KizeeAlex

3.1K posts

KizeeAlex banner
KizeeAlex

KizeeAlex

@Mperuzi

Procurement and Logistics Expert |Simba 🦁 Sc fan |Manchester united fan |Dogs 🐕 lover 🔥

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2021
110 Takip Edilen203 Takipçiler
Billy
Billy@BillyTronix1·
Sony 🔥🔥🙌🙌🙌
Billy tweet media
English
18
38
216
12.8K
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Ooh uwezi ajiriwa na ukawa Tajiri, mnawajua wafanyakazi wa TPA na TRA kweli?.
Indonesia
43
15
492
42.5K
FUND Samwel🔧
FUND Samwel🔧@Samskills_tz·
Unaelewa nini gari ikitoa/kudondosha maji kwenye Exhaust(Bomba la moshi)? 🚘
FUND Samwel🔧 tweet media
Indonesia
14
5
67
12.7K
KizeeAlex
KizeeAlex@Mperuzi·
@PinguRahim @Samskills_tz Mimi si Fundi ila ni Mtumizi wa Magari na nilijibuwa kwann MAJI YAKITOKA KIDOGO ASUBUHI AU GARI IKIWA HAIJAPATA JOTO NI KUONYESHA JIKO LIKO VIZURI ni 1. Mafuta yanachomwa vizuri, 2. Engine sio chafu kwahyo ukiizima na kupata unyevu ndio ile hutoka kama maji kidogo ukiiwasha
Indonesia
0
0
1
35
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
ATA engine mbovu inaweza toa maji. Head gasket imeungua, cylinder bores njia za maji na oil zimekutana,piston rings sio nzuri, block yenye ufa etc .kinachofanya maji yatoke ni system ambayo ipo nje ya engine ndio salama maji hayo hayo yakitoka kutokana system ambayo ipo ndani ya engine ni tatizo.
Indonesia
4
0
3
67
KizeeAlex
KizeeAlex@Mperuzi·
@cindaramadhan @Samskills_tz Mimi si Fundi ila ni Mtumizi wa Magari na nilijibuwa kwann MAJI YAKITOKA KIDOGO ASUBUHI AU GARI IKIWA HAIJAPATA JOTO NI KUONYESHA JIKO LIKO VIZURI ni 1. Mafuta yanachomwa vizuri, 2. Engine sio chafu kwahyo ukiizima na kupata unyevu ndio ile hutoka kama maji kidogo ukiiwasha.
Indonesia
0
0
0
14
KizeeAlex
KizeeAlex@Mperuzi·
@MosesMayala2 @Ndomba_9 @LeftWriter_ Wenye uelewa wa Sheria ni wachache sana ndugu yangu.😂 usipoteze nguvu zako kujibu watu. Sasa we umeona umeleta hoja na mtu anakujibu ungejua maana ya MP😂😂 na bado unamuelezea ili aelewe nn? Ila sisi Watanzania🙌🏾
Indonesia
1
0
1
163
Thomas Sankara
Thomas Sankara@MosesMayala2·
@Ndomba_9 @LeftWriter_ Unamanisha trafc pia anaweza kujihusisha na mambo ya jeshi ? Swala la barabani ni swala liko chini ya police Ikiwa kuna matusi yamehusishwa Pia upo utaratibu wa kisheria
Indonesia
1
0
1
547
Left Writer✍🏽
Left Writer✍🏽@LeftWriter_·
Dogo mwenye Crown amemgonga Bi mkubwa mmoja aliyekuwa anapush Raum. dogo kwa mbwembwe akatoka na kuanza kumfokea huyo Bi mkubwa. Bi mkubwa akawaita matrafiki waliokuwa karibu. Akajitambulisha kwa namba za kikosi. Trafik wakawaweka kando. Now wamekuja ma MP wa kikosi jirani.🙌🙌
Indonesia
61
64
1.2K
65K
Sarafina
Sarafina@Finah_Business·
@Aruatani Hil li happy lenyewe libovu mweee..hakuna hata unique taste😹
Indonesia
1
0
0
414
Rio Chimu
Rio Chimu@rio_chimu9663·
@Chahali Kaimu mkurugenzi mkuu Tiss mbona ninamashaka na ww cdf hayupo yupo ltn general makakala hayupo hapo yupo kaimu wake
Filipino
2
0
7
3.7K
KizeeAlex
KizeeAlex@Mperuzi·
@SsanAlly @Chahali Kwa Seniority ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama TZ huyo ni toka TISS na sio TAKUKURU
Indonesia
0
0
0
155
Ssan ally
Ssan ally@SsanAlly·
@Chahali Nafikiri ni boss mpya wa takukuru
Indonesia
1
0
1
12.6K
Mayunga Jr.
Mayunga Jr.@MpambeJ·
@TravisKitengo_ Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Utumishi wa Umma.
Indonesia
3
0
27
4.9K
Travis
Travis@TravisKitengo_·
Hapo kwenye plate Ina maana gani wakubwa
Travis tweet media
Filipino
33
30
348
55.5K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Huu ubunifu umevuka mipaka sasa wameanza kutengeneza mabati ya maua 🤣🤣🤣
PàChâ#1738 💫 tweet media
Filipino
32
48
539
25.8K
KizeeAlex
KizeeAlex@Mperuzi·
@GervasiGer10495 @munyamambogo Pole sana, ni Mkoa Gani ulikuwa na Wilaya au Kijiji kipi then walivaa Sare za Jeshi lipi? Ilikuwaje mpaka wakaondoka nalo? Jeshi la Polisi lilikusaidia kupata Gari yako!!
Indonesia
1
0
1
33
Gervasi Gervasi
Gervasi Gervasi@GervasiGer10495·
@munyamambogo Ilikuwa jana mida ya saa tano hasubuh watu 2 walio vaa sare za jesi walitaka kuiba gar Lan cruiser 150 walifanikiwa kukimbia polin mpaka number washafunga ila tuna shukur gar ilipatikana
Gervasi Gervasi tweet media
Indonesia
1
0
0
550
KizeeAlex
KizeeAlex@Mperuzi·
@damajack1 @emabilly2001 @anon_codex Shida si Gari bali Barabara ilivyo angesema katumia masaa 4:30 kwa Land Cruiser ningeelewa alifukia mashimo ila masaa 3 Dar to Moshi ni UONGO
Filipino
0
0
0
94
behind the scenes
behind the scenes@damajack1·
@emabilly2001 @anon_codex Mhhh kila nikifirikia kuyapita yali mashamba ya michungwa, kisha uyapite mashamba ya MO katani NB kama alipita Shortcut kun barabara ya vumbi
Filipino
1
0
3
1.2K
Beast
Beast@emabilly2001·
Nimeona ubishani kuhusu mzee wa coding @anon_codex kutoka Dar to Moshi katoka Dar saa 7 usiku na kufika moshi' kilimanjaro saa 11 alfajiri...kwa kutumia Toyota crown 👑 mwenyewe anaiita ndege ardhini Je inawezekana kweli kutumia 4hrs to moshi eti?
Beast tweet mediaBeast tweet media
Indonesia
17
0
88
14.2K
KizeeAlex
KizeeAlex@Mperuzi·
@iHumphreyz Wish ni Gari ambayo ina utulivu sana Barabarani hii ni faida kubwa sana unapokimbia.
Indonesia
1
0
0
179