Andrea Mamba
22 posts


@Eric__Bernard Hata huyu Jeff nae anayo hiyo tabia ya kuingilia
Filipino

Hans kazingua leo anapenda sana kuwaingilia wenzake wakiwa wanazungumza na kujenga hoja zao.. Anakera sana... Watu ambao huwa hawapendi kuwapa wenzao nafasi wazungumze huwa miyeyusho
Zee la Vyeti (PhD)@babalao__
Mkai na Hans ipo siku watakuja kupigana studio... Leo Mkai kachukia sana.
Filipino

@Aruatani @kilepi_tweve Humu kukaa kitaalamu sana...wanasema kwenye harakati za kutafuta mkate wako usikanyage mkate wa mwenzio...
Filipino

@Strikar_0 @Kamnyeso Vyoo vya kukaa hapana mimi hata ile eti unakojolea kwenye chupa wale wanao ogopa kutoka usiku nje aaaaaah siwezi naona najikojolea miguuni tu 😂😂😂😂
Indonesia

@Strikar_0 @Kamnyeso 😂😂😂😂 yaani ww na mimi sawa kabisa tena mimi kama nikienda gest nawaambia choo cha kukaa situmii nipo tayari nitoke choo cha nje kwanza huwa nahisi nakalia kinyesi
Filipino

Jambo la kheri tumepata alama tatu Lindi. Kila mtu anajua ugumu wa Namungo wakiwa kwao. Historia ya Lindi tokea enzi za Kariakoo haijawahi kuwa sehem salama. Tunakwenda kwenye mtihani mwingine mgumu. Ndugu zangu JKT ni moja ya mechi ngumu sana. Tunakwenda kucheza dhidi yao KMC. Kwa sasa Focus yetu ni alama tatu tu. Mpira wa madaha na mbwembwe una wakati wake. Nyakati hizi ambazo tunacheza mechi kila baada ya masaa 60 tenda umbali wa kilometa 600 sio muda wa kutaka yote. Ni muda wa kusaka alama 3 tu. Alama kama hizi ndio zinakupa ubingwa. Tukutane KMC
Indonesia

@privaldinho Mbona maelezo mengi sana? wenzio wameshinda wapo kimya ww maelezo mengi sana
Indonesia

Kuna watu wanaibeza KMC. Tumekuwa na mechi bora inonekana ni wapinzani dhaifu. Msimu uliopita KMC walipishana na JKT alama 1 tu. Msimu huu wamepishana alama 4 pekee. JKT ameruhusu magoli 8 na KMC ameruhusu magoli 10. Msimu ulipita KMC walishinda mechi nyingi Kuliko JKT. Kama KMC ni mbovu nyie mmeshinda mechi ngapi dhidi ya Yanga?
Indonesia

@FKihamu Sema nao wamewahi mapema sana walitakiwa waebdelee na zile tabia zao za mwanzo ili wakija kustuka utopolo wapo nafasi 7
Indonesia

Nadhani Wananchi walihisi wana Kocha mzuri sana na wana haki ya kumtetea mpaka pale walipoona kwenye kundi lao la kumtetea Kocha wapo na Mzee wangu Bin Kazumari Mtipa kutoka Mtwara kabila Mmakonde, wakascan tena wakaona wapo na Kaka yangu Wilson Oruma na Jambia lake kalishusha Mjaluo wa Kanda ya Ziwa halafu Winga ya pembeni wakamkuta Mzee wangu Legend Salehe Jembe, Msukuma wa Mwanza kisha kwa mbaaali anakuja Idol wangu Geoff Leah na points kali za kumtetea Roman Folz na ndio hapo ndipo Wananchi wakahisi wanacheza beat tofauti, haiwezekani😀
Yaani kwenye gari lao wapo Kaka zangu wanasafiri nao, wameona wao washukie njiani wawaache wao waende na Roman😀

Filipino

@Roma_Mkatoliki Hapa ulishambulia kutokea pembeni 😂
Indonesia

Asubuhi kuna msanii kanipigia simu akanambia
📞 Loma wewe kila kitu cha selekali unaponda tu, ina maana wewe huoni jema hata moja?
Nikamwambia
🗣️Wewe kila kitu cha serikali unasifia tu, ina maana wewe huoni baya hata moja??
Nikamsikia anasema Ngoja nitakupigia.
Kwani alirudi hata.
Tatizo la misanii ya mbogamboga uchawa umewaathiri mpaka ubongo. 🚮
Wanajikuta mpaka watanzania wenzao wanauliwa, wanateswa wenyewe wanasifia tu!!
Indonesia

@mchumimrembo Dah! Vijana wangu leo matopeni! Halafu mtu kwa nini ukae mabibo? Si ni sokoni huko!

Filipino

Miwani nyeusi inaweza kuwaficha macho, ambayo mara nyingi huonyesha dalili za uongo kama kuepuka macho au harakati zisizo za kawaida. Hii inawapa watu ujasiri zaidi wakati wa kudanganya, au inaweza kuwa mtindo tu. Katika video hii, inaweza kuwa sehemu ya mazungumzo kuhusu Polepole. Wewe unafikiriaje?
Indonesia

Kwa msaada wa META inaonesha kuwa kwa 2025 Klabu yenye thamani kubwa zaidi ni Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa mujibu wa ripoti za Mapato na Matumizi, Wadhamini na Fedha za zawadi, ambapo wana thamani ya Euro Million 34 ikiwa ni sawa na BILLION 99 za Kitanzania.
Sundowns wanavuna pesa nyingi za Udhamini kutoka Hyundai, Puma na MTN huku anayemfuatia ni Al Ahly ya Misri yenye thamani ya Euro Million 32 sawa na BILLION 93.67 za Kitanzania.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Mabadiliko, Mzee Alex Mgongolwa wa Yanga kwa thamani ya BILLION 100 maana yake Yanga ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi barani Afrika.

Filipino

@mamba8454 Unaitwa Andrea Mamba. Mahali unapoishi halijaonyeshwa kwenye wasifu wako kwenye X. Kama una maelezo zaidi, nijulishe!
Filipino











