Israel: tunawahasa Wananchi Wa Iran wale wema na wale magaidi kukaa mbali na miundombinu ya reli, viwanda na sehemu z nishati Kwakuwa usiku tuna kazi nazo kuirejesha Iran zama za mawe
@Baharyy25@millardayo bro kuna afcon inakuja kwaiyo ivo vitu vinabdi viwe vya kisasa kama unakumbuka kimara nymba zilvyo bomolewa watu walilalamika lakini saivi kila mtu ana furahi acha tuoeni mipango yao inaweza kua na faida kubwa kuliko saivi
Wafanyabiashara zaidi ya 300 wa mihogo katika eneo la Coco beach Dar es salaam wamepewa siku 30 za kuondoka kwenye eneo hilo ili kupisha Mwekezaji ambaye amepewa eneo hilo na Serikali ili kupatengeneza kisasa.
Baadhi ya Wafanyabiashara hao wameeleza kushtushwa na uamuzi huo na kusema waliitwa kwenye kikao na Afisa Masoko wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye kuitwa na Meya wa Manispaa hiyo na kuambiwa kuwa wana siku 30 za kuondoka ndani ya eneo hilo na kwamba kila mmoja atapewa shilingi milioni 1.5
Kwa upande wa Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule, imesema lengo la kuwaondoa Wafanyabiashara hao ni maboresho kuelekea maandalizi ya michuano ya AFCON. #MillardAyoUPDATES
@Sulphuric_aci17@KarigoalexTz@AbroadTanzania M 18 kwa mwezi mshahara ndani miaka 30 bado posho na wale wenzetu kila kitu wanalipiwa na selikali sio ada za watt sio afya sio pesa ya kula sio maji wala umeme usafili bure ata kama ni wewe kaka utashidwa kua na vitu kama ivo tena inawezakana ungkua wewe inawezwlana ukawa na vgi
@Sulphuric_aci17@KarigoalexTz@AbroadTanzania kwa uwelewa wangu lbda anazungumzia ngazi za chini lbda mwalimu au wengne tu ambao hawana cheo lakn ngazi za juu wale wanapata pesa nyingi nje na mshahara inaweza kua sio halali na hata kama ni harari basi n nyingi kama waziri akiwa na ziara analipwa na over time sasa piga hesabu
@KarigoalexTz@AbroadTanzania ata kama ni wewe umepata chance selikalini alafu unambiwa butua na unepewa na uhakika. kwa me navyo ona selikalini ni kama tu kweny makampuni ya mtu binafsi watu wanapata pesa kwa njia sio halali..japo siungi mkono
@KarigoalexTz@AbroadTanzania bro kila mtu na malengo yake kwenye maisha ile ni kazi kama kazi zingne we unatka afe akiwa hana chochote ili akufurahishe badae muanze kucheka
@dakika0@PolycarpMDM Kitu ambacho amjui ni Bora Marekani akabaki vitani kuliko Israeli kukaa pekee yake
atageuza Iran kama Gaza na uwa afikirii anafanya maamuzi magumu ya kutisha
@SRymse42011@kingkunta2123@AbroadTanzania Wew ni kenge kwahyo maana ya vita nini Tanzania ilipigana na Uganda ulitaka tuuwawe watz wabaya lazima wafe dunia iwe salama
Netanyahu: Tunaposhambulia usiku wa leo mashirika ya kimataifa na watoa matamko wa UN mkae kimya kama mlivyokaa kimya wachokozi dhaifu wakishambulia, usiku wa leo utakuwa wa historia”
@grok@FrankKi63376894@ErnestKavol4 bwana Ai... kwanza wanao wamiliki na kuwatengeneza ni hawo hawo kwaiy auwezi kuwa upande wa pili endelea kusambaza mema ya israel na mabaya ya iran ila kuna siku tutafaamu ukweli
Hapana bwana, si upendeleo. Iran ilidai kushambulia Ben Gurion na makombora Machi 5, lakini uwanja unafanya kazi kwa ndege chache tangu Machi 5 (inbound/outbound limited) kama ilivyothibitishwa na Israel Airports Authority, Times of Israel na US Embassy. Hakuna uharibifu mkubwa ulioripotiwa. Picha hiyo inaonekana bandia/AI, si ya uwanja huo. Angalia vyanzo vingi kwa habari kamili.
Hapana, hii habari si ya kweli. Iran ilidai kushambulia Ben Gurion na makombora Machi 5, lakini uwanja unaendelea kufanya kazi kwa ndege chache (inbound/outbound limited) kama ilivyothibitishwa na Israel Airports Authority na US Embassy leo. Hakuna uharibifu mkubwa ulioripotiwa na picha hiyo inaonekana bandia/AI. Habari za kweli zipo kwenye Times of Israel na BBC.
@AbroadTanzania Nadhani hakujawah tokea kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa kijeshi kuwa na akili kama za huyu mjomba🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Totally rubish kabisaaaaa
KWANINI ISRSEL IKIPIGWA NA IRAN DAMU INATOKA NYINGI
Nimekuwekea kwa ukubwa wa nchi
🇮🇷 Iran ≈ 1,648,195 km²
🇹🇿 Tanzania ≈ 947,300 km²
🇮🇱 Israel ≈ 22,145 km²
👉 Hii ina maana:
Tanzania ni mara 40+ kubwa kuliko Israel.
Iran ni mara 70+ kubwa kuliko Israel.
#BilaGanzi