

Rahab Mbise
58.1K posts

@RahabMbise
Founder-Home of Bold Women | #Entrepreneur| #PR Strategist | #Social #Media Strategist | Empowerment Coach | Secretary General @EAC_yap






Moja ya kitu kinaninyima usingizi recently ni hili swala la wanaharakati kuwa wanalipwa!! (Kama ni kweli)🤔 Hizo taasisi au watu binafsi wanaolipa wanaharakati, huwa wanatazama vigezo gani kukulipa? Influence? au Numbers (Followers) au uwezo wa kuongea na kuandika au engagement ya social media au nini? Binafsi nimeanza hii course ya harakati tokea siku namaliza form six na kutoa wimbo wangu wa kwanza Tanzania (2007) nikiwa very young! Hadi leo nina Teremsha bunduki 2026! Miaka 19 kwenye hizi harakati NA SIJAWAHI KUPEWA HATA SHING 10 TOKA KWENYE HIZO TAASISI!! WALA KULIPWA NA MTU BINAFSI ILI NIFANYE HIKI NINACHOKIFANYA!! Na kuna muda unakuwa na uhitaji haswa, tena sometimes ni uhitaji wa kufanya projects hizi hizi za kusaidia hizi harakati….. you just end up using your own pocket money!! Kwenye hizi harakati nakutana na challenge nyingi, nakosa opportunities na michongo kwasababu naonekana niko against na gavoo na kuna muda napoteza hata kidogo nilichobakiza!! Nabaki empty hadi familia inakwambia si utemane na hizo mbanga……nawajibu I WAS BORN TO DO THIS!! Ni kama roho/nafsi inakataa ku-give up!! Tunafanya haya kwa passion, kuna a driving force tu inatusukuma kutetea, kukemea, kushauri na kupaza sauti tunapoona haki inakosekana, maendeleo hakuna, rushwa na ufisadi kwa viongozi vinakithiri, umasikini unazidi kwetu sisi raia, uongozi na utawala mbovu, shida za ajira na miundo mbinu, watu kutekwa, kufungwa na kuuliwa bila hatia na kucreate awareness kwa raia kuhusu issue za kisiasa na kijamii etc. Nikisikia mtu anasema kuyafanya hayo ni unalipwa…..nawaza nakosa majibu!! Wanatumia vigezo gani kukulipa? Hebu mtu anieleweshe pengine napishanaga na gari la mshahara!! Followers ninao (1.3M) influence pia si haba nikitoa miwa inapokelewa mtaani!! MBONA MIMI SILIPWI? Nways tusiache hizi harakati hata kama hazitupi pesa kwa sasa, faida yake mbeleni ni kubwa zaidi kwa nchi nzima na vizazi vijavyo!! Kama nimeandika kwa hisia sana ee?😁







Tanzanians had hoped Samia Suluhu Hassan would usher in a more open society. Now her repressive regime threatens the country’s achievements and its future economist.com/leaders/2026/0…







Kombo anasema tume heal na tumesahau!!! Kama vile waliua kuku! Katibu mkuu wa ccm amepongeza hii kazi na kuita kazi iliyotukuka.. Samia mwenyewe amesema polisi walifanya kazi nzuri sana na kwa mda mfupi mno.


