Menas Hilmar

4.2K posts

Menas Hilmar banner
Menas Hilmar

Menas Hilmar

@MenasHilmar

Football is my drug.

Mbinga, Tanzania Katılım Mayıs 2016
357 Takip Edilen115 Takipçiler
CFC-Blues
CFC-Blues@CFCBlues_com·
Two year ago today, Graham Potter was sacked as Chelsea manager.
CFC-Blues tweet media
English
9
12
259
12.5K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Unapigiwa ☎️ ufike kituo cha kati! Uulizwi tena kwanini hukutii amri ya Trafki, kesi inahama kwenye kuwa unafanya kazi gani? Kampuni yako inalipaje kodi? Wanacheki miamala kwenye account zako na uelezee kila muamala ni wanini? Ukiwa tajiri kaa mbali na Interrogation za polisi.
_19🦩@salaa_19

Traffic anataka kukagua nini?

Indonesia
109
57
837
116.6K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Trump Yuko Serious kama Magufuli, Watu wanasema Trump ni Magufuli aliyejibadilisha Rangi 😂 Sikiliza hapo alivyotoka kanisani. Baada ya mchungaji kumuomba awaonee huruma mashoo Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
81
90
2.1K
308.1K
Madrid Nightmare
Madrid Nightmare@madridnightmare·
Jude Bellingham - 1 goal and 1 assist since this tweet 😂😂
Madrid Nightmare tweet media
English
4
6
268
14.4K
TWO TERTY
TWO TERTY@TwoTerty__·
Just Bellingham is not even better than Mason Mount
TWO TERTY tweet media
English
10
17
104
7.1K
Menas Hilmar
Menas Hilmar@MenasHilmar·
@Sirjeff_D Kwani hizi tarehe na kalenda nani waligundua/kueneza?
Indonesia
0
0
0
6
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Mwanafunzi mzuri wa History & Theology atakubaliana na mimi kuwa YESU hakuzaliwa Dec 25 Hii tarehe ilichaguliwa na Kanisa-Roma kipindi cha uongozi wa Constantine I, specifically kumheshimisha na kumsheherekea MUNGU JUA Google "Sol Invictus & Christmas" utaelewa nachomaanisha
Filipino
255
79
1.2K
124.2K
RCM
RCM@robkidayo_·
@Gaspinho15 Kitu kimoja Cha wazi kabisa kila kocha akifika sehemu kuna wachezaji watapata faida na wengine balaa ,ni kawaida tu. Bila kujali wewe unamkubali huyo mchezaji kiasi gani.
Indonesia
2
0
2
94
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
“Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana. Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka 30+aje kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?..Kwanza baba mkwe wake kakianzisha kisha yeye akatumia ujana wake kukijenga leo aje mtu tu akichukue?” Kigwangalla
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
155
28
1K
69.4K
Menas Hilmar
Menas Hilmar@MenasHilmar·
@WHenry96130 @ayubu_madenge Don't you have any sense of humour, he's trolling them don't you see that? He's isn't dumb he knows what he is doing, light yourself.
English
0
0
0
2
Willy H
Willy H@WHenry96130·
@ayubu_madenge Kigwa is the dumbest and most stupid politician of all time. It's like he is living in medieval times. He is clueless about progressive politics, he only cares about his selfish interests anyway. If what he claims was very true then Rishi Sunak never could had been PM in the UK
English
1
0
0
67
Futbal Planet ✴️
Futbal Planet ✴️@PlanetFutbal·
⏳STREETS WILL NEVER FORGET THEM..!! 🙄👑 . 🧵Hawa hapa ni baadhi ya wachezaji waliotamba na kuacha alama Tanzania ambao mitaa ya soka na historia ya soka la bongo hawatafutika milele. . Ni MCHEZAJI gani ungetamani arudi kucheza soka la sasa kwa sasa hivi⁉️
Futbal Planet ✴️ tweet mediaFutbal Planet ✴️ tweet mediaFutbal Planet ✴️ tweet media
Indonesia
169
60
919
151.7K
Lατιf
Lατιf@iLatif_·
Only Legends will know this referee. What’s his name?😂😂
Lατιf tweet media
English
2.6K
1.3K
18.4K
1.7M
Alexander
Alexander@AlesandroJR·
SALA YA JIONI. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina. Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo. BABA YETU. Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina. SALAMU MARIA. Salam Maria umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. SALA YA IMANI. Mungu wangu, nasadiki maneno yote. Linayosadiki na linayofundisha Kanisa Katoliki la Roma. Kwani ndiwe uliyetufumbulia hayo. Wala hudanganyiki, wala hudanganyi. Amina. SALA YA MATUMAINI. Mungu wangu, natumaini kwako, nitapewa kwa njia ya Yesu Kristo. Neema zako hapa duniani, na utukufu mbinguni. Kwani ndiwe uliye agana hayo nasi, nawe mwamini. Amina. SALA YA MAPENDO. Mungu wangu, nakupenda zaidi ya chochote. Kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza. Nampenda na jirani yangu, kama nafsi yangu, kwa ajili yako. Amina. UNGAMO LA DHAMBI. Tuwaze katika moyo makosa yote ya leo tuliyomkosea Mungu, kwa mawazo, kwa maneno na kwa matendo(______) Namuungamia Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutokutimiza wajibu, nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndio maana nakuomba Maria mwenyeheri, Bikira daima, malaika na watakatifu wote, nanyi ndugu zangu, niombeeni kwa Bwana Mungu wetu. +Mungu Mwenyezi atuhurumie, atusamehe dhambi zetu na atufukishe kwenye uzima wa milele, Amina. SALA YA KUTUBU. Mungu wangu, nimetubu sana niliyokosa kwako. Kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza. Wachukizwa na dhambi, basi sitaki kukosa tena. Nitafanya kitubio, naomba neema yako nipate kurudi. Amina. Ee Mungu mwenye huruma, uwashushie baraka zako, Baba Mtakatifu wetu Francis na Maaskofu, na Mapadre, na Mashemasi, wakulima, wafanyakazi wote, wanafunzi na jamii yote unaowafanya kuwa watu wako. Uwaokoe wale wasiokujua bado, uwafariji wagonjwa, waelekee wanaozimia waweze kuona mwanga wa milele, Amina. ANGELUS. Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria,naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. ~Salamu Maria umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. Ndimi mtumishi wa Bwana, nitendewe ulivyosema. ~Salamu Maria umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. Neno wa Mungu akatwaa mwili,akakaa kwetu. ~Salamu Maria umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. Utuombee mzazi Mtakatifu wa Mungu,tujaliwe ahadi za Kristo. Tuombe: Tunakuomba ee Bwana utie neema yako mioyoni mwetu,ili sisi tuliojua kwa maelezo ya malaika,kwamba Kristo mwanao amejifanya mtu;kwa mateso na msalaba wake,tufikishwe kwenye utukufu na ufufuko. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Bikira Maria Malkia wa amani~Utuombee! SALA KWA MALAIKA MLINZI. Malaika mlinzi wangu, unilinde katika hatari zote, za roho na za mwili. Amina. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele. Amina Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina🙏
Alexander tweet media
Indonesia
5
16
98
1.4K
Rudra
Rudra@PeterJa73828997·
@privaldinho Kwa akili yangu nusu namshauri asubr kidogo kwenda Simba maana hatacheza hata mechi moja
Filipino
2
0
1
0
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Denis Kibu anatajwa sana kujiunga na Simba msimu huu akitokea Mbeya City. Msimu uliopita alifunga magoli 7 na Assists 5, akihusika Jumla ya magoli 12 kati ya magoli 30 yaliyofungwa na Mbeya City.
Privaldinho tweet media
Indonesia
14
13
368
0
🦋Queen Primis🌹
🦋Queen Primis🌹@Queen_primis·
LOCK SCREEN WALLPAPER THREAD 👇🥰❤️ LET’S HAVE IT 🔥🔥🔥
🦋Queen Primis🌹 tweet media
English
377
444
5.6K
1.5M
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Nani MVP wa mechi ya leo kwa upande wa Taifa stars leo? Ally Salim Bacca Mudathir Fei Toto Himid Mao Ongeza mwingine
Filipino
45
8
307
15.6K