
Saint Eric✝️
957 posts

Saint Eric✝️
@_saint_eric
Multi-Preneur & Laboratory Tech UI/UX Designer | Website Designer | Innovator Building: Ekadi, TymTalk, imama, HealHand Insights, Door2Door & Verden Farms
Katılım Eylül 2022
107 Takip Edilen154 Takipçiler
Saint Eric✝️ retweetledi

"The world is like a big dinner party where you are supposed to serve yourself. If you expect people to first put your desired dish on your plate, you will be starved. You wouldn't get to taste what's out there." - from "The art of being alone" by @renukagavrani
English
Saint Eric✝️ retweetledi

𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐢𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝟔𝟎𝐌
Simu moja inaishi miaka 5-7
Tuseme simu mpya 15M ndani ya miaka 5 zinaingia (hapo acha used,refurb,wanaomiliki simu mbili nk)
Simu moja watu 5-10 wananufaika
(Wauza accessories,mawinga,mafundi,wadosi,telecoms, etc)
Fikiria hizo simu zote zinahitaji Softwares (Apps,webapps,websites)
Vijana wangapi wamesoma IT,Software dev, computer science,Cyber sercurity huko Udom,DIT,NIT mahakama ya ndizi hawana mishe?
FIKIRIA tu mambo yangenyooka.
I mean tungelink hii chain ya bidhaa moja na Ajira/opportunities kwa VIJANA
Twende kwenye Laptops, iPads, nk
Hawa watu 150k wanaingia chuo kikuu kila mwaka wanakosaje ajira hata kwa 40%
Labda nafikiria kiHESABU za matikiti😂
𝐀𝐧𝐲𝐰𝐚𝐲𝐬 𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐮𝐧𝐚𝐟𝐢𝐭 𝐢𝐧 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐏𝐚𝐲𝐦𝐞𝐧𝐭𝐬 𝐨𝐧𝐥𝐢𝐧𝐞 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚
snippe.sh
Iwe unauza Smartphones, accesories ama unatoa services SNIPPE wanakuwezesha uweze pokea malipo kwa 𝑸𝑹 𝑪𝑶𝑫𝑬, 𝑪𝒂𝒓𝒅(𝑽𝒊𝒔𝒂 𝒏𝒂 𝑴𝒂𝒔𝒕𝒆𝒓𝒄𝒂𝒓𝒅), 𝑴𝒐𝒃𝒊𝒍𝒆 𝒎𝒐𝒏𝒆𝒚 (𝑴𝒑𝒆𝒔𝒂,𝑴𝒊𝒙𝒙 𝒃𝒚 𝒚𝒂𝒔, 𝒔𝒆𝒍𝒄𝒐𝒎 𝒑𝒆𝒔𝒂 𝒆𝒕𝒄)
Kuitumiw hakikisha una NIDA na TIN ya TRA
Angalia Video hapa👉🏾 youtu.be/lLfA4B5zQpg?si…
Iko Kitabu kinaitwa 101 ways to make money in africa unaeza pata whatsapp👉🏾 shorturl.at/YIT5z

YouTube




Indonesia

@lawcharsfx1 Wacha ishuke tu ata a hundred dollars tuanze wote upya.😂😂
हिन्दी
Saint Eric✝️ retweetledi

Muda mwingine siri ya kutoboa au kufanikiwa ni kufanya tu, vitu vidogo vidogo ambavyo ni "Obvious",
Na, watu wengi tunavijua lakini hatuvifanyi kama;
- Kuwa na nidhamu ya muda
- Kuwa organized.
- Kuacha ughairishaji
- Kufanya kwa mwendelezo.
- Kujifunza au kunoa ujuzi.
- Kumka mapema.
- Kuheshimu ratiba uliyojiwekea.
- Nakadhalika nakadhalika.
- Hakuna ambacho hatujawahi kusikia au kufahamu kwenye list hapo juu, hivyo hatumuhitaji, "Jim Rhon" mwingine atuambie.
Ishu ni kuamua Ku-press button na kufanya.
Indonesia

@lawcharsfx1 Congratulations sana kaka, nitaomba nikuhudmie maswala ya mialiko kupitia @ekadi_tz
Filipino

@nickyrabit 😂😂
Lazima adi umuambie your wrong ndo kanasema 'I am sorry".
Nadhani sometimes baada ya kudebug nae.
Unamuuliza: "Do you understand what are you doing".
Ili a re-think alichokifanya hapo mwanzo.
Indonesia

Mnipe tender ya kusambaza hizo kadi kwa njia ya WhatsApp au SMS ya Kawaida.
Kupitia @ekadi_tz
#TOTTechs@TOTTechs
Kadi siku hizi siyo hardcopy ni "Online Invitation Link/QR Code, NFC, Tags etc.." Ni mwendo wa kuchanja tu unaingia ukumbini.
Indonesia

Ndo nafahamu hivi sasa😅.
#TOTTechs@TOTTechs
Ni lini ulifahamu kuwa laini ya simu (SIM card) ni computer kamili yaani ina storage, CPU, RAM na ina Operating system (OS) yake "applets" hata e-Sim ni kivuli ya Sim (image of real Sim) e-Sim siyo physical inafanya kazi kama kivuli cha Sim halisi (run as a VM or a real Sim).
Indonesia

Leo nimejipatia copy kitabu changu cha "NAKED OFFERS" kutoka kwa @NyandaAmosi .
Kitabu changu cha pili baada ya " MGODI".
Nitarudi na Ushuhuda hapa🫵🏾.

Filipino

@EngsJohn @NyandaAmosi @gabyconscious @GoodluckMalekoJ Tembelea profile ya @NyandaAmosi utapata kwa offer🫵🏾
Usiseme sijakuambia.
Indonesia

@Arkad462360 @NyandaAmosi @gabyconscious @GoodluckMalekoJ Tembelea profile ya @NyandaAmosi utapata kwa offer🫵🏾
Indonesia

@NyandaAmosi @_saint_eric @gabyconscious @GoodluckMalekoJ Kinauzwa bei gani na kinapatikana soft na hard copy?
Indonesia
Saint Eric✝️ retweetledi
Saint Eric✝️ retweetledi

Good morning!
September, October, November and December end with BER.
BER stands for Build, Execute, Reflect.
SEPTEMBER is NOT a month to waste,
It is a month to BUILD.
BUILD a foundation of discipline.
Losers build excuses, MEN build DISCIPLINE.
#BuildExecuteReflect
English

Photographers, show me your best Travel shots of 2025, Re-Posting all 😍📸

James Munisi@NjiwaFLow
Photographers, show me your best Travel shots of 2025, Re-Posting all 😍📸
English
Saint Eric✝️ retweetledi

Unaenda Instagram unapost Video yako ya kuuza product alafu unasema, NJOONI MNISAPOTI!!
Guys, you'll never sell kwa style hiyo.
Maana yake unataka watu wakuungishe kwa KUKUONEA HURUMA!
Badala yake, GO AND PITCH
1. Changamoto zao
2. Sababu ya Changamoto zao
3. Madhara yake (yajayo).
4. Wape Solutions chache free (Zingine wauzie)
5. Waoneshe waliotangulia walivyo nufaika (Feedback)
6. Create Demand kwa ajili ya VALUE
7. Wape ofa yenye kuwatengenezea Hofu ya Kukosa.
8. Weka Call to Action
9. Receive Lead Generation
10. Close business.
Sekunde 90 zinakutosha kuleta Impact kubwa kwenye post yako.

Filipino









