Adam Smith

735 posts

Adam Smith

Adam Smith

@Smithadam25

Katılım Kasım 2024
74 Takip Edilen18 Takipçiler
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@grok So, can't you tell me the name of the song?
English
1
0
0
5
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@Grok Please, tell me what the name of a background song.
English
1
0
0
10
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Shughuli waliipata. NB; Kama inawauma na wao wapost kama walipata kitu 😄 #NguvuMoja
Filipino
45
41
563
17.8K
CharlieBihemo
CharlieBihemo@CharlieBihemo·
@Gaspinho15 Shida watu wengi mna ushabiki wa mpira ila hamjui mpira Dube hakuwa offside ila Max nzegeli alikuwa offside kitendo cha yeye kujihushisha na mpira tayari yupo offside ni makosa
CharlieBihemo tweet media
Indonesia
6
0
2
635
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.@Gaspinho15·
Dunia nzima imeshuhudia Yanga ikidhulumiwa.. Lakini sisi Wananchi mmeona tumepiga Yowe? Hapana tulieni,, Tena Shukuruni hamjapigwa mechi ya 7 mfululizo. 😎
Filipino
16
25
246
18K
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@SimbaSCTanzania Kwahiyo, kwenu nyinyi hayo ndo magoli ya kuwapa ubingwa. Hii Simba bure kabisa.... YANGA inaenda kuchukua ubingwa mara ya tano mfululizo, huku mnatuletea matobo. Hilo tobo angepigwa kipa wa YANGA ndo inge-matter...
Filipino
0
0
0
257
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Tundu Lissu sio mhaini.
Eesti
2
37
246
5.3K
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@mangekimambi Ni bora ulichonacho kianguke kuliko uanguke na unachokiangusha. Uwe mwanafunzi usiwe mwanafunzi. Nakukumbusha Marekani ni wafaidika wakuu wa machafuko ya mataifa. Na Mangekimambi ni mmarekani. Nadhani utakuwa umenielewa.
Filipino
0
0
0
8
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Hapana aiseee wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania lazma muone aibu. Mnaiangusha nchi yenu. . Oneni wanafunzi wa vyuo vikuu Iran walivyokichafua leo, only 1 month baada ya kupigwa risasi na serikali. Hawa watoto kwa maaandamo wanayoyafanya leo tena mbele ya polisi na bunduki zao ukiambiwa ni mwezi tu toka wapigwe risasi na kuuawa kama kuku mtu huwezi kuamini aisee,l. Huu ni ushujaa wa kipekee. Hawa watoto wamesubiri zaidi ya mwezi Trump aje kuwasaidia kuwaondoa wauwaji wa nchi yao, wameona Trump anasuasua wameamua wapambane wenyewe. Na nilicho notice hapa ni kwamba, wamesubiri wamalize kuzika ndugu zao waliouawa, wakamaliza arobaini za misiba ndo wamekiwasha upya. Yani walitaka tu kumaliza 40 za misiba ndo wapambane. Sasa sisi wanafunzi wetu wa vyuo vikuu wanachokiweza ni kunifata whatsapp kulia lia hawajapata boom niwaseme, sijui hawajapata mikopo muhula huu, sijui muhula huu ndio imetolewa mikopo michache katika historia ya Tz. Napita message zao kama zisioni. Nchi iko kwenye kipindi cha resistance ya kupigania haki ipatikane nyie mnaongelea mikopo ya chuo? Hiyo mikopo itawasaidia nini? Mkitoka hapo mnarudi kwa wazazi kusota utasema hamkusoma. Wenzenu wako home over 10 years now hawana ajira sababu inchi inaongozwa na wapumbavu wasio na weledi wowote, wanachokiweza ni kununua na Rolls Royce, kuuza rasilimali za nchi na kuua wananchi wanaotaka haki ya kuchagua viongozi wenye weledi. Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania, wamekubali kuwekewa mamluki wa UVCCM kama viongozi wao, yani kama majinga. Haki I’m so disappointed na wanafunzi wa vyuo vikuu Tz.
Vahid Online@Vahid

ویدیوی دریافتی: 'در پی شعارهای ضد حکومتی دانشجویان دانشگاه صنعتی شریف، نیروهای بسیجی و حامی حکومت به آن‌ها حمله کردند. شنبه ۲ اسفند، نخستین روز بازگشایی دانشگاه‌ها همزمان با چهلم کشته‌شدگان اعتراضات دی ماه ۱۴۰۴' #Iran

Filipino
53
115
682
102K
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@MwadiaJohn @HecheJohn Maisha bora hayaletwa na mfumo mzuri wa uchaguzi. Sio kweli kwamba nchi zenye Demokrasia safi ndizo zenye maendeleo. Kuitoa CCM madarakani hakuleti maisha mazuri. Tungeanza na uwajibikaji uwe ada ya watanzania. Kwasababu hata wewe unaweza kukuta sio muajibikaji nyumbani kwako.
Indonesia
0
0
0
4
🇹🇿🇱🇷 Mathiya Mydear 18.6'95
@Smithadam25 @HecheJohn Una Akili za kimatango Mwitu. Wale wauaji wa 29 OCT. Mwaka Jana Walitumwa na CHADEMA? Kwa Akili zako CCM Wana Nia ya kuruhusu KATIBA MPYA na kuleta MFUMO mzuri wa uchaguzi Nchi hii? Mnataka mpaka MUNGU atusaidie kufanya mabadiliko Badala ya sis WANADAMU tutimize wajibu WETU?
Indonesia
1
0
0
15
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mungu wetu ndio wa kuabudiwa sio binadamu…. Tutashinda kwa nguvu na uwezo wa Mungu.
John Heche tweet media
Indonesia
80
293
1.7K
15.2K
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@Bhyera @YerickoNyerereT @ChaummaT Sawa. Kama unadhani watanzania wote wako X. Emu jaribu kifikiria, wewe na wapumbavu wenzako mko wangapi humu X alafu niambie nyinyi ndio watanzania wote?
Indonesia
0
0
0
3
JB, Smoove
JB, Smoove@Bhyera·
@Smithadam25 @YerickoNyerereT @ChaummaT Uyo upumbavu wa tanzania siyo mitandaoni umepitwa na wakati tangu enzi za magu. Hakuna mtanzania mjinga sasahv. Baiskeli zenu za samia ukienda huko vijijini kabisa wamezidhihaki sana wanavijiji labda wewe ndo huwa hutembei
Tanzania 🇹🇿 Filipino
1
0
0
12
JB, Smoove
JB, Smoove@Bhyera·
@YerickoNyerereT @ChaummaT Ndo ujue Chadema ndiyo chama kikubwa zaidi cha siasa nchini, ndiyo chama kinachowakilisha ridhaa ya asilimia kubwa zaidi ya watanzania, ukiona unakubalika na Chadema ujue umekubalika na Tanzania nzima, ukiona umekataliwa na chadema ujue nchi nzima imekuona mavi.
Indonesia
1
0
11
662
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeondoa utaratibu wa wanafunzi kuvaa sare ili kupanua wigo wa ushiriki na kutoa fursa kwa wananchi kupata mafunzo ya ufundi bila kikwazo.
Filipino
34
32
527
31.6K
GGN
GGN@GilbertNkeyemba·
@Binamu01 Tunawaongelea,single mothers as if walizaa na wanyama kumbe ni sisi wenyewe wanaume tumewazalisha, hata wewe mtoa post yawezakua Kuna binti umemzalisha huko so unataka nani aje amuoe? Highest level of disrespect and selfishness
Filipino
7
1
56
2.7K
CineBlast🍿
CineBlast🍿@Binamu01·
Kadri mwanaume anavyochelewa kuoa, ndivyo hatari ya kuangukia kwenye mikono ya single mother inaongezeka
Indonesia
84
62
550
24.5K
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@millardayo Barabara ya njia nne kwa Kilomita 9+ gharama yake ni At least Tsh. Bil. 25. Peaa zaidi zinahitajika kukamilisha mradi kuliko maneno ya RC.
Indonesia
0
0
0
10
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, amesema ajenda ya barabara ni ajenda ya Wananchi wa Arusha kwa muda mrefu lakini siasa zilizokuwepo hasa siasa za uponzani ziliwanyima fursa Wananchi hao kupata barabara lakini kwa sasa migogoro ya kisiasa haipo hivyo Wananchi wajiandae kunufaika kwa ujenzi wa barabara. Akiongea leo February 03,2026 akiwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Amos Makalla, Makonda amesema “Mivutano ile, migogoro ile ilifanya Wananchi wa Arusha wakajikuta miaka ile ya nyuma yote wenzao wanatandikiwa lami huku kwao wanavutana kisiasa” “Kwa sasa tumejipanga Halmashauri kupitia mapato ya ndani tumepata bilioni 3 lakini tunataka tupandishe zifike bilioni 8 ili zichangie kwenye mpango wa TAMISEMI wa kujenga barabaea KM 14 na kuwezesha mpango wa TANROADs wa kujenga barabara Kilombero hadi Kisongo kwa njia nne ambayo ina urefu wa KM 9.3, pia barabara inayoenda kwa Moromboo hadi Bondeni City kwenye mzungo wa kuelekea stand” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
29
11
352
33.9K
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@HecheJohn Kumbe mukiwa peke yenu nyumbani mnatazama mpira ila huki sisi mnataka muda wote tuandamane bila ya kikomo, au sio!!
Indonesia
0
0
0
3
John Heche
John Heche@HecheJohn·
The Super Eagles making me happy.
English
26
50
1K
22.7K
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV@HabarimpyaTv·
Hawa wote ni Manguli wa Mahojiano ya Kisiasa, Je kwa mwaka 2025 ni nani amefanya vizuri zaidi kati yao,.?
HABARIMPYA TV tweet media
Filipino
109
22
474
64.2K
ᄂΛƬΛ𝒙
ᄂΛƬΛ𝒙@latax_·
@HabarimpyaTv William ni Odemba mwenye utulivu. So for me the best is William kwasababu William hafanyi mahojiano kama mashindano.
Indonesia
4
0
30
1.9K
Adam Smith
Adam Smith@Smithadam25·
@Sativa255 Hawa ndio wapambanaji tunaowajua, sio wewe muoga. Unatoka kifirwa ndo unakuja kuandika andika usenge... Njoo na wewe huku huku.
Indonesia
0
0
1
284
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
#BreakingNews NICODEMUS LOYORE ameachiliwa huru mchana wa leo Baada ya kufichwa tangu Tarehe 19.12.2025. Asanteni wote mliopaza sauti kumtafuta Mwanetu. Yani MAFWELE NA GEORGE wanaamua tuu kuweka watu ndani mwezi mzima kufurahisha Roho zao. REPOST 200 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
31
265
1.3K
19.2K
Julius Fugara
Julius Fugara@kingjulwz·
@Smithadam25 @spana_Konki Usilete ujinga wako, kwa watu wanaojitambua,,,,alafu uheshim dini za watu kama unavyo muheshim Mungu wako
हिन्दी
1
0
1
168
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Wakatoliki wa kuchemsha katika harakati za hapa na pale 😂 hatuko miaka ya 90, watu si wajinga vile mnadhani
Spana & V.A.R Movement tweet mediaSpana & V.A.R Movement tweet mediaSpana & V.A.R Movement tweet mediaSpana & V.A.R Movement tweet media
Indonesia
42
67
505
40.9K