@EngMapundajr Nilichakata mama, ambayo baada ya mchezo akili ikaniambia niipime. Manzi iliruka futi hapa na Inonelwa, nikaona sio Case nikavuta Konga kwa mwana akaniletea Package ya 30Days. Hamna kipindi nimewahi ishi na stress kama io asee. Mungu mkubwa nilivuka salama🙏
Ilikuwaje Ukanywa PEP,Story yako ipoje .??Mimi bana sindano used ilinichoma nikiwa nimepeleka Mgonjwa General Hospital Dodoma,Oyaah Huo Mzigo wa PEP kwanza unaeza kukufanya siku 28 uone ni Mwaka kmmmk na unaeza usimalize ... 😂😂😹
Kama wanaanga wanaweza kukaa kwenye chombo ambacho kina experience joto kali la centigrade 2000 kwa Nje wanashindwaje kwenda kuzunguka upande wa mwezi ambao una mwanga wa Jua . Ila NASA
Dogo mwenye Crown amemgonga Bi mkubwa mmoja aliyekuwa anapush Raum. dogo kwa mbwembwe akatoka na kuanza kumfokea huyo Bi mkubwa. Bi mkubwa akawaita matrafiki waliokuwa karibu. Akajitambulisha kwa namba za kikosi. Trafik wakawaweka kando. Now wamekuja ma MP wa kikosi jirani.🙌🙌
Vikosi vya Majini vya Jeshi la Ukraine vimeangusha helikopta ya kijeshi ya Urusi aina ya Kamov Ka‑27 iliyokuwa imebeba vifaa vya kupambana na manowari, juu ya Bahari Nyeusi.
Helikopta ya Ka-27 ni helikopta ya kijeshi ya Urusi iliyoundwa kwa ajili ya operesheni za kupambana na manowari na doria za baharini, na mara nyingi hutumika kutoka kwenye meli za kivita za Jeshi la Wanamaji la Urusi.
Over 2.5
ina ODDS 2.4
Sasa si bora uchaniwe na team ya nyumbani kuliko Madrid
😂😂😂😂
Kama ni kapombe unatukana hadi kwa page yake unaenda kutukana
Kuliko kutukana kwa Mbappe 😂
~Tafakari Chukua hatua
Depu 🇦🇴 akiwa na Young Africans 🇹🇿
⚽🅰️ vs. Mashujaa
❌ vs. Al Ahly
⚽️⚽ vs. Dodoma Jiji
❌ vs. Al Ahly
❌ vs. AS FAR
⚽ ⚽ vs. Kabylie
Mechi 6️⃣, Mabao 5️⃣, Assist 1️⃣