ngurunachi
714 posts

ngurunachi
@NguRu24
GENERAL COMMENTS ON SOCIAL AFFAIRS||HUSBAND ||FARTHER || Yasc fan||MAN U FAN||
Masasi. Katılım Temmuz 2024
72 Takip Edilen6 Takipçiler

@tabasokuringe Duuh, huyu mama ndio maana ameathirika!! anatumia dawa za kuongeza..
Indonesia

@HildaNewton21 Wewe utatangulia kwenye hayo maandamano kama yatadhubutu kuwepo.
Indonesia

@rose_mayemba Wewe mbona uko hai hadi leo. Acheni uwongo. Wewe ni mkosowaji mkubwa mbona uko hai!!?? Nyama wee!!
Indonesia

Huu ni mwendelezo wa ukatili wa Samia.
Hatuwezi kuendelea kumung'unya maneno kwa kujificha kwenye kivuli cha wasiojulikana.
Samia hapendi kukosolewa, ukimkosoa wewe adhabu yako ni kuuwawa au kupotezwa.
Tanzania imepata mwanamke katili wa karne.
Haya mambo hayajaisha, tusipochukua hatua yajayo yanatisha na kukatisha tamaa zaidi.

Indonesia

@PMadeleka Haijakwepa, imesema uchunguzi wake unahitaji uchunguzi wa jinai. Wao walichunguzi ukweli na sababu ya vurugu. We msomi mzima umeshindwa kusoma ripoti. Acheni uchochezi.
Indonesia

@davitheempire Wakenya mnajihusisha na siasa za TZ, za kwenu zinawaka moto. Nakwambia hivi, hamtafaulu kutugawa Watanzania kamwe, Nyama nyie!!
Indonesia

Vijana wa TANGANYIKA hawawezi kushimana na nyie wauwaji never never ever happened
Swahili Times@swahilitimes
"Niwaombe sana vijana mrudi muwe na mshikamano, msiharibu nchi yenu. Mkishikamana, adui hawezi kuwa na sehemu ya kupita, lakini mkikubali kutenganishwa, mjue adui mnampa njia apite. Nawaomba sana vijana tushikamane ili Tanzania ibakie kuwa moja." - Rais Samia Suluhu Hassan
Indonesia

@HildaNewton21 @MsigwaGerson Mwanamke ni mwanamke tu, sasa hilo linasaidia kisiasa au wewe binafsi kama mwanaharakati na mwanachama wa CHadema!!!
Indonesia

Kitu ambacho kimenifurahisha sana ni kitendo cha @MsigwaGerson kutoa mlio na kuanza kulalamika kwamba Serikali haram inashambuliwa kisawasawa mpaka anaomba backup kwa maafisa Habari.
Means UVCCM + machawa wote kazi imeshinda ndo maana anaomba backup.
Wapendwa tuendelee kupiga kwenye utosi hii ngoma tayari ishaelekea kibra.😂
Indonesia

@HildaNewton21 We malaya unayoyafanya hayata kusaidia kitu. Utaendelea kuumia roho na kuishi kama Panya hadi mwisho wa umalaya wako!!
Indonesia

@HildaNewton21 @HecheJohn @MsigwaGerson Huyu malaya nae anajidanganya sana. Watt mmewadanganya wakapoteza maisha, sasa mnaanza mambo mengine!!
Indonesia

Naona @MsigwaGerson anawalaumu maafisa habari kwa kutoitetea serikali haram ya Dikteta Idd Amin Mama.
Pumzi imewakata mpaka wanaomba backup kudadeki na bado tutawapelekea moto mpaka mteme ndoano.😂😂😂

Indonesia

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Aliyekuwa mwanasheria msomi wa Yanga SC SIMON PATRICK ameandika Haya kupitia mitandao yake ya Kijamii.
“Maamuzi ya kupeleka Derby uwanja wa Mej. Jenerali Isamuhyo - Mbweni ni ushindi wa Yanga na Simba kufanikiwa kuwa juu ya vyombo vya mpira wa Tanzania na kielelezo cha UDHAIFU wa viongozi wa soka nchini jambo lililolelewa kwa muda mrefu.”
“Derby hii ni urithi wa taifa la taifa letu, kitendo cha kuruhusu mchezo huu kuupelekwa Mbweni ni kuwakosea heshima mashabiki wa mpira, kwani uwanja huo ni mdogo sana kwa derby ya kariakoo.”
“Kwa trend hii, sitashangaa derby ijayo tukiambiwa inapigwa Avic Town na inayofata tukaambiwa inapigwa Bunju.”
Mungi ibariki Tanzania🇹🇿.”
NB: Tulilinde taifa letu, sis sote ni ndugu🙏🏿"
#MeaMswahiliUPDATES

Indonesia
ngurunachi retweetledi

Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria.
Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi.
Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia
ngurunachi retweetledi

Today, Tanzania takes an important step in the right direction. The release of the Commission of Inquiry's report into the post-election violence is a significant moment, for accountability, for our democracy, and for our healing as a country.
#Tanzania #CommissionOfInquiry #Democracy #Accountability #GoodGovernance
English

@Roma_Mkatoliki Sasa mbona unasema waliouliwa na kupotelewa na ndugu zao. Kupotea ni kuuliwa. Nyama wee!!
Filipino
ngurunachi retweetledi

John Wegesa Heche ni Mwanasiasa Aliyefilisika
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na zura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati. Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:
1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili.
2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko.
3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu.
4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani.
5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika.
6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa.
7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

Indonesia

@Advocate_Jebra Hivi kuna watu wanajuwa kuwa Dunia aliwahu kushughulikiwa kwa kushikwa ugoni!!??
Filipino

@JohnNgutiCDM Mkikamatwa mkajibu tuhuma mahakani mna lalamika, pambafuu.. Unawezaje kumtukana Rais wa nchi!!??
Indonesia

Ilaaniwe ile siku aliyozaliwa huyu Mwanamke, Lilaaniwe tumbo lililombeba, Walaaniwe waibarikio siku hiyo, Ujio wake kwenye Dunia hii umekuwa ni msiba na kilio cha kudumu kwa maelfu ya Watanganyika.
Leo Samia ametimiza miaka 66, Miaka 6 akijiita Raisi wa Tanzania, Ni ombi letu kwa MUNGU usiongezeke mwaka mwingine kwake, Machozi na Maombolezo ya Watanganyika yafike na kusikika mbele za Mungu. Wote tuseme AMEN.

Indonesia
ngurunachi retweetledi













