Sabitlenmiş Tweet
Pascal
17.2K posts

Pascal
@PascalKide
Measure twice , Beat once
Mombasa, Kenya Katılım Mayıs 2020
8.2K Takip Edilen8.5K Takipçiler

@Sisimizi3 Wapigania haki haki Yao ni kuuliwa lkn wezi wa mabilioni ya nchi haki Yao kusemwa
Indonesia

@Aruatani Kiitifaki Ambulance lazima isubili Raisi apite kwani Ambulance kuna muda zinabeba wahalifu...
Sio ambulance zote hubeba wagonjwa
Indonesia

@BERNARDKOMBA @AmRosalinee Kipindi cha Magu Kuna watu walikuwa miungu watu Bashite ,sabaya na Heri James na wakuu wa wilaya baadhi
Filipino

@AmRosalinee JPM pamoja na unyama wote uliofanywa na wapambe wake, anabakia kiongozi bora aliyetaka kuijenga nchi kiuchumi, ningepata nafasi kuwepo Chato nadhani ningetoa ushuhuda mkubwa ambao hata viongozi wa serikali wanaujua, JPM kajenga nchi, kama mauaji yachunguzee ili kujua alihusikaje
Indonesia

@prize_tz @mangekimambi Huyu alijua kucheza na akili za wabongo, analeta ndege mnafurahi anakuja ASSAD anaeleza hasara za ndege mnamchukia anafukuzwa kazi mnashangilia😂😂
Indonesia

@mangekimambi Kwa magufuri hata mseme nn aliyoyafanya tulishuhudia hivo hata mpake matope vp uhalisia utabaki vile na ndo raisi watanzania wakimpenda kumwamini na kumsikiliza watz hawahitaji siasa sijuwi nn we need utendaji Bora thus mkimgusa Jpm watu wanawakataa
Indonesia

Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa.
Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa.
Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari kupigwa pini na serikali ilianzia hapa, kifo cha ITV na media zingine kubwa kilianzia hapa na mara nyingi nilikiwa natoa warning kwa Watanzania kipindi cha Magu, nikiwaambia hii system mnayoruhusu Magufuli aijenge eti sababu anawaita wanyonge na kusema mliibiwa sana mkae mkijua ndio haitofutika tena bila damu kumwagika. Nilikuwa nawaambia hii all the time and sure enough aliemfata akaendeleza kwa speed ya 5G na akaongeza ukatili mara elfu 10.
Mnao mliliaga huyu kiumbe mlilieni tu ila pia msijitoe akili, mkubali kuwa mateso tunayopitia sasa hivi chimbuko ni Magufuli……
I hope tumejifunza kitu na huko mbeleni hata mtu gani atuite wanyonge hatutompa unchecked power. Now let’s fight to undo the mess Magufuli started, tulete haki kwenye nchi yetu ili tuweze kuwa na amani.
HAKUNA AMANI BILA HAKI NA HATUTAKI AMANI KAMA HAKUNA HAKI. SIO SISI TUKOSE HAKI ZETU NA RAHA KWENYE NCHI YETU ILA KUNDI DOGO LA MAFISADI MNATULAZIMISHA TUWAPE AMANI ILI MU ENJOY MALI ZENU MLIZOTUIBIA KWA AMANI. BORA TUKOSE WOTE…… NARUDIA EITHER HAKI ITOLEWE AU TUKOSE WOTE!!!!!!!

Indonesia

@ManjiwaBalozi @Sativa255 Sasa swimming pool langu binafsi linahusiana na biashara nalipa Kodi Kwa huduma gani ambayo Serikali wamejitolea kuhusu pool yangu
Indonesia

@Sativa255 Lete Hoja sio vihoja Kodi ndio lango la maendeleo hivyo acha kelele
Eesti

@Dunguboy1 Kama risasi zilishindwa ,mahakama inashindwa ,vibaraka na chawa wanashindwa sembuse kamba, nakuapia utatangulia wewe kama aliyetaka kumuuwa Kwa riaasi
Indonesia

@fahad_znz @AlexSamoja Mtu amekukaribiasha kwake akakusomesha ,amekupa ajira ,malqzi na malqzi umekua mkubwa unaleta ujeuri?
Indonesia

@AlexSamoja Moja ya dhambi kubwa binadam anaweza kuifanya ni kuogop kiumbe.
Na hili waislam tunalijua ndo mana unakuta lipoingia suala la imani yetu hata binadamu awe na cheo gani katika dunia tunamuomba mdogo sana, umuhimu wa Imani yetu unabaki juu zaid ya cheo chake. Na hofu hupotelea hapo
Indonesia

@Sativa255 Siungi mkono mambo yanayofanywa na CCM na watu wake ila kuna muda tuwe na hoja zenye mashiko kuliko kudandia kila mada na kuitengenezea Story.
Unashindwa kugundua kwamba Drug dealers wanatumia flags za nchi zisizo kwenye Alarm kuhusishwa na Biashara za Madawa kufanya kazi zao ?
Filipino

@SamsonDanielDS @Oziko_Jo @Sukayotz Kaka wewe huna akili??? Kwahiyo ukiamua kula chakula hadi andiko liseme??
Filipino

@PascalKide @Oziko_Jo @Sukayotz Tatizo ni Bible. Haijathibitisha.
Sema Bible nikubwa can you Help me,kitabu Gani,fungu Gani?
Eesti

@Sisimizi3 Kabla ya maridhiano wanatakiwa kukiri makosa kuwa waliua watu, ndio watekaji, wanaiba kura
Baada ya hapo waape kutorudia makosa
Indonesia






















