Ekadi
107 posts

Ekadi
@ekadi_tz
Tunakusaidia kusambaza kadi kwa wageni wako kidijitali kwa njia ya WhatsApp na SMS.

Kitu Ambacho Wanaume Huwa Tunachelewa Kuelewa ni Kwamba: Mwanamke Ambaye Yupo INTERESTED nawewe Atafanya Kila Kitu ili Kukutengenezea Mazingira Rahisi ya Kumpata …ukiona unatumia Nguvu Nyingi na anaruka ruka—She’s not INTERESTED Usipoteze Muda wako!

Hata kama mambo ni magumu kiasi gani. Ni kweli kabisa haituhusu. Huwezi kuwa sawa kama hapo ulipo unawaza kuchukua mkopo ili kujazia bajeti ya sherehe. Hivi kweli kabisa unachukua mkopo kufanya sherehe? Kuna kitu hakiko sawa mahali. Jitathmini. Rekebisha haraka.

The Art of Uzamiaji. Utajiuliza, 'Hivi kuna mtu kweli na utimamu wake anatoka kwake anaenda kwenye sherehe ambayo hajaalikwa?' Nikuambie tu kuwa wapo, tena hawanahata chembe ya aibu. Na ukimwangalia alivyo huwezi sema ni njaa imemfanya akazamie... 👇🏼