Comfortable Zone
467 posts

Comfortable Zone retweetledi

Jay Moe anasema nini kuhusu ujio wa FULL ILE BARAKA?
WATEULE x WATENGWA Forever.
#Watengwa #WatengwaWTC #WatengwaMiakaMingi #WalinziWaHipHop
Indonesia

Fanuel Sedekia✍,
Miaka mingi ya nyuma sauti yake iligusa na kuponya maisha ya wengi, Akiwa ni mzaliwa wa Mkoa wa Kigoma lakini maisha yake yakiwa ni mkoani Arusha ambapo alikwenda kwa ajili ya Masomo kwa level ya Chuo ambapo alikuwa akisomea Ualimu.
Mwishoni mwa mwaka 2008 akiwa anafanya kazi pamoja na Mwl. Christopher Mwakasege walikuwa na safari ya kwenda ziara nchini Israel,. Safari ilianza kutoka Tanzania kupitia Ethiopia kisha Israel, wakiwa katika safari hiyo hali yake ilibadilika na kuwa na hali mbaya hata baada ya kufika Israel. Baada ya kufikishwa hospital aligundulika kuwa na Sukari ambayo ilikuwa ipo hatua mbaya na mapafu yakiwa yamelika hatua mbaya zaidi, mapema mwaka 2009 alifariki akiwa Israel.
Inasemekana, Mkewe aliolewa Miezi mitatu mbele baada ya mazishi na aliyekuwa Dereva wa Mwimbaji huyo yani dereva wa mume wake, . kiasi cha wengi kuamn ni mahusiano ambayo hayakuanza ghafla💔🙌,..
Leo ni zaidi ya miaka 15 lakini nyimbo zake zinaishi na Tunabarikiwa🙏.

Filipino


@INFLUENCERjr Unaenda kudai mtu pesa yako alafu unapata anabrush meno na chumvi
Indonesia

@ZoneComfor79943 @shibobo___ Akisema kuna njia Italy inaitwa mateso ya Yesu ndio Milan waliwapitisha man u
Filipino

Kama umewahi kujiuliza kwanini baada ya kulipa 800K hadi 1M kwa mgonjwa aliyelazwa wiki kadhaa... mwishowe akafariki, basi leo iwe funzo kwako na kwa kila mmoja wetu.
Maisha ni neema. Afya ni zawadi isiyolipika.
Mshukuru Mungu kwa kila hatua Anayokuweka hapa duniani ukiwa mzima na mwenye afya.
Usichukulie kawaida.
Leo amka na shukrani moyoni. Kesho si dhahiri.
Good Morning X
Indonesia






















