SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬

95.8K posts

SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 banner
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬

SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬

@Olturunga1

A TEACHER| IT& MATH'S | UP-COMING RIGHT WING POLITICIAN | LOVE MY PEOPLE. TANZANIA IS MY MUM, AFRICA IS MY HOME.

Francisco Katılım Kasım 2018
336 Takip Edilen1.5K Takipçiler
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Wewe mjini huendi. Utaenda jela. Sio tu US, hata KE, SA na Ulaya unahitajika. FYI, vibaka uliowatuma SA & KE waambie waondoke kabla maji hayajalowana. We si katili? Nenda mwenyewe ukalambe umeme. Be guided accordingly!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
0
17
82
1.2K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: CCM WANATUONA SISI WAKOMA, WENGINE WANATUITA NGUCHIRO, WAMEUWA WENZETU, TUNA MUNGU - MNYIKA Katibu mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika leo Mei 22, 2026 amesema chama cha Mapinduzi (CCM) kinawaona wananchi kama wakoma na wengine wanawaita wananchi nguchiro na wameuwa watu kwa sababu ya uchaguzi, awataka wananchi kuwa wavumilivu kipindi hiki kama CCM isiposikiliza wananchi basi wananchi watawafuata CCM kwenye makambi yao (akimaanisha kufanya maandamano ya kuondoa utawala huu wa chama cha CCM) ili kupata uhuru, haki na Demokrasia. Zaidi: youtube.com/live/BjFJPPMM9…
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
3
12
335
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
From a volunteer:👇🏽 “Brother huyu jamaa (mwenye jezi) na wenzake ni katika kikosi cha Mafwele yaan ndio watekaji & wauwaji; huyu ni msukuma na hadi saiv bado lafudhi yake ni ya kisukuma chenyewe.” Guys help us identify these thugs.
Tito Magoti tweet media
Indonesia
29
266
1.3K
50.3K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Tumesikia sauti yenu kwamba mnataka maandamano, watu wameuwawa watu wanahasira turuhusuni tuamshe nchi nzima twende kambi ya washami :JOHN MNYIKA
Indonesia
0
8
42
580
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
@RioMeets baada ya kuona tunampelekea moto kila kona mpaka kwa mkewe, kaona wamuitishie press kabisa ili atoe ufafanuzi halafu kupitia huo ufafanuzi wake ndo tumejua ambayo tulikuwa hatujui.😂😂😂
Indonesia
0
9
60
1.1K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Kaka @Liberatus80 , ni vema nikupe maua yako ukiwa bado uko hai. Angalau kuku encourage. Wewe ni kati ya watu tangu nimekufahamu spirit yako ya kupigania hii nchi haijawahi shuka. Na sasa ni kati ya watu wanaocheza winga ya juu ya international corridors kwa umahili mkubwa. Bigup
Marcus tweet media
Indonesia
9
44
151
2.2K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Tumesikia sauti yenu kwamba mnataka maandamano, watu wameuwawa watu wanahasira turuhusuni tuamshe nchi nzima kisha twende kambi ya washami :JOHN MNYIKA
Indonesia
0
29
136
1.9K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Asanteni sana Arusha mjini💪
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
4
75
366
3.6K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Kuna mpumbavu anatishia kufuta Chama labda akafute ndoa yake sio Chadema :LEMA
4
18
133
2.2K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
We must never normalize abductions and enforced disappearances. Every person has the right to protect themselves and to stand in defense of their families and fellow citizens. Congratulations to everyone who took courageous steps to help save the life of this Tanzanian. ENFORCED DISAPPEARANCES AND ABDUCTIONS ARE GRAVE VIOLATIONS OF HUMAN RIGHTS BAK Mwabukusi.
Boniface Mwabukusi tweet mediaBoniface Mwabukusi tweet media
English
0
39
104
1.5K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Wakili.tv
Wakili.tv@WakiliTv·
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC),@thrdcoalition wamelaani kwa nguvu zote tukio la kutekwa na kuteswa kwa David Joseph Mghanja @DJumbe, msaidizi wa Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Taifa Tundu Lissu.
Wakili.tv tweet mediaWakili.tv tweet mediaWakili.tv tweet media
Indonesia
1
10
28
681
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Katiba Mpya! Free Tundu Lissu! Mhe. @jjmnyika
Filipino
1
48
161
1.6K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Arusha MJINI leo kiliwaka. CHADEMA ndio tumaini la Watanzania. Repost 200
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Filipino
7
59
246
1.9K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨”POLICE SHOT MY SON!” ‼️ This woman sorrowfully recounts how CCM cadre showed armed police her son’s office and the police shot him in the stomach He is one of THOUSANDS of victims who were shot by the security forces collaborating with CCM Her son is among those who survived the October 2025 #TanzaniaMassacre but he is now paraplegic! There is so much pain, sorrow and anger - this is a ticking timebomb #SamiaMustGo @IntlCrimCourt @UN_HRC @ACHPR @StateDept @SenateForeign @SFRCdems @Europarl_EN Nyie @tanpol watanzania si waoga na msifikiri mauaji halaiki yamesahaulika - kuna siku haya machungu yatalipuka ndo mtajua kama watanzania ni wapole ama la! Hamuwezi kumwaga damu za maelfu alafu mkatunyamazisha! Mtawajibika tu!
English
6
58
146
2.4K
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kwenye #ToneTone la Viwanja vya RELINI. Watu wa Arusha mjini wameichangia CHADEMA shilingi 2,815,000. Hadi sasa ARUSHA imevunja rekodi ya #ToneTone tangu kuanza kwa oparesheni #KatibaMpya #FreeTunduLissu. Ungana na watu wa Chugga angusha TONE lako kupitia 0744 44 69 69; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower.💪
Indonesia
4
25
137
2.4K