Pius

8.8K posts

Pius

Pius

@SirPius15

Human Resources Manager to be

Katılım Aralık 2020
1.5K Takip Edilen500 Takipçiler
Pius
Pius@SirPius15·
@MahamudMgunda @VitusNkuna hawajasombwa na Magari hao ,Kuwe na mazingira safi ya siasa kabisa Tume iwe huru yaani Neutral huwezi kuamini mpaka walioko CCM watachagua hiki chama naongea kama mwanaccm Na ni kiongozi mahali ila kwa ajili ya ukweli nakwambia jamaa wanapendwa mpaka na watoto wa shule za msingi
Indonesia
0
0
0
7
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
CHADEMA NI IMANI
14
88
450
19.4K
Pius
Pius@SirPius15·
@Nurjan_seyd @kapeto98 most of successful people in the world are from Choleric asili yao ni wachoyo specify
English
0
0
0
92
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Tabia Gani Mtu akiwa nazo Kufanikiwa Ni Ngumu sana..? Tuziweke kwenye Comment.
Polski
35
13
169
13.1K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ni kesho hiyo, kwangu kesho itakuwa mapumziko ya siku…. Andaeni mioyo yenu enyi wahalifu mliopanga mapinduzi na akili zitarudi kwenye factory settings tu, Makundi ya Kisiasa, Kidini na Kiharakati yote yaliyochochea mapinduzi, yaliyoratibu mapinduzi, yalifyoanya mapinduzi, yaliyoua WANANCHI, yaliyoua POLISI, yaliyoharibu mali za watu na mali za umma, yote lazima yawajibike! Baada ya ripoti hii kusomwa na kuwajua wahalifu wetu, Kuna njia mbili tu ziko mbele yenu; 1: Unganeni nasi kuliponya taifa kwa maridhiano na tusameheane kwa yote yaliyopita, 2: Mkono wa sheria utawale na yeyote aliyehusika kwa namna yoyote ile awajibike ikiwemo waliokimbia kwenda kujificha Nairobi warejeshwe waje wawajibike! Taifa litapona, tunaisubiri kwa hamu kubwa ripoti hii kesho! Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
104
14
48
13.7K
Pius
Pius@SirPius15·
@kasesco_tz ambao hatujawahi kupanda ndege mikono juu
Indonesia
1
0
1
454
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi kwa mfano nilikata ticket ya Ndege kwa root ya hapa hapa Bongo ikatokea dharura nikahairisha ile Safari. Je ile ticket naweza muuzia Mtu..?🥲
kasesco☆ tweet media
Indonesia
22
29
176
15.3K
Pius
Pius@SirPius15·
@EsirEid hii movie inaitwaje au hajatoa
Indonesia
1
0
2
38
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mwaka Juzi nmewahi kutuma 50k Kwa Random tweep… Kipindi Kile watu wanacomment namba zao Wanaokota Randomly…. Jamaa alikua Chuo pale IFM…akaniambia “Tajiri leo nlikua nalala njaa… umenisaidia saana… Kwa heshima hii Niambie kesho saa 10 jioni utakua wapi nataka nkupe zawadi” Nkampa location pale Mediterraneo Restaurant… Alifika na Manzi mkali balaa… kidogo dogooo,Kibichi,muarabu mswahili hivi,Kitoto cha Zanzibar-22 yrs… Nafikiri Ile ni miongoni mwa Zawadi Bora kuwahi pata humu X… To cut the long story short…. Huyo Binti kanitumia sms Anaolewa tarehe 29 mwezi huu kwenda Oman💔 Ila anataka this weekend Aje Kuniaga… Sasa sijui anataka kunipa zawadi gani,aisee! Au ni Maua😅?
Indonesia
146
55
647
43.1K
Pius
Pius@SirPius15·
@INFLUENCERjr Wivu ni Hatua ya mwisho baada ya hapo ni uchawi moja kwa moja au kuwa Mganga Wa Kienyeji 😎😎
Indonesia
0
0
0
169
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kwahiyo NUHU akaingiza mchwa kwenye safina ya mbao?
Narrowbeefly tweet media
Indonesia
50
33
278
14.4K
Pius
Pius@SirPius15·
@mchina_jr94958 kwanza nakukosoa huyo siyo boss wake kaa kwa kutulia
Filipino
0
0
0
184
Taifa kwanzatz
Taifa kwanzatz@mchina_jr94958·
Za ndani inavyosemekana uyu jamaa kamchoma boss wake kwa ICC kua Boss wake ndio amehusika na Mauaji yote na Alijaribu kumzuia lakini hakukubali Na anafanya ivyo akiwa na lengo la kumuondoa Boss wake kwenye kiti anakiitaji sana. uko ndani moto unawak
Taifa kwanzatz tweet media
Indonesia
53
48
921
55.4K
Pius
Pius@SirPius15·
@MariaSTsehai Ila si hata wao walichangiwa au mm ndo nimesahau 😎😎
Filipino
0
0
2
168
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mtakufa na roho zenu mbaya 😁 Nyie hata matajiri wanachangia kwa kulazimisha tena siku hizi hawataki hata watangazwe! Sasa we pesa zetu tunachangia tunakotaka kinakuuma?! Utakuwa mchawi si bure 🤣 Kenani mwenezi mbovu sana! Sasa kama kiongozi familia yake iko Ulaya inakuuma nini? Mbona familia za viongozi wenu kama familia ya mama yenu wanaishi Dubai na Oman? ENIWEI Watu hawachangii mtu wanachangia CHAMA! Lakini hata Lissu alichangiwa tukiamua CCM hamna uwekezaji ni uporaji tu! Siku mkitoka madarakani chama kinakufa Ndo maana umePANIC 🚮 Nasema #TutaelewanaTu
Indonesia
43
78
274
35.2K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Kiukweli. Am not into classy ladies. Hawa napenda niwaone nipite ivi. Nitaishia kusema wanapenda hela siwawezi. Bahati nzuri, MPANDA wa hivi hakuna. Huko town ndio wamejazana. Kiukweli nikiona mwanamke ana look safi na smart. Huyo naacha aendelee na maisha yake. I know kwa sasa mwanamke kama huyu. Anataka WiFi Set ya mafuta ya ngozi Kucha 10k au zaidi kwa wiki Asuke poa Ale vitu vya bei Gym subscription ya mwezi Outings Vyakula vya kununua Kazi hawataki hata kufua. Hawa mimi heri nionekane sina hela which is true sina za kufanya hizo expenses nikatengeneza GENERATIONAL WEALTH. Wanaowaangukiaga hao mara nyingi ni ma bishoo wana pesa kiasi ila hawaoni kazi kuzitoa na hawapigi hatua. Au wale walishajipata katika age ya 35 hapo kupanda. Hawa hawawezi kuwa wake. Hawa ni viburudisho. Tusio na pesa tunajua. Either ajilete mwenyewe, awe msimbe au mke wa mtu asielidhika na kwake hivyo ka umalaya.
ProsperNow. tweet media
Filipino
47
37
287
24.4K
Pius
Pius@SirPius15·
@mananajr_ Sijawahi kuwatafuta watu na hata wazazi wangu tu niliwashirikisha mama wageni kwa kuwaambia naoa yaani Taarifa siyo kuwauliza na kila kitu kuanzia mahali mpaka sherehe naam mke wangu ananipenda sana na kwa sasa nina watoto 2 no problem
Filipino
0
1
9
714
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kuna jamaa alikuwa anataka kuoa, ila kwenye michango watu walikuwa wanajivuta sana kutoa, Kaona isiwe kesi, katoa wote kwenye group la michango, kafuta na group Kauza gari yake moja, kaita watu kadhaa wamefanya sherehe harusi imeisha 💪
Indonesia
54
87
1.2K
45.9K
MFA Tanzania
MFA Tanzania@mfa_tanzania·
NJE Sports 🆚 European Union 📍 Dodoma
🏟️ John Merlin Stadium, Mipango
🗓️ Saturday | April 11, 2026
⏰ 4:00 PM ⚽🔥
MFA Tanzania tweet media
Eesti
2
1
12
499
Pius
Pius@SirPius15·
@TitoMagoti ni huzuni kwakweli 💔💔💔
Indonesia
0
0
0
52
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
@AlexSamoja Kuna Hotel (×) pale njombe ndio mambo yao! Pale ukibook room wanakuletea automatic heater.. ila wakiona ni mgeni kabisa(Sio mwenyeji kwenye mazingira ya baridi) huwa wanasema kabisa ukishindwa kulala mwenyewe tujulishe tutakuletea mtu akupe kampani!
Indonesia
7
0
8
1.9K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
sehemu yenye huduma Nzuri za Guest ni Rukwa-Kalambo, Tena kipindi cha Baridi wanachemshia wateja maji ya kuoga kwenye PIPA, unaulizwa kama unataka ya moto anakuletea, akileta anakuuliza, hili baridi utaweza kulala peke ako? tukupe kampani, ukisema hapana nalala mwenyewe Ananuna anaondoka. Greatness Tupu Kalambo 🙏🙌
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
41
16
316
38.2K
Pius
Pius@SirPius15·
@INFLUENCERjr kama kigezo ni Kuwa Nominated kwenye Ballon D'or nambie Kama kuna Jina la Mshindi wa Ballon D'or mwenyewe hapo
Filipino
3
0
0
113
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
@SirPius15 Lamine ni 2 kwenye Ballon D’Or, Olise alikuwa wangapi?
Filipino
2
0
1
259