1
0
1
14
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@Chaporah2 @HildaNewton21 Ukirud kwa Shaid wa nyuma...police ukiunganisha unaipata hyo chain of custod kua police wamejuaje... Lkn ni mambo yamepangwa kupata mtiririko wa uongo uongo
Filipino
1
0
1
61
Chaporah
Chaporah@Chaporah2·
@HildaNewton21 Polisi walijuaj nyie mnaongelea uchagu? Kunamambo yanatia hasira aiseee
Indonesia
1
1
9
2.6K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@Aduiwayanga Hii redio ya mbao inasifia police kujiandikia maelezo mwenyewe😁
Indonesia
0
0
1
345
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
LISSU AANGUKIA PUA, USHAHIDI WA POLISI WATHIBITISHWA Kisheria maswali ya Lissu hayakuweza kubomoa ushahidi wa msingi kuhusu tukio la Mromboo, bali yalionekana kuthibitisha weledi wa polisi. Badala ya kuonyesha dosari katika operesheni ya polisi au ushahidi wa watuhumiwa, Lissu alishindwa kuleta hoja nzito za kisheria zinazoweza kupinga ushahidi uliowasilishwa
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
31
19
32
7.9K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@HildaNewton21 Lutufye km lutufyee ..haamini macho yake km yeye ndo kuangukia kwenye PGO, asee
Indonesia
0
0
1
88
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 184 Wakili wa Serikali anaendelea kumuongoza shahidi Jaji: Endeleeni Wakili: Eheee kikaendelea nini? ASP Geofrey Lutufye: Nilivyowakuta wale vijana waliokuwa wanakula njama nikawaambia wako chini ya Ulinzi. Jaji: Hiyo MIC ameshikaje mbona hasikiki? Wakili: ikawaje shahidi? ASP Geofrey Lutufye: Tuliwakamata P4 na P7 ambao walikuwa wameanza kukimbia baada ya hapo nilitoa maekekezo wapelekwe kituo cha Polisi Murieti, hao askari ni wanne, kituo cha Murieti kipo Mkoa wa Arusha. Wakili: Nini kiliendelea? ASP Geofrey Lutufye: Sisi tuliendelea kuwatafuta waliokuwepo pale lakini hatukufanikiwa kuwakamata. Wakili: Nini kingine kiliendelea? ASP Geofrey Lutufye: Waliacha Bajaji zao tukazichukua na kuzipeleka kituo cha Polisi Murieti na mbili zilikuwa za wale watuhumiwa tuliowakamata. Wakili: Nini kiliendelea? ASP Geofrey Lutufye: Majira ya saa moja ndio tulizipeleka hizo Bajaji kituo cha Polisi Murieti. Wakili: Kituo cha Polisi Murieti nini kiliendelea? ASP Geofrey Lutufye: Ulipata maelekezo kutoka kwa kaimu mkuu wa upelelezi Arusha. Maelekezo hayo yalinitaka niwapeleke ofisi za mkuu wa upelelezi Arusha, tukiwa njiani tunawapeleka P4 na P7 niliwahoji kwamba kwanini mnahusika kula njama kutaka uchaguzi mkuu wa 2025 usifanyike? Wakili: Ikawaje? ASP Geofrey Lutufye: Wote walikiri kuwa wanamuunga mkono Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutokana na ile kauli yake aliyoitoa kwenye Mtandao kuwa atazuia Uchaguzi, ataleta uchochezi na atakinukisha. Wakili: Nini kiliendelea? ASP Geofrey Lutufye: Tuliwafikisha Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha majira ya saa mbili. Wakili: Nini kiliendelea? ASP Geofrey Lutufye: Nilipewa maelekezo tena nifungue jalada la Uchunguzi, nilifungua jalada hilo ambalo ni ARS/D/CID/B/40/2025. Wakili: Kikaendelea nini? ASP Geofrey Lutufye: Nikapewa maelekezo tena na Kaimu Mkuu wa Upelelezi Arusha yakinitaka niwahoji watuhumiwa hao kwa kuchukuliwa maelezo yao. Wakili: Nini kiliendelea? ASP Geofrey Lutufye: Mimi niliwaa asign maaskari wengine wa RCO wawachukue maelezo na mimi nikaendelea na majukumu mengine. Wakili: Kingine kilichoendleea? ASP Geofrey Lutufye: Niliandika maelezo yangu Tarehe 18/04/2025. Renatus Mkude, Wakili wa Serikali. Ni hayo tu Mheshimiwa Jaji kwa shahidi huyu. Watu wanaangalia usoni wanacheka.😂 Jaji Ndunguru: Maswali ya Dodoso Mhe. Lissu anasimama: Shahidi naomba nikuulize maswali na ujibu maswali yangu kwa kadri nitakavyokuuliza. Sasa waeleze majaji, Huko Polisi mnakojifunzia hizi kazi huwa mnafundishwa kuwa waongo? ASP Geofrey Lutufye: Hatufundishwi kuwa waongo. Mhe. Lissu: waeleze majaji kama huwa mnafundishwa mnapotoa ushahidi mahakamani kuongeza maneno ambayo hayapo? ASP Geofrey Lutufye: Hatufundishwi. Mhe. Lissu: waeleze majaji kama huko Polisi mnafundishwa kutokuwa na heshima? ASP Geofrey Lutufye: Sio kweli Mhe. Lissu: Waeleze majaji kama huko Polisi mnafundishwa watu wasio na maadili? ASP Geofrey Lutufye: Sio kweli Mhe. Lissu: Sio kweli nini sasa? ASP Geofrey Lutufye: Tunafundishwa kuwa watu wenye maadili. Mhe. Lissu: Unafahamu kitu kinaitwa PGO? ASP Geofrey Lutufye: Amekaa kimya kidogo, PGO naifahamu mimi. Mhe. Lissu: waeleze majaji kama ni sahihi au sio sahihi kwamba PGO inasema askari wanapaswa kuwa weledi kwenye kazi zao? ASP Geofrey Lutufye: Ni kweli inasema hivyo. Mhe. Lissu: Waeleze majaji kwa mujibu wa PGO Polisi wanatakiwa kuwa waaminifu. Anamsomea PGO hapa. Wasiwe mafisadi na wawe wakweli ASP Geofrey Lutufye: Ni kweli. MheLissu: Hii PGO leo tutacheza nayo sana. Umesema uliandika maelezo yako Polisi? ASP Geofrey Lutufye: Ni kweli niliandika na naweza kuyatambua. Mhe. Lissu: Mheshimiwa Jaji naomba apewe maelezo yake. Anatafutiwa na kupewa hapa. ASP Geofrey Lutufye: Haya ndio maelezo uliyoandika Tarehe 18/04 mwaka jana. Part 185 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Filipino
31
472
1.3K
43.8K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@MNgaleha @JoyceHuru @PMadeleka Yaani ukisikiliza vizur huo ushaidi unaona kabisa wapo mateka ht km hajaona...mtu anasema cjui ninefikaje hapa hyo inatosha kusema sio dhamira yake kua hapo!?
Filipino
1
0
1
15
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuanzia kesho tarehe 17 Februari 2026 itakuwa ni MARUFUKU kuweka SHAHIDI kwenye hilo BOX 👇. Hongera sana Wakili MUTALEMWA na Mawakili wote ULIOSHIRIKIANA NAO.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
50
145
1.5K
53.5K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@HildaNewton21 Kwa alie elewa vizur atueleweshe huu utata wa mashaidi vipenyo...inaonekana waliandikwa maelezo tar 4 lkn pia tar 22 na haya ya tar 22 ndo km yaliundwa kimchongo sab hayapo popote je imekuwaje hyo kwa walio elewa hapo!?
Indonesia
0
0
0
259
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mahakama imeanza muda huu saa sita mchana, soon nawaletea updates za kesi kama kawaida.
Eesti
14
111
610
24.8K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@HildaNewton21 Shahidi ni mateka ase...tunaweza laumu kumbe mtu yupo kidnaped asee dahh!!
Filipino
0
0
10
480
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 173 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P6. Mhe. Lissu: Pameandikwa tarehe 06/04 kutakuwa na ziara ya Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Songea, umeona vizuri hapo. Shahidi wa kificho P6: Naweza kurudia pia wilaya ya songea anaisoma. 😂 Shahidi ni kama Futuhi kwakweli. Mhe. Lissu: Twende Tarehe 10/04 umesema hivi ukiwa umekusanyika uwanja wa shule ya Msingi Matalawe na kuwataja viongozi ghafla gari ya polisi ilifika na kuwatawanya. Waeleze majaji kama hayo maneno gari la polisi lilifika na mkatawanywa. Shahidi wa kificho P6: Hayapo hayo. Mhe. Lissu: kuhusu kwenda ofisi za Chama Mfaranyaki mlikoenda na viongozi wakataka kuzungumza na waandishi wa Habari kuwa polisi walifika na kuwapiga mabomu? Shahidi wa kificho P6: Kutupiga mabomu hayapo kwenye maelezo. Mhe. Lissu: Je wapi kuna maneno kuwa polisi waliwatawanya ofisi za Chama. Shahidi wa kificho P6: Hayapo kwenye maelezo yangu. Mhe. Lissu: Sasa ngoja nikuulize mengine baada ya kumaliza kukutembeza kwenye maelezo yako. Mhe. Lissu: Kwa ufahamu wako Kiongozi wa Chama kama mimi kuitisha mkutano na kusema bila mabadiliko hakuna uchaguzi ni kosa la jinai? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu mimi. Mhe. Lissu: Kusema tutazuia uchaguzi nalo ni kosa la jinai? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu pia. Mhe. Lissu: unafahamu hakuna sheria yoyote nchi hii inayokataza kuzuia uchaguzi? Shahidi wa kificho P6: Huko kwenye sheria mimi sifahamu. Mhe. Lissu: Polisi hawakukwambia kuwa sio kosa? Hao waliokuwa wanakufundisha kuja kusema hapa. Shahidi wa kificho P6: amenyamaza Mhe. Lissu: Ulisema mikutano ya Songea ilizuiwa kufanya mikutano na kupigwa mabomu. Je hiyo ni sawa na ni haki ya kisheria kwa Chama? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu. Mhe. Lissu: unafahamu polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kukataza mikutano? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu. Mhe. Lissu: Unajua Mikutano hiyo ilitolewa taarifa siku mbili nyuma? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu. Mhe. Lissu: Kwani wewe si ndio umesema ulikuwa umehamasika na Chadema? Shahidi wa kificho P6: Ndio hivyo sasa sifahamu. Mhe. Lissu: Ulivaa tshirt imeandikwa No Reforms, No Election ni kosa? Shahidi wa kificho P6: sifahamu. Mhe. Lissu: Ulikamatwa Tar. 20/04/2025 mkiwa katika eneo la DS Kitimoto mkakamatwa kwa tuhuma za kufanya maandamano yasiyo ha hiari ni kweli? Shahidi wa kificho P6: kweli Mhe. Lissu: maelezo ya hayo mahojiano yako wapi? Shahidi wa kificho P6: sifahamu. Mhe. Lissu: Hizo tuhuma ziliishia wapi za kutaka kufanya maandamano na kuhojiwa? Shahidi wa kificho P6: ndio tulipelekwa Mahakamani ila kaka angu alikuwa ananiwakilisha. Mhe. Lissu: Kwahiyo Kaka yako alishtakiwa badala yako? Shahidi wa kificho P6: ndio yeye alikuwa anaisimamia Mhe. Lissu: Sasa waeleze majaji ilikuwaje ukabadilika kuwa mtuhumiwa wa kupanga njama za kufanya maandamano na leo ukawa shahidi? Shahidi wa kificho P6: Hata mimi sijui nini kilitokea. Mhe. Lissu: Polisi walikwambia ukiwa shahidi kwenye kesi hii watakufutia mashitaka yako si ndio? Shahidi wa kificho P6: Hapana Mheshimiwa we acha tu. Mhe. Lissu: Wewe ni Mwanachama wa Chadema? Shahidi wa kificho P6: Ndio. Mhe. Lissu: Umeingia lini? Niambie tarehe na mwezi. Katuga amesema hilo swali akijibu ataweza kujulikana maana kwenye mfumo wanajulikana watu waliosajiliwa ni akina nani siku fulani. Majaji wamejadili kama dakika tano. Tunasubiri watasema nini? Part 174 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Indonesia
42
427
1.2K
52K
jr
jr@martin159022790·
@HildaNewton21 jamaa kumbe mhaini nayy kama alishawishik na hakuenda popote kutoka taarif kama ishara ya kupinga Hilo swala anaachaj kuwa mtuhumiw aisee hii bongo ujinga umezid
Indonesia
1
0
13
1.3K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 172 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P6. Mhe. Lissu: Mhe. Jaji naomba shahidi ajibu maswali yangu. Jaji: Hebu muulize tena. Mhe. Lissu: Hayo maneno ya simu infinix smart 8 yapo au hayapo? Shahidi wa kificho P6: sifahamu. Jaji: Nafikiri lengo lako mshitakiwa ni ku empeach credibility ya shahidi kwahiyo akisema hafahamu wakati kielelezo kipo na sisi Mahakama tutakipitia. Basi acha aendelee kusema hafahamu. Mhe. Lissu: Maneno kwamba ulikuwa na bando la kuingia youtube hebu tuoneshe kwenye maelezo yako hapo? Shahidi wa kificho P6: Yapo. Mhe. Lissu: Tuonyeshe. Shahidi wa kificho P6: Majira ya saa nne niliona mtandao wa youtube hotuba ya Tundu Lissu. Mhe. Lissu: Swali langu ni ulikuwa na bando la internet. P6: Hayo hayapo. Lissu: Kumbe una akili unaelewa. Tukienda hivi itakuwa vizuri. Haya tuendeleee. Ulisema uliingia katika mtandao ya Jambo TV? P6: Nilisema niliingia kwenye account. Lissu: Hivyo hivyo account eheee yapo kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P6: Hayapo. Mhe. Lissu: Umeeleza kwamba wakati nahutubia huo Mkutano nilisema maneno kwamba yeyote atakayekuwa nasi tutaenda nae na asiyetaka tutamuacha, yapo kwenye maelezo? Shahidi wa kificho P6: Hayapo. Mhe.Lissu: Ulisema nilisema kuwa kama kuna anayetaka kugombea udiwani asahau na anayetaka kugombea ubunge asahau, hayo nayo yapo kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P6: Polisi nilitoa ila hapa kwenye maandishi sioni. Mhe. Lissu: Ahsante, Polisi ni waongo wamekuibia maneno yako, tuendelee. Haya umesema nilisema maneno No Reforms, No Election, haya ni maneno yangu kweli nimeyasema sana. Shahidi wa kificho P6: hayo sikusema. nilisema bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Mhe. Lissu: Basi twende na hayo hayo, yapo kwenye maelezo au hayapo? Shahidi wa kificho P6: Hayo maneno siyaoni kwenye maelezo. Mhe. Lissu: Turudi kwenye simu kwenye maelezo yako yote Polisi nataka uniambie ulisema kama ulikuwa na simu popote pale? Nataka unioneshe humo kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P6: nilisema nimejiunga na magroup ya whatsapp kwahiyo maana yake ni simu. Mhe. Lissu: Waeleze majaji kama maneno ya bendera za taifa na Chadema yapo kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P6: Hayapo. Mhe.Lissu: Kwamba nilivaa kombati za Kaki nayo pia yapo humo kwenye maelezo? Shahidi wa kificho P6: Maelezo siyaoni. Mhe. Lissu: Umemuelezea mtu anaitwa Essau Chiza pia anaitwa Mwamba wa Kigoma sasa tuoneshe Mwamba wa Kigoma kama yapo? Shahidi wa kificho P6: Hayapo. Mhe. Lissu: Ulisema Essau ni Katibu sehemu nyingine ni Mwenyekiti kipi ni kipi? Shahidi wa kificho P6: Mimi sijasema hivyo. Mhe. Lissu: Sasa wewe leta hayo maelezo nikuoneshe, anamsomea aliposema Mwenyekiti na aliposema ni Katibu. Shahidi wa kificho P6: Mimi sikusema hivyo watakuwa mapolisi ndio walikosea. Mhe. Lissu: Pole kwa kuingizwa chaka na mapolisi. Shahidi wa kificho P6: Ahsante sana. Watu wanacheka.😂😂😂 Mhe. Lissu: Ulisema ulivyohamasika kufanya vurugu tuoneshe hizo habari nazo kwenye maelezo yako? Shahidi wa kificho P6: anasoma mambo tofauti kabisa. Mhe. Lissu: Wewe ulihamasika kwamba utazuia uchaguzi kwa kukinukisha ndio nayataka yapo? Shahidi wa kificho P6: Mimi binafsi maneno ya Mwenyekiti wa Chama yalinihamasisha na kupata moyo wa kijasiri na kunipa hamasa ya kuvuruga uchaguzi mkuu 2025 kwa kukinukisha. Mhe. Lissu: Ohoo Hongera sana kumbe wewe na mimi letu lilikuwa moja ila Mwenzangu uko kizimba cha shahidi nashangaaa. Haya tuendelee lakini. Part 173 itaendelea kwenye post inayofuata Naomba repost yako.
Indonesia
50
452
1.3K
48.1K
The Monk
The Monk@lie_fist·
@HildaNewton21 Hawa watu hawafichwi ili utambulisho wao usijulikane...wamewekwa kwenye kibox ili wainhie na madaftari ya kujisomea
Indonesia
2
1
8
447
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@mhabukat @HildaNewton21 Tatzo Nikua unaweza kuta hata sio kutoka songea ila ni karao mmoja tuu kutoka hapo kituo cha kati..hyo box inamaana kwa upande wao ila tunasema ni mamb ya ovyo!!
Filipino
0
0
0
9
Thadei Mhabuka
Thadei Mhabuka@mhabukat·
@HildaNewton21 Kinachoendelea hapo ni matumizi mabaya ya kodi zetu kama mtu anatoka songea anasafirishwa mpka kufika dar kuja kutoa ushahidi ambao upo kwenye video ambayo mtuhumiwa hajaikataa manaake tuna watu ambao hawatoshi katika ofsi zetu za maamzi hili kwa taifa hili ni hatari sana.
Indonesia
2
4
20
1.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 13, 2026 Jana tuliishia Part 167 so leo tunaendelea na-; Part 168 Mahakama imeanza muda huu saa tatu na nusu. Mhe. Lissu anaingia akiwa amevaa kombati nyeusi. Sauti ya High Courttt inapigwa kila mtu anasimama na kelele za kumsalimia Mwenyekiti zinasimama kidogo. Majaji wanaandika kidogo pale mbele. Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude anasema yupo na Ajuaye, Katuga, Ignas, Cathbert na Winiwa na wote tunawakilisha Jamhuri na Mshitakiwa yupo. Sisi tuko tayari kuendelea na leo tumekuja na P6 yuko tayari, endapo Mshitakiwa atakuwa tayari. Mhe. Lissu anaulizwa na yeye anasema yuko tayari. Jaji Ndunguru: Naomba shahidi aje sasa. Shahidi analetwa kama Bangi kule mbele kwenye kibox hatumuoni chochote tunaona milango tu inafunguliwa sijui amevalishwa baibui.😂 Mlango wa kizimba umefunguliwa muda huu. Shahidi anaulizwa umri wake anasema miaka 24 na ni Mkristo so anaapishwa muda huu. Jaji anauliza nani atamuongoza? Anajibiwa ni Cathbert Mbiringe Wakili wa Serikali ndio atamuongoza. Anamuuliza unanisikia. Haya mkazi wa wapi? Mimi natokea Ruvuma Songea na kazi yangu ni Afisa Usafirishaji Bodaboda, nafanyia huko huko Songea shughuli zangu. Mwezi October 2024 ni mwaka ambao nilianza kushirikisha siasa za Chama cha Chadema. Wakili: Ulishiriki kivipi? Shahidi wa kificho P6: Nilianza kushiriki kwenye mikutano ya hadhara na kuwafuatilia viongozi mbalimbali wa Chadema na nikafanikiwa kuwafahamu Mhe. Lissu na baadhi ya Viongozi waliokuwepo Songea. Wakili: wakiwepo akina nani? Shahidi wa kificho P6: nilimfahamu Katibu wa Vijana Songea. Wakili: Alikuwa anaitwa nani? Shahidi wa kificho P6: alikuwa anaitwa Chiza au Mwamba wa Kigoma maarufu kwa jina hilo. Wakili: January 2025 unakumbuka nini? Shahidi wa kificho P6: Nilianza kuwa nimeshiriki siasa za Chadema na kuvutiwa kuwa mwanachama wa Chama hicho. Nikaanza jitihada za kutafuta viongozi waliopo Songea, nikamfuata kiongozi wa Vijana Chiza na kumueleza nia yangu ya kutaka kuwa mwanaChama. Wakili: Nini kiliendelea baada ya hapo? Shahidi wa kificho P6: Alinipokea na kunisifia kwa uamuzi mzuri. Akasema napaswa kuwa na kadi ya Chama, nilifuatilia hiyo kadi na nikaambiwa nisubiri mashine bado ni mbovu na ataendelea kunishirikisha kwenye shughuli za Chama. Wakili: Zipi hizo shughuli za Chama? Shahidi wa kificho P6: Sisi bodaboda huwa tunakuwa kwenye misafara ya Chama na bendera. Wakili: Tar. 04/04/2025 kilitokea nini? Shahidi wa kificho P6: Hiyo tarehe nikiwa sehemu yangu ya kazi pia nikiwa na simu yangu ya mkononi aina ya infinix smart 8 nikiwa naangalia mtandao wa Youtube. Wakili: Youtube ni nini? Shahidi wa kificho P6: ni mtandao wa kijamii ambao unamuwezesha mtu kutuma video, audio na maudhui mengine. Huyu Bodaboda wa miaka 24 anavyoelezea mambo unashangaaa ni kama anajibu essay huyu atapata tabu kwenye maswali. 😂 Anaendelea kuwa simu yake ilikuwa na internet na aliingia google kumuwezesha kuingia youtube. Shahidi wa kificho P6: Niliingia kwenye account ya Jambo TV nilifanikiwa kuona na kusikiliza hotuba aliyokuwa anatoa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema ambapo alionekana akihutubia watu akisema bila mabadiliko hakuna uchaguzi hivyo tunaenda kukinukisha. Tunakwenda kuvuruga Uchaguzi pia nilisikia na kuona akisema tunakwenda kukinukisha na yeyote atakayekuwa pamoja nasi tutakwenda nae na ambae hatataka tutamuacha pia alisema kama kuna mtu yeyote anatarajia kugombea asahau jambo hilo. Wakili: Pia akasemaje? Shahidi wa kificho P6: Pia hata mimi kugombea uenyekiti msahau pia akasema bila mabadiliko hakuna Uchaguzi. Wakili: Kingine kipi? Shahidi wa kificho P6: Pia akasema watasema tunafanya uasi ni kweli utakuwa ni uasi kwasababu bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Part 169 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
Eesti
29
434
1.2K
38.9K
Fox miah wolf
Fox miah wolf@miahhwolf·
@Kilwafinest Tusubiri kunyongwa c ndo unachotaka master..bas subira tuone acha balaa blaaa nyingi
Filipino
0
0
0
5
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
TUNDU LISSU ANAPOJIKITA KWENYE TECHNICALITY NYEPESI NA KUSAHAU KESI YA MSINGI NI UHAINI. Mojawapo ya mambo yaliyojitokeza leo mahakamani, ni kusikilizwa kwa Ushahidi wa shahidi P5, ambapo Tundu Lissu alipata nafasi ya kumuhoji shahidi huyu. Maswali yake mengi yaliegemea kutaka kuonyesha kuwa maelezo aliyoyaandika kituoni, yako tofauti na maelezo aliyoyaeleza shahidi leo mahakamani. Baadhi ya mambo aliyokua akiyasema ni kuwa kwenye maelezo shahidi hakusema alikua na sony Xperia, ila leo mahakamani amesema, na kwenye maelezo hakusema kuwa Lissu alivaa nguo ya kaki ila leo amesema. Ukisikiliza hoja hizi unaona kabisa kuwa wameshikwa pabaya, maana hawa Chadema wanashindwa kutofautisha kati ya minor contradiction na material contradiction. Wanashindwa kuelewa kuwa kile alichokisema shahidi P5 si mambo ya msingi wa kosa, ni maelezo ya pembeni juu ya kosa lenyewe. Shahidi hakubadilisha tukio kuu la Uhaini na msingi wa madai, bali yaliyokuja kuongezeka ni maelezo ya ziada tu. Lakini pia Lissu anasahau kuwa maelezo yanayoandikwa na polisi si transcription ya kila neno bali ni summary ya kilichozungumzwa, kwa sababu kisheria Failure to record every detail does not amount to fabrication nimeweka kimombo kidogo hapa ili tuelewane. Swali linguine alilouliza Lissu kwa shahidi P5 ni kuwa kama ameiwasilisha video mahakamani kama Ushahidi, na kama alifungua RB. Kiukweli kesi Lisu bado imemkalia vibaya kama mhaini kwasababu: katika core evidence hata Kama shahidi P5 hakuwasilisha video na kufungua RB, bado haiondoi uhalisia kuwa video ile ilikua kwenye public domain, hivyo hata kama hajaiwasilisha, ila video hiyo ipo na imeonekana na kila mtu. Yaani ushahidi aliotoa ni direct evidence ya alichokiona kwa sababu Video ile ilikuwa public domain content kila mtu ameiona mtandaoni. Eneo lingine ambalo Lissu ameligusia kwenye maswali yake lilikua ni kuhusu tafsiri ya neno “Kukinukisha”. Kiukweli hapa Lissu anendelea kufeli pabaya kwa kutumia tafsiri ya kisemantiki bila kutazama tafsiri ya muktadha na atanyongwa kweli akicheza. Tafsiri ya shahidi ilikuwa kwa muktadha wa kisiasa. Maneno yanaweza kutafsiriwa kwa maana ya muktadha. Hivyo mahakama itatazama muktadha wa hotuba, si kamusi tu. Sasa nauliza ananyongwa hanyongwi? Kumbuka kuna totality of evidence huyu ni shahidi wa 5 kati ya mashaidi 30, kama ataacha kujiweka kwenye misingi na akaendelea kucheza na hizi cheap technicalities,mwalimu wa sheria hatofua Dafu kunyongwa hakukwepeki.
Kilwafinest 🦈 tweet media
Indonesia
19
19
23
2.6K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
“Sehemu ya fedha za rambirambi zilitengeneza tisherti, kiasi cha Milioni 24. Watanzania mtuelewe”.
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
134
17
80
17.3K
C4
C4@EdwardSamson255·
@FesMoFe @AnnaTibaijuka Nchi unatakiwa iongozwe Sio kutawaliwa. Kutaka kuitawala Nchi ya kidemokrasia badala ya kuiongoza Hilo ni tatizo
Indonesia
2
0
1
44
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
Tujitafakari kwa msaada wa SOCRATES wa Tanzania kwa kumsoma na kumsikiliza. ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?! 1. SAFARI YA VATICAN Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi. 2. MABEBERU: Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu? 3. AMANI YA NCHI Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi? 4.MARIDHIANO Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli? 5. CHADEMA na CCM Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa? 6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29 Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele. 7. TUNDU LISU Waliompiga risasi hawajapatikana lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?! 8. WIZARA YA MAMBO YA NJE Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO. 9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe. Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa. Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme!
Indonesia
68
443
1.6K
53.9K
sultan
sultan@chapanombombwi·
Ni cash out, au bado unapumua?
sultan tweet media
Filipino
50
40
393
32.7K