Rachel Dangwa

447 posts

Rachel Dangwa banner
Rachel Dangwa

Rachel Dangwa

@RachelDangwa

This is not the official X account of Rachel Dangwa | Huu si ukurasa rasmi wa Rachel Dangwa hapa X.

Katılım Ocak 2026
8 Takip Edilen114 Takipçiler
Rachel Dangwa retweetledi
Tonny
Tonny@TonnyAdamms·
@IAMartin_ unbelievable. Hiki ni Nini? Kulipa Kisasi? Wivu? Siasa? Kudhulumiana? Sipati Majibu. Sura ya Tanzania imechafuka. Vijana wetu wamelishwa SUMU YA CHUKI NA ROHO MBAYA. HAKI inapo kosekana katika JAMII, ZINAPOKUWEPO SHERIA ZA AINA MBILI, Moja kwa Watu Masikini, hohehahe; Nyingine
Indonesia
2
3
16
4K
Rachel Dangwa retweetledi
Sundai
Sundai@sosiholics·
@IAMartin_ Watu wanajiona wako salama kwa kunyamaza kimya eeh! Hili ni taifa la kondoo linaloongozwa na serikali ya dubu, kila mmoja atafikiwa uwe mweupe ama mweusi mrefu ama mfupi, ni bora kufa wengi kwa wakati mmoja tuwashinde hawa watu ama kusubiri kutwaliwa mmoja mmoja. Ni swala la muda
Indonesia
2
2
34
3.8K
Rachel Dangwa retweetledi
Gmmy
Gmmy@jkbtetes107·
@IAMartin_ Anaesema mapenzi yanauma me nakataa..tanzania inauma kuliko chochote hasa hasa hiki kipindi 2021-2026🥲 chini ya huu utawala dharimu
Filipino
0
1
27
2.3K
Rachel Dangwa retweetledi
#MTB🌍, MD
#MTB🌍, MD@Iam_Malunguja·
@IAMartin_ Ni mdogo sana huyu almost 22-23 i know him najiuliza janja kawakosea nini au alikuwa mpina spana?? Au ni issue za madili ya hela au ni nini naanza kuogopa aisee🙌🏿
Indonesia
2
1
13
4.2K
Rachel Dangwa retweetledi
Mnegro
Mnegro@Mnegrotz·
@IAMartin_ @Mvuvi_Nyasa Serikali ya @ccm_tanzania ndo imetufikisha hapa kwa maana kuteka kwao ni kawaida na hata watu binafsi wakiwa na personal issues ni rahisi kutumia hiyo loop maana mwenye dhaman ya kukemea na kukomesha utekaji naye ni mtekaji na muuwaji😭😭😭
Indonesia
1
1
2
2.7K
Rachel Dangwa retweetledi
Amanitz
Amanitz@Amaniaman1980·
@IAMartin_ Siku hizi raia halindwi tena na mali zake. Mambo yameshaharibika🤔.
Indonesia
0
1
5
1.6K
Rachel Dangwa retweetledi
Penetration Officer 🔥🔥
@IAMartin_ Na kuna mtu anakuambia haya ni matukio ya kujiteka kwa sababu ya mapenzi,madeni ama mambo ya kishirikina. Kuna namna tunapaswa tumlilie mwenyezi Mungu aingilie kati haya mambo yameshamiri.
Indonesia
0
1
8
2.2K
Rachel Dangwa retweetledi
SABUFA
SABUFA@KITINDE4·
@IAMartin_ Sema kweli tulivyo kuwa wadogo wazazi walikua wana tuahidi kwenda dar kusalimia ndugu na tulikua tuna taman kufika dar ila sasa ivi kijana ukiwa dar nikama uko jehanamu uki kosoa kidogo tu wana kuteka ukiwa pande hizo aiseee jaman kwnini tunafika uku wa TZ
Indonesia
0
1
6
2K
Rachel Dangwa retweetledi
Mpinga Noma
Mpinga Noma@MpingaN8675·
@IAMartin_ kuhusu mtu unayemtaja James Temba: taarifa kama hizi zinahitaji uthibitisho wa vyombo rasmi vya uchunguzi si salama wala sahihi kuzihitimisha moja kwa moja kupitia mitandao bila taarifa ya polisi au ripoti ya kitabibu
Indonesia
2
1
1
668
Rachel Dangwa retweetledi
FailiKali TZ
FailiKali TZ@KwanzaFaili·
@IAMartin_ Pole kwa familia. Uwajibikaji unahitaji matokeo, si maneno tu.
Indonesia
0
1
1
1.1K
Rachel Dangwa retweetledi
Cool J
Cool J@cooler1134180·
@IAMartin_ Kijana anaonekan humble, sijui ni kosa gani kafanya adi amestahil adhabu Kubwa namna hiyo💔💔🕊️
Indonesia
0
1
3
770
Rachel Dangwa retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nimeona video imesambaa mtandaoni, maiti ya mwanaume imeokotwa ikiwa imekatwa kichwa, inaelea katika bonde la mto Msimbazi eneo la Tabata. Baadae nakutana na chapisho la msanii, Mh. Temba anasema ni mjomba wake anaitwa James Temba. Nchi yangu imeharibika sana. Tumefikaje hapa?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Filipino
54
182
1.1K
41K
Rachel Dangwa retweetledi
sultan
sultan@chapanombombwi·
Watu wanatekwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanauliwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanabakwa na kulawitiwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanabambikiziwa kesi, jamaa hawajali wapo kimya tu. Unawezaje kusema una vyombo vya ulinzi katika nchi ya namna hii? Ndugu zangu, jukumu la kulikomboa taifa tunalo mikononi mwetu. Kama yupo hata mmoja anayedhani hawa watu kuna siku watatupa taifa bora, basi huyo mtu ni mtumwa wa ki-fikra!
sultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet media
हिन्दी
34
90
260
14.2K
Rachel Dangwa retweetledi
Gido Man
Gido Man@gwido_mlowe·
@godbless_lema Chadema inawatu makini kwelikweli
Filipino
0
2
1
65
Rachel Dangwa retweetledi
Fanuel Arsene
Fanuel Arsene@ArseneFanuel·
@godbless_lema ila waandishi wa siku hizi wamezidi, et Msimamo wa Lissu "HUKO" pale pale.....wanatia aibu sana walimu wa lugha 😃...GS amenyoosha vizuri btw ✌
Indonesia
0
2
0
89