@PaperWhispers Seriously, why don't African Universities have institutes of European studies, or white people research or white people history studies?
Imagine siku 405 !
Hii ishu tusichukulie poa! Hata siku moja is too much for anyone ndani esp kama ni innocent kama Lissu
Hatutaacha kupaza sauti na tuko na FOCUS!
#FreeTunduLissu now!
@godbless_lema Nini cha ziada kiliwekwa kwenye matunda hayo? Kwanini? Kweli watu wapo tayari kumtoa roho mtanzania mwenzao kwa kuwa tu ni mwanasiasa wa mrengo mwengine anaewapa changamoto?
Mnashauriwa hamtaki kushaurika
Hivi kuna watu wazima wenye hekima waliobaki kwenye mfumo? Mnaendelea kushupaza shingo kwa sababu gani?
Eniwei #TutaelewanaTu lakini
The warning signs are unmistakable - clear, bold, and impossible to ignore. Why is the leadership choosing to turn a blind eye, a deaf ear, and remain mute when constitutional and human rights violations are so evident? Let the record be cleansed: the registrar must be deregistered.
@zittokabwe "How many people must die?" People did not just die, they were murdered (massacred) by those you address. They do not have a scintilla of remorse, they do not care, proud of what they have done, and they are ready to do it again. That is why they are into these shenanigans.
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!
Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.
Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.
Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.
Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.
Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.
Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
Mzee WARIOBA;
Ulishakuwa Waziri Mkuu; unachofanya dhidi ya Rais sio “uhuru wa Kujieleza” bali kukosa “secrecy” na “privacy” ambazo ni viapo na sifa za viongozi ikizingatiwa una “full access” ya kumwona Rais/kiongozi ukamshauri. Sifa ovu za CHADEMA na wanaharakati ZITAKUGHARIMU.
@IAMartin_ Sijui thamani ya hilo begi ila inaleta ukakasi unapoweka label ambayo itaionesha hiyo bidhaa kuwa ni ya gharama kubwa. Sifikiri kama huyu atatuelewa, nafikiri atakuwa na majibu kama wapumbavu tu wnanaionea wivu. Lakini naona kama TAKUKURU wana cha kufanya hapa.
LIFE STYLE AUDIT ni muhimu kwa watawala.
Mtu anayejiita waziri wa afya anaingia katika kusanyiko la MaCCM, wanaliita ‘bunge’ amebeba makaratasi ya bajeti katika begi la Louis Vuitton Shopper Tote MM. Bei inakadiriwa kuwa $4,850 (sawa na TSh 12.5 milioni)
Ni haki ya kila mtu kuvaa na kubeba chochote. Si kosa kuwa na mali halali. Hata kama ni mali halali ya biashara zake, kanuni ya kubana matumizi/unyenyekevu (frugality) inamtaka kiongozi wa umma kuwa na kiasi.
Unapobeba begi la TSh 12.5 milioni kwenda kusoma bajeti ya Wizara ya Afya ambayo inalalamikia upungufu wa dawa, vitanda, na vifaa tiba vijijini unatuma ujumbe wa kutojali (tone deafness). Hii ni akili ya kawaida tu.
Watumishi wa umma katika nchi zilizoendelea wanafuata kanuni zisizo rasmi (norms) na kutokuwa na matumizi ya anasa (Frugality in Public Service) kuepuka matumizi ya maonyesho (Ostentatious Consumption).
Kama kiongozi ana biashara kubwa kuliko mshahara wake, ataulizwa; Je, muda wa serikali unatumika kukuza biashara hizo? Je, kuna upendeleo wa kisera unaonufaisha biashara zake? Wealth Declaration.
Uingereza, “public accountability” na shinikizo la nguvu ya vyombo vya habari (tabloids) ni mkali sana. Viongozi wa umma wanaishi maisha ya kawaida (relatable) kuepuka kukiweka mbali na matatizo ya walipakodi.
Kumuona Waziri Mkuu wa Uingereza au Meya wa London katika Tube (Underground Train) si ajabu. Hii inatuma ujumbe kuwa: “Kama usafiri huu ni mbovu kwenu, ni mbovu na kwangu pia, nitaufanyia kazi.”
Tanzania kiongozi anapopita na msafara wa magari ya kifahari (V8) yenye vioo vyeusi na ving’ora, anajitenga na kero za barabara, foleni, na joto ambazo mwananchi wa kawaida anapambana nazo. Hajali kero za wananchi.
Magazeti kama The Sun, The Daily Mail, au The Mirror yana jicho la mwewe. Yakimnasa Waziri anatumia fedha za walipa kodi kununua hata kitu kidogo cha anasa, inakuwa kichwa cha habari (headline) wiki nzima.
Waziri na wabunge Sweden hawana magari ya serikali wala madereva binafsi. Wanapanda usafiri wa umma. Ofisi zao ni zenye ukubwa wa mita 8 za mraba na wanaishi katika ‘studio apartments’ za serikali
Serikali hailipii watumishi wa ndani kwa ajili ya viongozi. Kama unataka mtu wa kukufanyia usafi au kukufulia, unamlipa kwa mshahara wako binafsi. Hii inawafanya viongozi waishi maisha ya uhalisia wa kiuchumi.
Nchi za Nordic (Norway, Denmark, Finland) kuna sheria ya Jante (Janteloven) — kanuni inayosema “usijione bora kuliko wengine, usionyeshe utajiri au anasa.” Hii inawafanya viongozi waishi maisha ya kawaida tu.
Hii ni kanuni ya kisaikolojia inayopinga mtu kujiona bora kuliko jamii inayomzunguka (Individual Greatness). Kiongozi anayebeba begi la mamilioni anachukuliwa aliyepungukiwa na ueledi na asiyethamini jamii yake.
Uingereza, “public outcry” ina nguvu ya kumfanya waziri ajiuzulu. Tanzania , kuna utamaduni mwananchi akithubutu kuhoji ataonekana mchochezi, na siyo kama mdau anayehitaji uwazi wa matumizi ya mali za umma.
Tanzania kufika huko, lazima kuwepo sheria kali za maadili zinazotekelezeka. Vyombo vya habari huru vinavyohoji bila hofu ya kifungo. Uelewa wa wananchi kuwa wao ndio “mabosi” na kiongozi ni “mtumishi.”
Watu wa aina hii wanaweza kujitetea wanazo biashara zao binafsi. Uongozi ni kioo. Unapobeba bajeti ya wizara inayohudumia masikini umeshika bidhaa ya anasa, unajenga ukuta wa kisaikolojia na wananchi.
Rufiji, wananchi wanapambana na mafuriko, ukosefu wa huduma bora za afya, na miundombinu mibovu ya barabara, kuona kiongozi wao na bidhaa ya anasa ya mamilioni ya shilingi ni dhihaka kwa umaskini wao.
@lifeofmshaba Hivi hii tradition ilianza lini? Mimi huwa inanishangaza sana. Logic yake ni nini? Maana hao ndiyo wanasababisha msafara wa rais unakuwa Mrefu bila sababu.
Picha ya Kwanza ni Asubuhi anakwenda Uganda, jamaa wakatoka wakaenda Airport kupiga salute wakarudi ofisini
Baada ye masaa Kadhaa wakarudi tena Airport kumpokea na kupiga Saluti
Hii ni kwa idadi kubwa tu ya watumishi wa umma, kushinda siku nzima wakipiga saluti
Trump anapotoka sehemu moja na kurudi hakuna haya, Macro hivyo hivyo na viongozi wengi tu Dunia, sasa inakuwaje hawa wapiga saluti inakuwa hivi
Hii kama kudhalilishana tu
Siku 399 jela, you remain unshakeable with a solid resolve for reforms. You’ve offered yourself more than enough for the country. Mungu akulinde na akutetee. May it rain; na ijulikane Mungu yupo.
Free Tundu Lissu Now!
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua makada 17 kutoka kwenye vyama mbalimbali vya siasa kuwania ubunge wa Isimani mkoani Iringa ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, William Lukuvi, aliyefariki Machi 25, 2026.
Watia nia walioteuliwa na INEC ni pamoja na Emanuela Mtatifikolo (CCM), Farida Mwapungu (Demokrasia Makini), Asha Chuma (UPDP), Fidelis Mtikile (Sau), Hadija Makawa (Ada-Tadea), Protas Mgimbila (CCK), Zavely Seleleka (UDP), Berbard Mwingila (DP) na Burton Chitenga (NCCR Mageuzi).
Wengine ni Christina Mbaunga (NRA), Mark Mhemela (AAFP), Nassim Upete (CUF), Mwaka Mgimwa (TLP), Asma Othern (UMD), Maimuna Lumato (ADC), Daudi Masasi (Chaumma) pamoja na Subira Kalolo (NLD).
Ushindani huo unatajwa kuwa miongoni mwa chaguzi ndogo zenye mvuto wa kisiasa kutokana na idadi kubwa ya wagombea watakaoshiriki huku kila chama kuteka imani ya wananchi wa Isimani ili kushinda nafasi hiyo muhimu ya uwakilishi bungeni.
Msimamizi wa uchaguzi wa INEC katika jimbo hilo, Caroline Otieno amesema kukamilika kwa hatua ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uteuzi kumeashiria mwanzo rasmi wa mchakato wa kampeni kwa wagombea waliokidhi masharti ya uchaguzi.
Otieno amesema mtiania wa ACT Wazalendo hakuteuliwa kwa sababu hakurejesha fomu zake ndani ya muda uliowekwa na INEC licha ya kuwa alikuwa tayari amezichukua fomu hizo.
Kenya is crazy, I’m even starting to freak out.
Imagine getting the chance for a once-in-a-lifetime selfie and, instead of taking it with Emmanuel Macron, you choose Eliud Kipchoge instead.
398 DAY'S IN JAIL. BILA HATIA!
makosa ya yake ni
1. Kupigania mfumo mzuri wa uchaguzi
2. Kupigania haki za watanzania
3. Kutaka mabadiliko ya kikatiba
4. Kupigania rasilimali za Nchi yake.
#FreeTunduLissu#FreeLissu#KatibaMpya
398 DAY'S IN JAIL. BILA HATIA!
makosa ya yake ni
1. Kupigania mfumo mzuri wa uchaguzi
2. Kupigania haki za watanzania
3. Kutaka mabadiliko ya kikatiba
4. Kupigania rasilimali za Nchi yake.
#FreeTunduLissu#FreeLissu#KatibaMpya