Unseen Adviza
2.3K posts


💨 Leo ndio nimejua kumbe chanzo cha mto Nile sio maji ya Ziwa Victoria!






Barabara za mwendokasi ni mradi mkubwa na mzuri ila unazingatia sehemu ndogo ya baadaye ya jiji linalokuwa kwa kasi duniani. 1. Vituo vya mwendokasi vipunguzwe. Mbadala wake, miti ipandwe kwa wingi kuruhusu watu kutembea short distances kuelekea kwenye vituo (could be 2kms apart) 2. Tujenge entry na exit points za kuingia kwenye vituo, kama ni subway au daraja la juu. Hii itasaidia kupunguza mwingiliano wa watu na barabara kuu. 3. Tupunguze mabamsi kwenye vituo vya mwendokasi. Kuna mabamsi mawili kila baada ya kilomita moja. That is extremely unfortunate, and unfair to other vehicle owners and does not reflect the nature of a fast moving, and fast growing city like Dar. We are going to be 10 million residents in 4 years and it’s unrealistic to imagine how chaotic it will become. I think, and I am not an engineer, barabara za mwendokasi tu kukaa katikati ya barabara kuu za jiji was a fundamentally flawed design kwa sababu hazina entry and exit za passengers zisizoingiliana na magari mengine. A fundamentally flawed design! A fast growing city cannot think, design and operate like that. Leo tumejaza mabamsi barabara ya kwenda Airport. Hata 5th-world country doesn’t do that.






Qatar’s Foreign Ministry spokesperson Majed al-Ansari: Iran has been here for millennia. Nobody is going anywhere. Total annihilation is not an option. No people or country will disappear from existence by the wish or whim of any political actor. We will live next to each other. We will be neighbors for the future of humankind, and we have to find ways of living next to each other. We will have to find a way past this. This is a very difficult moment, but we will find our way out of it.






Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kisa tamaa za kupata Urais mwaka 2030 hawatofanikiwa, ambapo amesema Watu hao wote wanaojipanga na Urais mwaka 2030 hawatoupata. Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha leo Machi 25, 2026, Makonda amesema ““Kuna Watu wengine nikikaa nasikiliza hotuba yake nasema huyu kabadilika lini?, kuna Watu wanapenda kuyatumia matatizo ya Wananchi kama vile Watetezi halafu uwezo wa kutetea hawana kwasababu hawana hiyo rekodi ya kutetea Wananchi” “Sasa tunaelekea huko 2030 wataibuka Watu wengi sana, nataka niwaambie Mtu yoyote atakayemsaliti Dkt. Samia ambaye alituona, Mimi binafsi nilipata bahati Rais Samia aliniona nikiwa Mtaani miaka mitatu na miezi sita hata simu haiiti, unakaa na Mkeo unacheza na Watoto unajifunza na muda wa kuwapeleka Shule, Mtu huyu amekuona akakupa nafasi, sasa kupitia hiyo nafasi umepata hela kidogo, umeanza kuwa na jina kidogo, unatengeneza network halafu unapambana kupambana na yule aliyekupa nafasi na heshima hiyo” “Mimi Paul Makonda sitomsaliti Dkt. Samia Suluhu Hassan na kama uongozi wangu unatakiwa kuishia 2030 utaishia hapo kwani kuna shida gani?, kwani unatakiwa utawale maisha yako yote?, na ndio maana ukiona hao Viongozi wanataka kujitenganisha hii Serikali yeye akae pembeni awe sehemu ya Wakosoaji wa Serikali” “Mimi tukiwa kwenye vita situmi Mtu, sio wale mkikutana mnachekeana aah Kamanda tuko pamoja halafu unasuka mipango huku nyuma aah Mimi nakuja mwenyewe kukushughulikia wote wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake huu kwa ndoto zako hazitotumia” “Mh. Waziri Mkuu Mimi nina bahati ya kusema kidogo ya Mungu, Watu wote wanaojipanga hawa hawawezi kushika Urais nakuhakikishia, wekeni kwenye kumbukumbu hawapati, Watanzania hawawezi kuwa wasahaulifu tutaenda rekodi kwa rekodi hauwezi kuwa Malaika dakika za mwisho, shetani ni shetani tu hata kama akizeeka” #MilardAyoUPDATES


Baadhi ya Wabunge wakiwa msibani nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu William Vangimembe Lukuvi (Mb) Area D jijini Dodoma.Mhe. Lukuvi amefariki asubuhi leo Machi 25, 2026


















