Hajam Jackson

4.4K posts

Hajam Jackson

Hajam Jackson

@HajamJackson

Reading about the world

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2021
358 Takip Edilen185 Takipçiler
Hajam Jackson
Hajam Jackson@HajamJackson·
@Sirajitz1 Labda mahakama ziamue kukubeba hapakua na uchaguzi last time
Indonesia
0
0
0
464
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Baba levo avunja ukimya atoa ya moyoni 🗣️. " Natoa siku 7 kwa Abdul Nondo asiponiomba msamaha atanilipa Tsh Mil 550 maana nimeona clip yake kaita waandishi wa habari na kuwaambia kua ubunge wangu sijauoata kiuhakali wakati wote nimashahidi, tumefanya kampeni, tumenadi sera na wananchi wameamua kidemokrasia" ---------------------------- Wakuu ukimshambulia mtu kwa maneno makali na yasiyo na ukweli jiandae kula faini kubwa kama hizi hasa wazee wa spana humu umakini unahitajika sana
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
17
19
116
19.3K
Hajam Jackson retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Sasa fikiria kuna watu wanajiita wabunge wanatamba na ubunge ambao walipata kwa kumwaga damu za watu. Asante MCHUNGAJI kwa kuja kuongeza sauti ya kukemea MAOVU kwenye nchi. Hujachelewa tunakutegemea kwenye hii safari ya kupambana na WAKOLONI WEUSI. REPOST 200
Indonesia
36
257
1.2K
31.6K
Hajam Jackson retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Picha hii inastahili REPOST 500 kama salamu kwa mzee wetu TUNDU LISSU kwenye magumu yote anayopitia kuwa tupo nae pamoja.🙏🏾
SIR TIVA tweet media
Filipino
37
1.7K
4.3K
41.5K
ELIAS🇹🇿
ELIAS🇹🇿@Eliaskaneke·
Arusha Kila Mtu ni TourGuide Dodoma Kila Mtu ni Mtumishi Kahama Kila Mtu ni Muuza Madini Dar Es Salaam Kila Mtu ni? 😂🤣🙌
Filipino
392
106
950
52.5K
Hajam Jackson retweetledi
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
BARUA YA WAZI KWA CHADEMA Chama cha siasa ni ideology; uanachama wa chama cha siasa ni values. Chama cha siasa kinajipambanua kwa vile kinavyoamini kuhusu sera ya umma na namna jamii inavyopaswa kuenenda. Uanachama na ufuasi wa chama cha siasa unatokea pale ambapo values za mtu binafsi zinalandana na ideology ya chama cha siasa. Ideology ya chama cha siasa ni kama sumaku, inavuta values zinazolandana nacho. Katika tafsiri hii, haiwezekani mtu leo akawa CHADEMA kesho akawa CCM halafu keshokutwa akawa CHADEMA. Haiwezekani leo ukawa progressive kesho ukawa conservative halafu keshokutwa ukawa tena progressive. Haiwezekani leo ukawa mjamaa kesho ukawa mbepari halafu keshokutwa ukawa tena mjamaa. Hata ikitokea kwamba mwanachama wa chama cha siasa hakubaliani na mambo fulani ndani ya chama chake kiasi cha kutaka kujiondoa, ni vigumu kwa mwanachama huyu kujiunga na chama cha siasa chenye ideology tofauti kabisa na ile ya chama chake. Ni vigumu kwa sababu values zake zilizomvuta na kujikuta amekuwa mwanachama wa chama chenye ideology A hazilandani na chama chenye ideology B. Ikifika hatua mtu akawa na uwezo wa kuhama vyama vya siasa atakavyo, tena vyama ambavyo ni two extremes sawa na mashariki na magharibi, kuna vitu vikubwa viwili: 1. Huyu mtu sio mwanachama wala mwanasiasa, ni opportunist. Ni ile aina ya wanasiasa ambao Mwalimu Nyerere aliwaita “wanasiasa malaya malaya.” Ni malaya malaya kwa sababu hawana values; hawavutwi na ideology. Kama hauna values maana yake ni kwamba unafit popote, ni mercenary kwa lugha ya Mwalimu. All you care about is money, fame, and material rewards. That’s all. 2. Chama kinachomruhusu yeyote kutoka na kuingia atakavyo sio chama cha siasa, ni version ya chama dola. CCM ni mfano mzuri wa chama dola kwa sababu hakina ideology wala wanachama wake hawana values. Kinachowaleta pamoja ni kitu kimoja tu, MADARAKA; ni MASLAHI BINAFSI. Yeyote anaweza kusajiliwa CCM, muhimu awe tu na uwezo wa kupata madaraka. Pesa na fame ndio values za CCM, yeyote mwenye haya anaweza kusajiliwa. Hii inamaanisha pia chama cha siasa kama CHADEMA kikianza kuwa na tabia hizi za chama dola nacho kinageuka kuwa version ya chama dola. Yani kinakuwa chama dola kisichokuwa na dola. Which means kama kikipata dola nacho kitabehave vile vile kama chama dola. Kwa mantiki hiyo kitafit kabisa ile tafsiri ya “CCM B.” Na ukitaka kuupima ukweli wa hili, sikiliza ile kauli ya “CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA, MALENGO YAKE MAKUU NI KUSHIKA DOLA.” Hii ni kauli inayoweza kutolewa na watu wasiokuwa na values ndani ya chama dola. Yes, malengo makuu ya CHADEMA KUSHIKA DOLA kama wasemavyo watu hawa hayatofautiani kivyovyote vile na malengo makuu ya CCM KUENDELEA KUBAKI KWENYE DOLA kwa njia yoyote ile. Wote wana through line moja, DOLA KWANZA UMMA BAADAE. Hii inamaanisha pia watu hawa hawajali matatizo halisi ya umma, isipokuwa wanayatumia instrumentally kufikia malengo yao (I TRULLY HOPE THIS IS NOT THE CASE). Hata hivyo changamoto kubwa hapa ni kwamba CHADEMA ikiamua kuwa na tabia za chama dola, kamwe haiwezi kuwa mbadala wa chama dola kwa sababu kitabia na yenyewe inakuwa chama dola. Ikifikia hatua hiyo, CHADEMA inabadilika na kuwa mtaji mzuri sana wa kuhalalisha matendo ya chama dola na malengo yake ya kuendelea kubaki kwenye dola. Kazi ya chama dola itakuwa kusema tu, “si mnawaona hata wao? Kuna chochote cha tofauti mnachokiona kwao?” Matokeo yake ni kuukatisha umma tamaa kwa kuufanya ufikie hitimisho kuwa “wote ni walewale.” Natamani CHADEMA ingejipambanua kama CHAMA CHA SIASA CHENYE IDEOLOGY NA WANACHAMA WENYE VALUES badala ya version ya chama dola inayorudufisha umalaya wa kisiasa. Ideology inatengeneza integrity, na matokeo ya integrity ni imani ya umma. Natumaini CHADEMA haitawafikisha watanzania kwenye ile Orwellian state ambapo wanyama waliwaangalia wanadamu kisha wakajiangalia wenyewe kisha wakawaangalia tena wanadamu na kushindwa kuelewa wapi ni wanyama na wapi ni wanadamu. Ahsante!
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
58
65
256
94.7K
Hajam Jackson retweetledi
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
BREAKING NEWS : Hatimaye Mchungaji Peter Msigwa, ametangaza kurejea CHADEMA na kukihama CCM, ameomba msamaha kwa kuhamia CCM. Ila nimejiuliza je angekua amepata URC au UDC au Ubunge wa Iringa Mjini angehama.
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
38
7
92
8.9K
Hajam Jackson
Hajam Jackson@HajamJackson·
@millardayo Tukiwaita wapumafu sijui tutakua tumekosea kwani watanzania wanakufa na kutekwa kila siku usikii mbunge akufungua mdomo hao kwasababu ni wachina ndio uchunguzi ufanyike oky kumbe sisi kuuwawa ni stahiri yetu no worry
Indonesia
0
0
2
258
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ameliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa haraka pamoja na kutoa ripoti kuhusu kifo cha raia wa China, Baozhang Ge, anayedaiwa kuuawa na walinzi wake. Musukuma ametoa kauli hiyo leo akiwa katika msiba huo uliopo maeneo ya Mabibo, Dar es salaam, ambapo amesema inasikitisha mtu kuuliwa kwa sababu ya shilingi milioni 10. “Serikali inafanya kazi, sidhani kama unaweza kuua mtu ukabaki salama. Ni suala la muda tu watapatikana na hatua zitachukuliwa. Ni kitendo ambacho si kizuri kwa nchi yetu ya Tanzania, hasa kwa wageni. Serikali inafanya jitihada kubwa sana za kushawishi wawekezaji waje, sasa matendo kama haya yanakatisha tamaa na lazima yakomeshwe. Tunaamini Jeshi la Polisi litafanya kazi yake na hawa watu lazima wakamatwe,” amesema Musukuma. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
17
6
123
14.9K
Hajam Jackson
Hajam Jackson@HajamJackson·
@Twaha_Mwaipaya Da inatia uchungu. Tumfanyie fund raising uyo mama aweze kupata angalau maitaji lakn ningependa wamkuze mtoto akijua historia ya baba yake pamoja na historia ya lissu
Indonesia
0
0
16
1.3K
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
LISSU WA NADHIRI YA MAANDAMANO YA 29 OCTOBA AMEZALIWA TAREHE 21.05.2026 Baba yake kabla ya KIFO aliacha WOSIA kwamba mke wake akijifungua mtoto wa KIUME basi amwite LISSU ni kweli ndoto imetimia, mtoto amezaliwa amepewa jina la LISSU PAULO PAULO SILAYO. Muda mchache Kabla ya Kifo Chake aliacha deni kubwa kwa Watanzania. Unamkumbuka Paulo Wiliam Silayo? Paulo Wiliam Silayo alikuwa ni mtanzania mzalendo kuwahi kutokea kwenye historia ya taifa letu. Paulo Wiliam Silayo alilipenda taifa lake mpaka kufikia hatua ya kujitoa sadaka kwaajili ya taifa. Siku chache kabla ya kifo chake aliacha ujumbe mzito ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili "NIMEOA NIPO NA MKE JINA LAKE (......) ANA MIMBA YANGU TAFADHALI KAMA NITAKUFA ATUNZWE VIZURI, HADI ATAKAPO ZAA NA MWANANGU PIA ATUNZWE VIZURI KAMA MWANAUME NAOMBA AITWE LISSU AKIWA MWANAMKE MCHAGULIENI JINA" Mwishoni akamalizia kwa kusema "NAFANYA HAYA KWAAJILI YA TAIFA LANGU TZ NA SI VINGINEVYO NAIPENDA TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANZANIA" mwisho wa kunukuu. Siku ya Tarehe 29/10/2025 (Unforgettable day) Paulo Wiliam Silayo aliuwawa kwa kupigwa risasi ya kichwa kwenye maandamano ya kupigania haki na demokrasia ya taifa letu mpaka sasa mwili wake haujapatikana. Paulo Wiliam Silayo ametuachia deni kubwa watanzania, Mke na Mtoto wa Paulo Wiliam Silayo watazamwe kwa ukaribu na tuendelee kuonyesha upendo kwao, hiyo ndio namna pekee ya kuifurahisha nafsi ya Paulo Silayo. Unaweza Tuma chochote kwa namba 0715444064 Tigo Jina Nazareth Mwaijande
Twaha Mwaipaya tweet media
Filipino
23
242
1K
35.3K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba azungumzia matukio ya utekaji, 'Ni njama zinazolenga kutugawa' Atoa maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
Indonesia
59
9
58
12.4K
Hajam Jackson
Hajam Jackson@HajamJackson·
@Sun_tz_u20sj Acha hisia. Mmetuma watu wa kate watu mapanga saivi mpo kuposti mkawaokoe uko walipo
Filipino
0
0
0
5
SUN TZU🇹🇿
SUN TZU🇹🇿@Sun_tz_u20sj·
Kuna sauti nimeinasa hapa kama ni mfuatiliaji mzuri wa vijana wa Tiktok kuna kijana mmoja anaitwa C6 hiyo sauti ni yeye kabisa Huyu ndiye alikuwa akipanga na kuratibu maandamano ya octoba 29 na hata sasa yeye ndiye mstari wa mbele kuràtibu maandamano ya 7/7
Filipino
3
6
7
606
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉Tukiwajuza kuwa CHADEMA haipo kwa ajili ya maslahi ya wananchi wengi bali ipo kwa ajili ya kutafuta nguvu ya kisiasa kupitia hisia za watu, baadhi yenu mnachukulia kama masihara. Lakini kila siku wanachama na wafuasi wao wanaendelea kubebeshwa mzigo wa michango huku viongozi wakijijenga kisiasa kupitia jasho la wananchi wa kawaida. 👉Kitu Cha kushangaza zaidi ni kwamba watu wanaoitwa "wanyonge" na "maskini" kwenye majukwaa yao ya kisiasa ndio hao hao wanaofuatwa kila kona kuombwa fedha za shughuli za chama. Leo mchango wa maandamano, kesho mchango wa kesi, keshokutwa mchango wa mikutano, mwisho wa siku mwananchi anabaki kulalamika maisha magumu huku viongozi wakitafuta umaarufu wa kisiasa. 👉Siasa za kuaminisha watu kuwa mateso yao yatakwisha kwa maneno makali ya kisiasa zimekuwa mtaji mkubwa wa kuwavuta wananchi wenye hasira za maisha. Lakini ukifuatilia kwa makini utaona kuwa kila harakati inaishia kwenye michango, huku suluhisho la kweli la changamoto za wananchi likibaki kuwa ahadi zisizo na mwisho. 👉Wananchi wengi wanaendelea kuchanga kwa matumaini kuwa wanajenga ukombozi wao, lakini ukweli ni kwamba fedha hizo zimekuwa sehemu ya kuendesha propaganda na migogoro ya kisiasa isiyoisha. Kila tukio linageuzwa kuwa fursa ya kuhamasisha fedha kutoka kwa wananchi wa kawaida wanaotafuta matumaini ya kesho bora. 👉Ukiona chama kinatumia muda mwingi kuhamasisha hasira kuliko kutoa suluhisho la maendeleo ya moja kwa moja, ujue kuna mchezo wa kisiasa unaendelea nyuma ya pazia. Hasira za wananchi zinapandikizwa ili waendelee kuwa waaminifu kutoa michango bila kuchoka, huku viongozi wakibaki kwenye spotlight za kisiasa. 👉Wakati mwingine wananchi wanapaswa kujiuliza, kama chama kinadai kinawatetea maskini, kwanini maskini hao hao ndio wanaobebeshwa mzigo wa kugharamia kila agenda ya kisiasa? Je, kweli huu ni ukombozi wa wananchi au ni mfumo wa kugeuza hisia za watu kuwa chanzo cha mapato ya kisiasa? 👉Siasa zinapokuwa biashara ya hisia, mwananchi wa kawaida ndiye huwa bidhaa inayotumika zaidi. Anaaminishwa kuwa yupo kwenye mapambano ya haki, lakini mwisho wa siku fedha zake ndizo zinazozungusha gurudumu la siasa za viongozi wachache wanaotafuta nguvu na ushawishi mkubwa zaidi ndani ya jamii. 👉Endeleeni kuchanga "tone tone" zenu kama mnavyoambiwa, lakini kumbukeni kuuliza matokeo ya michango hiyo kwa maisha yenu binafsi. Mwananchi mwenye akili anatakiwa kuhoji, kufuatilia na kutambua kama mchango wake unaenda kujenga taifa au unaishia kuwa mafuta ya kuendesha propaganda za kisiasa zisizo na mwisho✍️
Indonesia
6
10
14
1.3K
Hajam Jackson
Hajam Jackson@HajamJackson·
@kichefuchefuu Sasa kama maaskari mwenu ni wajinga kwanini wasiondoke. Niwajinga na hata ivyo wanaoenda siku izi ni machawa na si watu wenye wedi
Indonesia
0
0
0
335
kichefuchefuu
kichefuchefuu@kichefuchefuu·
INACHEKESHA SANA. Golf Mike Uniform. Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu. Swali lake kubwa ilikuwa ni je,
kichefuchefuu tweet mediakichefuchefuu tweet media
Filipino
19
16
25
8.5K
Hajam Jackson
Hajam Jackson@HajamJackson·
@MariaSTsehai Na wote walio shambulia wamepona hata momoja ajafa duu. Jamii nzima maana haikuwepo
Indonesia
0
0
0
175
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨CCM NA WAHUNI WAO WASHAMBULIA WAFUASI WA CHADEMA‼️ Leo tarehe 23 Mei 2026 Watu wenye mapanga wamevamia mkutano wa Chama na kuanza kuwakata mapanga wanachama na viongozi waliokuwa wanaendelea na maandalizi ya mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika Songea Mjini katika viwanja vya soko kuu, mgeni rasmi katika mkutano huo anatarajiwa kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama Kanda ya Kusini Belchomas Ponera. Watu hao watekeleza jambo hilo mbele ya OCD na bila kuzuiwa kuwaumiza wanachama na viongozi wa Chadema. Nyie @polisi.tanzania eleweni siyo tawi la CCM bi tunawalipa kwa kodi zetu! Mtawajibika wote! #CCMmustGo #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
28
136
442
23.6K
Janeth Joel Rithe
Janeth Joel Rithe@JaneRithe·
Raha ya kucheka utekenywe sasa hawa wanajitekenya wenyewe
Janeth Joel Rithe tweet media
Indonesia
6
7
40
1.3K
Hajam Jackson retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Mimi ni Bibi na ni mremavu na mtoto wangu wamempiga RISASI nae amekuwa mremavu, Polisi mtafutieni kazi mtoto wangu hatutaelewana :SHUHUDA ARUSHA
Indonesia
5
119
601
8.2K
Hajam Jackson retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️ALERT‼️🚨 Baada ya jaribio lao la kutaka kumteka na kumpoteza Msaidizi wa Mhe. Lissu, kaka @daviddjumbe Abdul na genge lake kupitia Jeshi la Polisi wamepanga mpango wa kuigeuzia kesi CHADEMA na David Jumbe. Jana Jeshi la Polisi kupitia Faustine Mafwele, walisema kwamba wanafanya Uchunguzi ili kubaini wahusika wa tukio la kutekwa David Jumbe, lakin cha kuchekesha ni kwamb sasa hivi wamepanga kuja na Report ambayo itaonyesha kwamba CHADEMA ndo ilihusika kumteka Jumbe ili kuichafua Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama. Kuna media wamezipa pesa kwa ajili ya kuwasaidia kufanya spinning kwenye jambo hili so kuanzia leo mtawaona baadhi ya Watangazaji wanajifanya wanakuja na uchambuzi wa tukio la kutekwa Jumbe lakini Uchambuzi huo utakuwa ni wakupindisha ukweli wakidhan kwamba kwa kufanya hivi ndo kutawasaidia kujisafisha ili ionekane kwamba wao hawahusiki na matukio ya kuteka na kupoteza watu. Yani hawa wapuuzi wanateka na kupoteza watu baada ya kuambiana ukweli kwamba waache haya maujinga yao ya kuteka, kupoteza na kuuwa watu, wao wanatafuta watu wa kuwaangushia lawama. Uzuri Watanzania wa leo sio wajinga, wanajua mbivu na mbichi so hata muhanagaike vipi kupindisha ukweli ila watu wanajua kwamba Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama ndo inahusika na matukio ya watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa.
Indonesia
39
155
852
38.5K
Hajam Jackson retweetledi
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Boda Boda leo wameokoa Maisha ya mtanzania mwezao aliekua ametekwa Naomba Repost kama appreciation kwa boda boda wote
Dr Calipso tweet media
HT
17
364
1.5K
12K
Hajam Jackson retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hey @rioferdy5 Your good friend Paul is a human rights violator! Hope you do this fully knowingly amd willingly for free otherwise … it’s whitewashing and should be penalized! Cc @FCDOGovUK @StateDept
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
English
9
93
271
6.7K