CAPT DUPA🦅

1.1K posts

CAPT DUPA🦅

CAPT DUPA🦅

@ThinkTa36693699

I think therefore I am✊🏽.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2022
913 Takip Edilen207 Takipçiler
CAPT DUPA🦅
CAPT DUPA🦅@ThinkTa36693699·
@EsirEid IMAGINE BWANA WAKE NDIO AMEISOMA HIO QUOTE YAKO, TAJIRI HUPENDI AMANI KABISA
Filipino
0
0
1
35
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLakihaya This is the first time I’m going to assist a woman online in buying a new iphone and it’s bcos I’m in a good mood today and you are an Arsenal Fan. Go to any phone dealer shop and take iPhone 15 Pro Max and send the invoice to me… Ila Hakikisha upo SINGLE and Ready To Mingle😅 it’s when i’ll pay!
Ms.Minnah🧕🌹@Minnahbanks

Ndo naamkaaa ✊️🤣CHAMPIONS OF ENGLAND ..Mniongeleshe vizuri 💃

English
31
15
186
16.8K
Dr Mwakalebela
Dr Mwakalebela@Isayadicksonjr·
Kuna time maisha yalipiga tukapata deal ya kusahihisha pepa za clinical officers pale Kigamboni.. Malipo yalichelewa 2 months aisee kua jobless sikia tu…
Filipino
13
7
102
5.9K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
Dada wa Viumbe vya ziwani amekaa na Pete ya uchumba kidoleni mda mrefu kuliko Mseven alivyoikalia Uganda🤣😅😅
Indonesia
76
63
574
30.6K
aeso_kitchen
aeso_kitchen@aeso_kitchen·
Saturday are for pilao &visinia 0767607887 Pilao nyama 8000 Visinia vinaanzia 35000
aeso_kitchen tweet mediaaeso_kitchen tweet mediaaeso_kitchen tweet mediaaeso_kitchen tweet media
Filipino
1
12
24
1.4K
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Outside and unbothered.
GIPSON BNN tweet media
English
6
13
99
1.7K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Pointi nzuri sana kutoka kwa Zamwamwa yani ni heri uwe na mafuta ya 4k+ ambayo huwezi kuyanunua kuliko kukosa mafuta ambayo huyamudu? Kwa mantiki yako hata tukiwa na njaa lakini maduka yamejaa vyakula cha bei mbaya tuseme tumefanikiwa kwa sababu chakula kipo madukan?
MR BEN@Eric__Bernard

Sasa hivi mambo ya bei sio ishu ishu kuwa na mafuta…Serikali yetu imefanikiwa sana kwenye hilo…nchi nyingi zinasuffer uwepo wa Mafuta. Duniani huko nchi nyingi watu wana hela ila hawana mafuta!

Filipino
9
7
69
4.6K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Siungi mkono dhihaka au udhalilishaji wowote unaofanywa na baadhi ya vijana dhidi ya wanawake humu
Indonesia
100
135
373
23.2K
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Jana nilifurahi sana kuonana na Mzee wangu Richard Mabara, huyu Mzee ni Mzalendo sana. #Statesman
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
53
207
2.4K
34.4K
Nkota ☭
Nkota ☭@xlusako·
Ila Madenge🖕🏾
Français
26
51
499
23.9K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Tume ilishamhoji Rais Samia, mtoa amri?🤔🤔
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz

Mkuu watu 63,603 ambao wamefikiwa na TUME ya Jaji Chande kama tutawabadili kuwa % dhidi ya idadi ya watu wetu kwa sasa ni almost 0.088% kwa recently data ambazo zinazoonesha tuna population ya 72M kama Nchi, but niskiize vema my brother; Mosi, hii sample size kiutafiti si sample ndogo na ni kubwa sana ikiwa unafanya survey ya kitaifa, maana it simply means katika lila watu 100,000 basi 88 walau walifikiwa na Tume. Which hata magwiji wa tafiti akina C,R, Kothari, ukiwasoma wanaeza kupa same feedbacks! Pili, katika tafiti/takwimu, huitaji sample size kuubwa sana ili kupata matokeo unayohitaji, the main focus kitakwimu huwa ni data zako zinatosha kukupa confidence level ya kiwango gani ili useme kwamba YEAP hapa nina valid data na kisha results, na kwa case yetu hata watu 5000 tu i can tell you wanatosha kukupa matokeo unayoyahitaji as far unafanya inquiries za aina ya Tume ya Chande. Au naweza kukupa kijimfano cha ya kitakwimu my brother; “Assume kwamba umepika kilo moja nzima ya wali kwenye boonge moja la sufuria, sasa ikiwa unataka ku test chumvi, huhitaji kula wali wote au mavijiko kibaaao ili kujua kama wali una chumvi just a single spoon kinatosha kujua kama chumvi ipo…” Sasa, same case sie badala ya kijiko kimoja kujua test ya “wali” tuna vijiko 63 ambavyo logically vinatosha kutupa feedback ambayo tunaitarajia. I hope nimejibu swali lako ambalo kimsingi was JE watu 63k waliohojiwa na TUME wanatosha kutuma picha halisi ?. Asante.

Suomi
5
1
28
4.1K
Liberatus Mwang'ombe
Liberatus Mwang'ombe@Liberatus80·
Mjomba wangu Yohanes Laurent Mhapa-Pa, ametutangulia 💔 Imechukua muda kupata nguvu ya kuandika ujumbe huu Mwaka jana, mwezi wa saba, Uncle Pa (32) alipata ajali ya bodaboda huko Zanzibar. Tangu siku hiyo, tulipambana kwa kila njia kuhakikisha anapata matibabu bora. Kwa msaada mkubwa wa brother @IsmailJussa na aliyekuwa Waziri wa Afya Zanzibar, brother Nassoro Mazrui, alipatiwa huduma kwa wakati. Alipata nafuu na hali yake ikawa imara/ilitengemaa, lakini vipimo vya MRI vilionyesha kulikuwa na mtikiso kwenye ubongo. Baada ya hapo, tulimsafirisha kwa ndege hadi Muhimbili, Dar es Salaam, kwa matibabu zaidi. Brother Nassoro Mazrui alifika hadi Muhimbili kumjulia hali, kitendo ambacho kimeacha alama kwangu na familia yetu yote. 🙏 Kwa zaidi ya miezi minane, Pa alipambana na hali yake ya afya, akiwa anapata mara kwa mara vipindi vya mshtuko (seizure). Lakini bado alibaki kuwa yule yule, mwenye moyo wa furaha, mcheshi, na mwenye kipaji kikubwa. Wikiendi iliyopita, alisafiri kutoka Dar kwenda Makambako kusalimia familia. Akiwa amechoka, aliamua kupumzika. lakini hakuwahi kuamka tena. Jana, Jumanne, Aprili 21, 2026, tumemlaza katika nyumba yake ya milele. 🕊️ Uncle Pa hakuwa tu ndugu, bali alikuwa rafiki, mshauri, na mtu wa kipekee sana. Hakujua kuchukia, na alikuwa mwepesi wa kusema, “Nimekosa, nisamehe.” Very humble young man. Pa alikuwa na kipaji cha hali ya juu katika graphic design na upigaji picha. Yeye ndiye aliyesimamia kazi zote za picha na graphics kwenye kampeni zangu Mbarali. Kazi yake itaendelea kuishi, lakini pengo lake haliwezi kuzibika. Alikua dereva wangu pia muda mwingine. Ninatoa shukrani za dhati kwa brother Mazrui na brother Jussa kwa msaada wenu mkubwa mlipotusaidia Zanzibar. Mlionesha ubinadamu wa hali ya juu. Allah aendelee kuwabariki na kuwapa moyo uleule. Shukrani kwa wanaCHADEMA kutoka Mbarali kwa kwenda Makambako kumpunzisha Paa wakiongozwa na M’kiti wa Wilaya, Peter Mwashiti, Katibu Mwenezi Lugano Mwaipasi, M’kti wa BAWACHA Rose Mballa, M’kiti wa BAVICHA Mwamini Lukala na viongozi wengine wote. Shukrani viongozi wa Kata zote Kutoka Mbarali kwa kwenda kumstili Mwana-Mbarali (Kutoka Makambako) aliejitoa kwaajili Mbarali. Shukrani za kipekee kwa viongozi wa CHADEMA wa Makambako kwa namna mlivyo upokea msiba na kuuendesha 🙏 Uncle Pa, remember, I will always keep you in my prayers. I will never forget you or the precious moments we shared together. Pumzika kwa amani, mjomba wangu. Umeacha alama isiyofutika moyoni mwangu. 🕊️ Rest easy, uncle.
Liberatus Mwang'ombe tweet mediaLiberatus Mwang'ombe tweet mediaLiberatus Mwang'ombe tweet mediaLiberatus Mwang'ombe tweet media
Indonesia
31
31
247
22.6K
Dick Zola ✌🏾
Dick Zola ✌🏾@mbeyud24·
Samsung S22 Full display 450,000 Free cover, charger and protector
Dick Zola ✌🏾 tweet mediaDick Zola ✌🏾 tweet media
English
12
52
115
9.2K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hata madai ya Chadema; " no reform no election" wameona ni upuuzi? Kauli ya Mkurugenzi wa uchaguzi kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi kwa kuwa haikusini maadili wameibariki wakati inavunja sheria. Basi hata vituo kuchomwa, masanduku na kura kuzagaa mitaani kwao safi tu?😤😤😤
joseph_selasini tweet media
Indonesia
14
21
132
4.3K
Noela Charles
Noela Charles@NoelaCharl32056·
Huyu mdada matako yake yamekuaje? Mbona yanatia kinyaa Video kwa comment
Noela Charles tweet media
Indonesia
32
16
109
180K