Neema ya MUNGU
2.4K posts


When I left my marriage, the first question people asked was: “Did he cheat?”
I said no.
They looked confused. “So why leave a good man?”
Yes, he was a good man. He didn’t cheat. He didn’t hit me. He provided. He came home every night.
But I was slowly disappearing. I would talk, and he wouldn’t hear me. I would cry, and he’d say, “You’re too emotional.” I needed comfort and got silence.
There were nights I was unwell, restless, struggling beside him, and he never noticed. Not even a simple “Are you okay?”
I started asking myself: “If something happens to me here, will he even know?”
One day I told him, half-joking but serious: “My fear is that I could be dying, and you wouldn’t notice.”
He laughed. But I meant every word.
That’s when it hit me: A man can be good and still be emotionally absent.
I didn’t leave because he was bad. I left because I felt alone in a place that was supposed to feel like home.
So tell me: Is presence more important than provision in marriage? And if you were in her shoes, how long would you stay? 💭
Cc: chinyere charity

English

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameanika mkakati mchafu wa kundi la watu wanaotumia mitandao ya kijamii kutukana viongozi wakuu wa nchi, akibainisha kuwa vitendo hivyo ni sehemu ya "mikataba ya ajira" waliyoingia na wahisani wao ili kuchafua taswira ya Tanzania.
Akizungumza na wananchi jijini Dodoma leo Aprili 12, Waziri Mkuu amesema kuwa mashambulizi hayo ya maneno mtandaoni hayaji kwa bahati mbaya, bali ni mpango ulioratibiwa ambapo wahusika wanalipwa ili mradi waendelee kutukana.
Amesema lengo lao kuu ni kumchokoza Rais ili ajibu kwa ukali, hali itakayowapa sababu ya kuhalalisha mbele ya wafadhili wao kuwa nchi haiko salama na hivyo kuendelea kunufaika na mikataba hiyo ya "kufugwa".
Waziri Mkuu amebainisha kuwa kundi hilo ni la watu wale wale ambao wamekuwa wakihama na kila awamu ya uongozi. Alikumbusha kuwa watu hao walimtukana Rais wa Awamu ya Nne na baadae kuhamia kwa Rais wa Awamu ya Tano, ambapo walifikia hatua ya kutoa matusi ya nguoni na hata kusherehekea kifo chake wakati Taifa likiwa kwenye maombolezo. Amesema ni watu walewale ambao hata picha zao za wasifu (profile pictures) mitandaoni hawajabadilisha, na sasa wameelekeza nguvu zao kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Dkt. Mwigulu amewahimiza Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Samia na kumtaka kiongozi huyo asitetereke, kwani anachokifanya ni kulinda rasilimali za nchi dhidi ya watu wasioitakia mema Tanzania. Amesisitiza kuwa Serikali haitapoteza muda wake kushughulika na "shenanigans" au hila za watu wa aina hiyo ambao wamechagua kuishi kwa kutukana, bali itaendelea kuelekeza nguvu zake katika kuboresha maisha ya wananchi.
Amehitimisha kwa kusema kuwa, kwa kuwa shetani hajawahi kushinda, hata juhudi hizo za mahujumu wa mtandaoni hazitafanikiwa. Amewasihi wananchi wasikubali kutumiwa kama chambo na kundi hilo ambalo linatafuta kuhalalisha maslahi yao binafsi kupitia jina la Taifa, akisisitiza kuwa jukumu la msingi la Serikali ni kuhudumia mamilioni ya Watanzania na si kupambana na watu walioamua kuwa watumwa wa matusi.
Indonesia

Baadhi ya viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza waonesha kutofautiana na kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho J @HecheJohn aliyeshauri njia ya kufanya maandamano yasiyo na kikomo kupigania haki ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu aliyekamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uhaini kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa ambapo kesi yake bado inaendelea mahakamani.
Indonesia

@Royal_Tv_Tz @HecheJohn Wamenunuliwa tayari hao, serikali haishauriki kwenye syala hili
Indonesia

@Tinahcristiaan Kuna watu wanatuibia pesa ya nchi hetu njooni mtusaisie
Eesti

Mtu anabisha marekani haijaenda mwezini wakati
*marekani ndio best kwa uzalishaji wa ndege duniani, anatoka kwa Boeing kutoka dar to mwanza, Dar to Dubai hashituki.
*marekani ndio inaongoza kwa utengenezaji wa Roketi maarufu kama Falcon 9 zina nguvu
Mtu anabisha watu kwenda mwezini tubishe kwa hoja
Indonesia

@HildaNewton21 @lifeofmshaba Msasa ipi unaizungumzia wewe?
Kuna wakati mnapewa taarifa za uongo na mnapost kama zilivo! Hakuna kitu Kama hicho msasa mimi nina ndugu kibao na walikuwa kwenye huo mgodi na bado wapo. But mnavoripoti sivyo
Filipino

HABARI MBAYA KUTOKA GEITA.
Kama mnakumbuka juzi kati kuna mamia ya ndugu zetu ambao walikufa kwa kufukiwa na kifusi kwenye MGODI WA MSASA uliopo Geita.
Sasa usiku wa kuamkia jana Jeshi la Polisi lilichukua miili ya watu 107 ambayo walifanikiwa kuiopoa na kwenda kuizika kwenye kaburi la pamoja ndani ya pori la Ushirombo.
So kama unandugu yako ambae unajua alikuwa miongoni mwa wachimbaji waliofukiwa na kifusi kwenye Mgodi wa Msasa basi tambua kwamba anaweza kuwa miongoni mwa miili iliyozikwa kwenye kaburi moja huko Ushirombo.
Serikali ya Idd Amin Mama haijali kabisa kuhusu uhai wa watu wala haithamini maiti.
Oktoba 29, waliuwa kwa risasi maelfu ya Watanganyika wenzetu kisha wakaiba miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya halaiki naona mara hii wameamua kurudia kutumia njia ileile waliyotumia Oktoba 29.
Wanafanya yote haya ili kupoteza ushaidi kuhusu watu kufa kwenye mgodi huo ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela.
Indonesia

@Sisimizi3 Inasikitisha Bwege kufariki mwana mapinduzi anathamani kubwa. Mtetea haki, huyu ni kiongozi pia sivema kushangilia kifo chake.
Indonesia

Huyu ni mlevi
Hivi wasira anajua umri wake kweli? Kwa haya maisha hata akifika 2030 atakuwa na akili timamu kweli huyu
Anaongea kufuraisha Bi Msumi ila anajichanganya tu maana wanasema ananuka mkojo
Sasa watu wanaomsema ananuka mkojo watakuwa naye 2030
Kuna wazee wengine akili zao sijui vipi, watu wanakutukana hivyo wewe umekalia kuongea ugoro tu

Indonesia

@SnitskiJ @VungaEl74 Umeimarika sana Iron dome zinauzwa Dubai na nchi zingine za Kiarabu. Huwezi ujawaza kuangamiza taifa teule ukaachwa tu. Wakati bado mezeni nyembe
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

Rais wa utawala huo Pezeshkian kwa Kamanda wa IRGC Ahmad Vahidi: “Ikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano hayataanzishwa, uchumi wa Iran utaporomoka kabisa ndani ya wiki 3.”
Huyu raisi wa Iran yuko smart sana ni basi tu always yupo kwaajili ya raia
Huwa anaongea changamoto za wananchi nazani walimpigia kura za halali jamaa yuko vizuri

Indonesia

Niliwasimulia kuhusu huyu mwanangu aliekuta mkewake ni ameathirika wakati yeye hana then akaendelea kuishi nae. Mnakumbuka?
Mwamba hii kitu imemtokea sijajua kama kaukwaa tayari au niaje.
Alikaa kitandani siku tatu bila kuinuka.
Anachoma sindano yanakauka kauka.

ProsperNow.@prossoff
Naanza kuamini kwamba kuna wanawake wanadawa za kuwashika wanaume wao. Kuna mwanangu mmoja amepambana na mkewake katika kuugua. Mwanamke anaumwa mara kwa mara, baada ya muda akapima HIV akakuta positive. Msela akamuachia geto na watoto, ila now wanakaa pamoja tena. MADAWA.
Indonesia

@AfricaOne_ Kama ni kweli tumefikia pabaya bila kuchukua hatua tutaisha. Tuwachukulie hatua kali za kinidhamu
Indonesia

@PolycarpMDM Iran ni wajinga kungangania kuuwa Israel, bomu la Nuke kwa sababu ni mwendawazimu. Ataangamiza kweli
Filipino

Urushaji wa jana wa kombora la masafa ya kati (IRBM) kutoka Iran kuelekea Diego Garcia unaonyesha kuwa Iran huenda ina makombora yenye uwezo wa kufika kilomita 4,000.
Hii ina maana kwamba, barani Ulaya, ni nchi tatu tu ambazo ziko nje ya uwezo wa kufikiwa na makombora ya balistiki ya Iran nazo ni Iceland, Ireland, na Portugal.

Indonesia














