Watu ambao hawana haraka na watoto huenda ndio watu wenye utimamu na wanaofikiria zaidi kuliko wenye watoto. Mtoto ni kitu serious ila sisi tunazaa kwa mazoea, unakuta hata lishe yake inamgonga halafu alete mtoto. Udumavu hautoisha. Michezo.
GodWin🌍
3.4K posts

@_GodWin13
Construction expert...MSc. in Construction Economic and Management...🇹🇿

Watu ambao hawana haraka na watoto huenda ndio watu wenye utimamu na wanaofikiria zaidi kuliko wenye watoto. Mtoto ni kitu serious ila sisi tunazaa kwa mazoea, unakuta hata lishe yake inamgonga halafu alete mtoto. Udumavu hautoisha. Michezo.

“Tumewasilisha kwa GSM mahitaji uwanja tunaohitaji. Tunatambua yapo madaraja manne ya viwango vya viwanja vya CAF. Daraja la tatu ni uwanja ambao unaweza kuchezewa mpaka hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika. Daraja la nne linaweza kuandaa mpaka hatua ya fainali. Tunalenga kuwa kati ya daraja la tatu na la nne la ubora wa viwanja. Tunahitaji uwanja bora wa kisasa ambayo utamudu mahitaji yote ya kitaifa na kimataifa” Hersi Ally Said #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

#TajiriLaKihaya Ukiifaham historia ya ‘VALENTINE’ unaweza usiwahi hata kuitamka maishani mwako….

Bro to bro,,, Kujenga inawezekana ukiwa na 10M kodi huwa inatesa sana angalia hapa huu. Inatosha kuanzia Angalia hapa hesabu ya hii nyumba

umasikini bhana... kuna muda unatufanya tuamini bus lenye choo ndani ni Luxury!

#TajiriLaKihaya SONGESHA wakiamua jambo Lao… Wanaweza kukumbusha kila siku aisee🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Almuradi tu uingie kwenye Riba 💔