FailiKali TZ

1.9K posts

FailiKali TZ banner
FailiKali TZ

FailiKali TZ

@KwanzaFaili

Nyumbani kwanza

Dodoma Katılım Mart 2017
76 Takip Edilen6 Takipçiler
FailiKali TZ retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewasili Bungeni hii leo akiwa ameambatana na nyota wa soka duniani, Didier Drogba, kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Katika tukio hilo la kipekee, begi la bajeti ya Wizara hiyo limebebwa na Drogba, jambo lililovutia hisia za wengi kwani kwa kawaida mawaziri ndio hubeba wenyewe begi hilo la Bajeti. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
13
2
36
3.2K
Gololo
Gololo@ndandavale·
"Tume ya Jaji ya Chande imeshindwa kabisa kuona kuwa vyombo vya usalama vimetumia nguvu kubwa na nguvu hiyo ndio iliyosababisha mauaji. Sasa wauaji wasipotajwa. Je! Kutakuwa ba hatua za uwajibikaji?" Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #UkweliHakiUwajibikaji
Gololo tweet media
Indonesia
1
2
4
55
FailiKali TZ
FailiKali TZ@KwanzaFaili·
@dictatorbin Ripoti iko. Ghasia ziliratibiwa? Wabebeshwe jukumu. Matokeo, si maneno.
Indonesia
0
0
0
1
MWALIMU🙏🇹🇿
MWALIMU🙏🇹🇿@dictatorbin·
Baada ya kusikiliza maoni ya kiapo 953 na mazungumzo na raia 6205, Tume ilitoa ripoti yenye ukweli halisi. Ghasia za Oktoba 29 zilikuwa na uratibu mkubwa na mbinu nyingi. Tume imefanya kazi kwa uadilifu na kujitolea mkubwa. Ripoti hii itasaidia nchi kujenga demokrasia bora na
MWALIMU🙏🇹🇿 tweet media
Filipino
3
12
12
61
𝗔𝗡𝗞ALI.
𝗔𝗡𝗞ALI.@Papito_120·
Uaminifu wa Tume ya Uchunguzi umeonekana katika jinsi walivyokabili matusi na kuendelea kutoa ukweli. Walikusanya maoni mengi na kufanya kazi kwa bidii. Ripoti yao inaonyesha jinsi ghasia zilivyopangwa miezi kabla. Vijana walikuwa wakitayarishwa katika sehemu zilizofichwa.
𝗔𝗡𝗞ALI. tweet media
Indonesia
5
9
8
48
FailiKali TZ retweetledi
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye amefanya ziara nchini Tanzania na kukutana mwenyeji wake Samia Suluhu Hassan, amesema nchi yake itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuchochea amani na utulivu kwenye ukanda na kuhakikisha ustawi mzuri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Indonesia
0
1
2
22
Maelezo News
Maelezo News@maelezonews·
Katika kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata taarifa sahihi kuhusu mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali, Wizara imeratibu mikutano 30 ya taasisi za Serikali kuzungumza na waandishi wa habari ambapo. Aidha, iliratibu mikutano 15 ya Waheshimiwa Mawaziri kuelezea utekelezaji wa majukumu na utekelezaji wa ahadi za Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha siku 100 za muhula wa pili wa Serikali ya Awamu ya Sita. Vilevile, Wizara imechapisha nakala 20,000 za Jarida la NCHI YETU linalohusu mafanikio ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali. - Mhe. Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. #HotubaHabari #HotubaUtamaduni #HotubaMichezo #HotubaSanaa #BungeniLeo #PaulMakonda
Indonesia
1
0
1
34
FailiKali TZ retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akiwa na aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Wizara ya Habari leo inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2026/27.
Swahili Times tweet media
Indonesia
6
2
73
3.8K
FailiKali TZ
FailiKali TZ@KwanzaFaili·
@420Cousin Diplomasia ya uchumi inabidi ilete matokeo. Bandari ya Dar kutoka siku 46 hadi 7. Hesabu hazidanganyi.
Indonesia
0
0
0
5
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Tanzania imerejea katika nafasi yake ya ushawishi na uongozi, huku ajenda ikiwa imebadilika kulingana na mahitaji ya wakati huu. Dar es Salaam bado ni jukwaa muhimu, tofauti ni kwamba sasa vita si vya bunduki bali ni vita vya uchumi na ushirikiano wa kimataifa. Miaka ya 70 na 80, Jiji la Dar es Salaam halikuwa tu mji mkuu wa Tanzania bali lilikuwa kitovu cha siasa za ukombozi barani Afrika. Chini ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere, Tanzania ilijijengea heshima kama ngome ya Frontline States ikiwahifadhi, kuunga mkono na kuratibu harakati za ukombozi kutoka nchi mbalimbali mfano Afrika Kusini, Msumbiji, Zimbabwe na Namibia. Kipindi hicho, ziara za viongozi wa kimataifa hazikuwa matukio ya kawaida zilikuwa ni nyakati za tahadhari, na misukumo ya kisiasa na mijadala mikali ya kimkakati. Kila kona ya Dar es Salaam ilikuwa na uhai wa kiintelijensia wanahabari, wanadiplomasia na wadau mbalimbali wakijaribu kufahamu ajenda za mikutano hiyo watazungumzia nini, nani ataungwa mkono, na hatua zipi zitachukuliwa dhidi ya ukoloni na ubaguzi. Hali hiyo ilifanya jiji lisitulie, kwani kila ziara ilikuwa na uzito wa kihistoria na athari za moja kwa moja kwa mustakabali wa bara zima. Leo hii, picha imebadilika lakini uzito umebaki. Ziara za viongozi wa kikanda na kimataifa zinazoendelea kushuhudiwa Dar es Salaam zinaashiria sura mpya ya diplomasia diplomasia ya uchumi, ushirikiano na maendeleo. Badala ya mikakati ya vita vya ukombozi, ajenda zimehamia kwenye biashara, uwekezaji, nishati na miundombinu. Tanzania inaonekana tena kama kitovu cha maamuzi ya kikanda, safari hii ikiwa na mvuto wa kiuchumi na utulivu wa kisiasa unaovutia wawekezaji na viongozi wa dunia. Samia kama Nyerere.
cousin 420 tweet mediacousin 420 tweet media
Indonesia
11
30
35
585
FailiKali TZ retweetledi
The Rapid Response Tanzania
Tanzania and Rwanda have agreed to link the Tanzania's Isaka–Kigali SGR route, enabling fast, electrified movement of goods and people between Dar es Salaam and Kigali.
English
7
81
245
16.8K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
RAIS SAMIA NA RAIS KAGAME KWENYE MAZUNGUMZO IKULU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
2
5
11
575
FailiKali TZ retweetledi
PS Abubakar Hassan Abubakar, CBS
Kenya and Tanzania are umbilically connected. Trade volume between Kenya and Tanzania is approximately $ 1 Billion and Investment stock between two countries is approximately $ 2 Billion. We are broadening and deepening this investment and trade agenda through the Tanzania Kenya Business Forum to be hosted in Dar es salaam and to be graced by the Presidents of the two countries. Assessing the preparedness of the Tomorrows Forum. We are set to go. @GovLeeKinyanjui @StateHouseKenya @ForeignOfficeKE @mfa_tanzania @InvestKenya_ @Investment_Ke @epzakenya @SEZAuthority_ke @KDC_KE @KBCChannel1
PS Abubakar Hassan Abubakar, CBS tweet mediaPS Abubakar Hassan Abubakar, CBS tweet mediaPS Abubakar Hassan Abubakar, CBS tweet mediaPS Abubakar Hassan Abubakar, CBS tweet media
English
1
16
73
3.7K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Italia (Serie A) kwa mara ya 21 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Parma katika dimba la San Siro. Inter imetwaa ubingwa huo baada ya kufikisha alama 82 ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya mechi 35 kwani hakuna timu itakayofikia idadi hiyo ya pointi kwenye michezo mitatu iliyosalia. FT: Inter Milan 2-0 Parma ⚽ 45+1’ Thuram ⚽ 80’ Mkhitaryan #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
1
3
98
2.9K
karinganire_Has
karinganire_Has@Karinganire_Has·
President Tshisekedi is also trying to influence Tanzania. Last night, he reportedly called President Samia Suluhu Hassan, asking her not to receive Rwanda’s President Paul Kagame. However, the President of Tanzania told him that Tanzania is an independent country that does not follow baseless hostilities. She reminded him that his own country is facing internal disorder, interference in the affairs of other nations, and unjustified hostility toward Rwanda, including support for groups seeking to attack Rwanda.
karinganire_Has tweet mediakaringanire_Has tweet mediakaringanire_Has tweet mediakaringanire_Has tweet media
English
21
20
46
4.9K
FailiKali TZ
FailiKali TZ@KwanzaFaili·
@FaradayMtz01 Utekelezaji kwanza, wazo baadaye. Data yako sahihi. Nidhamu ndio msingi.
Indonesia
0
0
0
87
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Ukweli mchungu wengi hawataki kusema kuhusu kufungua kampuni/Startups. 1. Asilimia 90% ya Startups zinafeli sio kwa bahati mbaya bali kwa sababu hakuna soko linahitaji au hakuna mtaji wa kutosha. 2. Wazo lako sio chochote. Wazo halitegenezi pesa bali utekelezaji, uthabiti na
Indonesia
3
4
55
1.8K
Presidency | Rwanda
Presidency | Rwanda@UrugwiroVillage·
“At this time of geopolitical uncertainty, our region must remain focused and united around a shared vision of prosperity and cooperation.” President Kagame | Working Visit to The United Republic of Tanzania.
English
33
378
1.1K
20.2K
FailiKali TZ
FailiKali TZ@KwanzaFaili·
Mbolea ya urea +58-70%. Iran ilishambulia UAE bila sababu-sasa tunalipa bei ya vita. Mlango wa Hormuz ufunguke.
Indonesia
0
0
0
15