Mk47
2.4K posts

Mk47
@Mk47_0g
A lawyer||God's fear || fan of Simba || Fc Barcelona || Manchester United || Hardwork pays. 🙏
New York, USA Katılım Haziran 2020
567 Takip Edilen582 Takipçiler

@IgoraIrene32964 Acha nitafte pesa tu niondoke kwenye nyumba za kushare bili ya umeme
Indonesia

@Mk47_0g Aisee hii inakwaza mi nlikuwa jobless nakaa home umeme ukiisha inabidi nisubiri watu watoke kazini ndo waweke muda mwingine wanarudi usiku saa tatu😂
Indonesia

@WideEdson Umeziba sura ukaacha Nyeti, kitu ambacho mtu akizigusa anaona sura yako 😁
Indonesia

@AbdulAlly253493 @Kicheche_jr "Sio tu kupiga pass na ku create"
🤣🤣🤣 Huna akili
Filipino

@Kicheche_jr Ningemchukua Jude Bellingham.
Sababu ni simple: anachanganya vitu vyote kwa wakati mmoja nguvu, pressing, kukimbia box to box, na bado ana goal threat kubwa sana. Yaani anakupa impact ya mchezo mzima, sio tu kupiga pasi au ku-create.
Filipino


@LifeofSteph_1 @Loiuggg Mkali namimi nabookmark hapa, nije nijue umetoboaje.
Slovenščina

@mee_nicodemus Mi nimeacha kabisa labda nimuone Fabrizio kasema. Haiwezekani mara unaambiwa Sororth mara Muriq daah 🤣🤣🤣
Filipino

@JackRthythm Kubeba ballon Dor sawa. Ila England hata akija Afcon tu hawezi beba, ile timu haijawahi kuwa serious
Indonesia

Ifike kipindi mpira umtendee haki mamae huyu babu ball striking yake🙌
huu msimu uwe wa kwake England wabebe WC achukue ballon d'or🙏
𝒈@gxrwayne
Harry Kane - Box Finishing
Indonesia

@Ninja_Damour @dosantos255 Kwahyo jamaa ye huwa anajisifia tu haimbagi ishu zingine? Hater.
Indonesia

@dosantos255 hakuna msanii tangu career yake anatoa ngoma zinazofanana tu, otherwise labda umekuja kuhate tu
Eesti

yule Lunya nani role model wake kwani ? Anachana vizuri, flow kali...ila career yake since namsikia kila jiwe ni kujisifia tu 😃
Celsius Ulanda@Celsius015
Freestyle ya lunya inadakika mbili ila nimeona kama ndefu nkatoa. #TAKATAKA 🚮
Indonesia

Leo tukifungwa na Manchester United naitoa Denver naandika Ashura hadi msimu unaisha, tunaenda kuwapiga vibaya sana hawa na hatutaki muje kuamulia tukianza kutembeza kichapo #Kisasinihaki
Filipino

@kenedsimon2 Hiyo tendon ogopa sana kaka. Huu ni mguu wa Kimpembe, unaweza ukae nje hata miaka miwili

Indonesia

@spana_Konki Niliwahi fikia kwa mwanangu mmoja sehemu kapanga, kuna single maza mmoja asubuh akawa anampiga mwanae wa kiume I guess ni anaweza kuwa darasa la tatu au la nne. Kisa tu dogo kajikojolea kitandani, dogo amapigwa na matusi juu tena ya nguoni, viungo vyote si vya baba wala mama.
Indonesia

Nyakati zinatofautiana. Leo nimesikia na kuona mama akimwambia mwanae mdogo Kvuma la mama yako, kataja hivyo full na yeye ndio mama mwenyewe, unafikiri mtoto anavyosikia hivyo huko baadae atashindwa kumuambia mama yake NO, SITAKI? Watasema zaidi ya hiyo NO, Nyakati zimebadilika
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
Tatizo letu kubwa sisi kwa tamaduni zetu Ni ngumu sana kumwambia mama yako NO. Na kama unaeza mwambia mama yako NO. Nani ambae huwezi mwambia NO?
Indonesia

@zungumendez @MwansasuSnr @PhitMathematic Mbona kuna ile clip kabisa na picha zilisambaa Jamaa aliekuwa akiuza vikapu yule
Filipino






















