Onesmo Shoo

11K posts

Onesmo Shoo banner
Onesmo Shoo

Onesmo Shoo

@OnesmoShoo

In all what I know,I know God is able. #TUJIANGALIE.🦁🦁🦁

Katılım Eylül 2019
2.8K Takip Edilen1.5K Takipçiler
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
Subaru forester SJ series ndio the New Toyota IST. Gari imenunuliwa 🙌
Indonesia
2
0
8
383
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Ni kweli tunawapenda wasafi kama hivi ila sasa. Umasikini ndio unatutenganisha nao. Mwanamke ku set standard ni kitu kidogo sana. Mwanaume kuweka standard inahitaji uwe na pesa. Sisi wa mikoani tuna afadhali sana maana ukiwa na 500k hakuna manzi anakusumbua MPANDA yote😂
Koku Shekya🇹🇿@koku_shekya

Skin 🍫 dayuuum 🙊😂

Indonesia
54
21
308
17K
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Mchaga anatoka Kishimundu, Kilema, Uru, Kwa Rafael, Kwa Edita, Masama, Machame, Himo, Marangu halafu anaenda mojaa kwa moja hadi Maji moto Sumbawanga kutafuta maisha na anaipatia kweli. Wachaga kwani nyie machimbo huwa mnaonyeshwa na Mungu au Mizimu? Mtuambie bwana.
Indonesia
16
9
198
9.8K
Onesmo Shoo retweetledi
Hassan Khamis 🇵🇸
Hassan Khamis 🇵🇸@hassankham1s·
Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi unaolenga si tu kutoa taarifa, bali kuelimisha na kuhamasisha fikra pana za kijamii. Anajitofautisha kwa uwezo wake wa kuchambua masuala magumu kwa utulivu na umakini, akitoa hoja zenye mizani na ushahidi badala ya mihemko. Uandishi wake unaonesha nidhamu ya kitaaluma, heshima kwa wasomaji, na dhamira ya dhati ya kuona jamii inapata maarifa sahihi ili kufanya maamuzi yenye tija. Huu ni uandishi unaojenga, si kubomoa. Katika mazingira ambayo mara nyingi yanakumbwa na kelele za taarifa zisizo na kina, Khalifa Said anasimama kama mfano wa mwandishi anayezingatia ukweli, uwajibikaji na maadili ya taaluma. Ni aina ya uandishi unaohitajika zaidi katika kujenga jamii yenye uelewa, haki na mwelekeo sahihi wa maendeleo. Kwa mantiki hiyo, ni wajibu wa jamii, wasomaji na wadau wa habari kuunga mkono kazi zake na kuenzi mchango wake katika kuendeleza uandishi wa kina, huru na wenye uwajibikaji. Kuunga mkono uandishi wa aina hii si tu kumsaidia mwandishi mmoja, bali ni kulinda mustakabali wa ukweli, haki na mjadala wa maana katika jamii yetu.
Hassan Khamis 🇵🇸 tweet media
Indonesia
47
195
1.1K
36.8K
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
Nimeanza kuamini Rais amezungukwa na Useless peoples. Au ni mpango wa kumdhalilisha unaendelea🤔 Yani Lita 1 iuzwe Milioni 2 na bado anasema amerekebishwa🫢🫢
Filipino
108
101
563
36.9K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hii ni kadi ya babu yangu ya mwaka 1952, alipokuwa mpinzani wa serikali ya wakoloni kupitia Kilimanjaro Chaga Citizens. Leo nimejisikia kuwa na nguvu sana baada ya kuiona. Najua babu yangu alikuwa mcha Mungu sana, lakini kadi hii imenipa fahari zaidi na kunikumbusha misingi imara aliyosimamia. Inaonyesha ujasiri, mshikamano na hekima ya WACHAGA, huku pia ikibeba ujumbe unaomgusa kila mtu. Shabaha na amri zao zilikuwa , Kuungana Kupendana Kuaminiana Kushirikiana mawazo na mali Huu ni urithi wa thamani unaoonyesha fahari ya Kichaga, lakini pia ni mwongozo wa maisha kwa yeyote anayetamani umoja, heshima na maendeleo. Kwa kweli inanipa motisha ya kuendeleza alichoanza babu yangu kwa vitendo. Mmeona hapo , Mawazo na Mali ?? 😂
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
50
199
1.2K
47.9K
Max
Max@maxannania·
Mimi ni mhasibu, tunasoma taxation kwa kiwango fulani, lakini naomba kusaidiwa na watu walio specialize kwenye Kodi na Uchumi. Kwa nini kuna kodi kubwa namna hii kwenye Motor vehicle importation kuzidi hata original price ya chombo? Gari inauzwa 12M halafu important duties/levies ni 18M!! How and why?
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari

Hii Gari inauzwa $4600 Kama Tsh 12M Inakua imefika Bandari salama.. . Ikifikia Bandari salama sasa hio Kodi Yake Kama Imepita Straight of Hormuz.. . Chuma ikifika tu Mama anataka 18.3M utafikiri imetengenezwa Unguja.. . Angalia hapo chini Kikotoo cha Tiaraheii utashangaa..

Filipino
56
26
220
46.9K
Onesmo Shoo
Onesmo Shoo@OnesmoShoo·
@dee_dnd @maxannania We unasema gari Tu,hapa Mwanza mpaka Nairobi ni karibu kuliko Dar -Mwanza,Kenya(Nairobi) vitu vinauzwa bei nzr,njoo kwenye legal tax clearance ndo utakapo acha ndala🤔, Africa tunashida Sana.
Indonesia
1
0
4
787
Dee🌦
Dee🌦@dee_dnd·
@maxannania Vipi nikiagiza ikafikia kenya then nikaifata kuileta tz kwa kudrive sitokuwa nimekwepa kwa kiasi fulani matozo ya bongo au ntayakuta mpakani?
Indonesia
11
0
2
4.9K
Onesmo Shoo
Onesmo Shoo@OnesmoShoo·
@SlimZeblues Nahisi miundo mbinu Bado changamoto,wakilegeza Kwa hizi barabara zetu hapatatosha.
Indonesia
1
0
1
22
SLIM
SLIM@SlimZeblues·
Jinsi gari zinapigwa kodi utafikiri kuna viwanda vya magari vya ndani kwahiyo wanaweka kodi mlima ku discourage watu wasiagize, kumbe hatuna hata kiwanda cha baiskeli. 😂😂😂😂
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari

Hii Gari inauzwa $4600 Kama Tsh 12M Inakua imefika Bandari salama.. . Ikifikia Bandari salama sasa hio Kodi Yake Kama Imepita Straight of Hormuz.. . Chuma ikifika tu Mama anataka 18.3M utafikiri imetengenezwa Unguja.. . Angalia hapo chini Kikotoo cha Tiaraheii utashangaa..

Indonesia
1
1
10
721
Eng Octavian Lasway
Eng Octavian Lasway@Octavianlasway·
Prof. Kitila @kitilam is showing us a very important direction: we need to rethink how business is done by reducing unnecessary bureaucracy and regulatory barriers. In today’s world, successful businesses are no longer built only in large shops or industries; even a single room can become the foundation of a million-dollar enterprise. This is the time to change our mindset, support innovation, and work toward building a stronger nation.
English
30
51
214
25.8K
Onesmo Shoo
Onesmo Shoo@OnesmoShoo·
@EngJubel Tunayakimbia Sana magari ya umeme Kwa sababu ya kukosa mafundi.nawaza Sana mwanangu akasomee hii kitu.
Filipino
1
0
1
237
Eng Jubel
Eng Jubel@EngJubel·
Jifunze umeme wa magari then kua mnoma, utakula pesa.
Indonesia
10
33
281
11.3K
Onesmo Shoo
Onesmo Shoo@OnesmoShoo·
@prossoff Kwenye mafundisho ya ndoa kuna kipengele cha kuwaacha wazazi, zingatia kuwaacha wazazi.
Indonesia
1
0
5
466
Dr. Thadeus Mihayo
Dr. Thadeus Mihayo@Dr_Thadeus_19·
Ni jina gani la mbwa hapa haukosi 😄😄
Dr. Thadeus Mihayo tweet media
Indonesia
465
40
524
47.7K
Onesmo Shoo retweetledi
Dear Son.
Dear Son.@DearS_o_n·
Having kids is great, but staying alive to raise them is a real blessing. To all the dads out here, I wish you a long and a healthy life.
English
37
214
2.7K
45.6K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
X Drivers ,,Kwenye Hii 180kph hapa tunatokaje wakuu au Tuandae Wasifu wa Dereva kabisa .?😤😤
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
71
27
197
36.3K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Nakumbuka tukiwa kwenye early teens tukaanza kubeba nondo home. Tukaweka "facilities" zetu karibu na dirisha la jikoni,mara Bi mkubwa katuona. Alisema "Tafuteni sehemu nyingine ya kula mimi sitawaweza,kwanza mmeshanishinda"🤣 It was like joke lakini kweli tulikua tunakula bwana🙌🏼
Indonesia
27
26
434
26.4K