@therealbellan 🇹🇿

13.8K posts

@therealbellan 🇹🇿

@therealbellan 🇹🇿

@bellan__

⚫University Of Dodoma Alumnus~|| ⚫Pathologist|| ⚫Agribusiness|| ⚫Digital Creator. SIMBA Fan🦁

Dodoma Katılım Temmuz 2022
333 Takip Edilen392 Takipçiler
CHAVO 🌟
CHAVO 🌟@HastaRuego·
Hi hapa Biashara ambazo kama kijana ukikomaa nazo fresh lazima zikutoe👇 1. Car wash 2. Duka la vipodozi 3. Duka la nafaka 4. Barbershop 5. Butchery 6. Nguo za mtumba 7. Electronics shop 8. Mali mali 9. Wines and spirits 10. Motorbike spares
Indonesia
21
64
348
14.1K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Huyu ni mwalimu wangu anaitwa Prof Kironde amenifundisha somo la utawala wa ardhi(Land administration) na Sera za ardhi(Land Policy) wakati nafanya masters ya land administration pale chuo kikuu cha Ardhi(ARU) ,pamoja na kustaafu kufundisha bado anafanya mazoezi sana na anashiriki marathon 🙌🏿😁. Kweli mazoezi ni tabia kama tabia zingine huwezi kuacha.
Thom Mnkondya tweet media
Indonesia
33
31
670
59.6K
Prince
Prince@lughxt11·
@Shokosugi164332 @Thommunkondya Kwan masters zetu ndo zinapanga bajet ya wizara na kusimamia utekelezaji wa sera pamoja na matumizi ya fedha zinazoelekezwa kweny miradi? MSITUCHOSHE. Tumesoma na tumeshauri sana kwa uchapishaji wa maandiko yetu mengine is beyond our capabilities
Indonesia
2
0
1
38
KACHERO
KACHERO@Kachero_jr·
Hawa watu wa Usalama wapo kwenye Taasisi zote hapa TZ na unaweza usiwajue hadi unaacha kazi. There is no safe Space 😃
Indonesia
24
36
678
30.7K
saint sinner
saint sinner@MendradMlelwa·
@kasesco_tz Kula njaa inapokuuma achana na hii mifumo ya kula mala3 per day
Indonesia
2
0
5
284
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi kama siku bajeti yako haipo vizuri kidogo hasa katika masuala ya chakula kipi bora 1️⃣Yaani usinywe chai asubuhi ili ule mchana na Usiku 2️⃣ Au unywe chai asubuhi, mchana ukupite ili ule usiku? Nipeni mawazo ndugu zangu.
Indonesia
47
33
151
5.2K
Lugola Hardware
Lugola Hardware@FransiscoLeona4·
@P_simpleman95 @Adventure_36 Usibishe boi ndaro ana matangazo mengi Sana na makampuni mbalimbali si tu sanaa, nakingine kumbuka aliwa miliki tunda 😂😂😂 yule baba kama ujajipanga utoboi
Indonesia
2
0
0
218
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
NDARO yule mchekeshaji anasema ikitokea mtu au serikali inataka kumuajili aache uchekeshaji akafundishe inabid apewe mshahara wa milioni 8 kwa mwezi. Ana GPA ya 4.6 ni Mwalimu wa Hesabu Na amesema kazi yake ya uchekeshaji kwa mwezi amekosa sana basi anaingiza Milion 10.
Indonesia
44
41
768
37K
Trader Lyakurwa📊
Trader Lyakurwa📊@nelson_lyakurwa·
@INFLUENCERjr Huu ndo ujinga wa mwafrika...anaacha kutafuta right knowledge adevelop his own skill anapambana kufagia makaburi mwisho anapata mafua..🤣 very stupid mindset
Indonesia
1
1
3
254
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Ukiona mambo hayaendi rudi nyumbani nenda kafagie makaburi ya wazee na bado hajaja jengewa jengea then fanya na kisomo, ukirudi mjini mambo yasipoenda njoo unidai liten. Na huu sio uchawi
Indonesia
36
96
797
19.2K
warisinda
warisinda@warisinda99456·
@TanzaniaLeaks Acha kusambaza chuki ndugu yangu acheni kulishwa maneno ya mtaani Eti Beuro de Change okay hata kama ni kweli Si bora hizo hela amewekaza hapa Tanzania kuliko angelepeleka huko Nje ya Nchi ,atleast wananchi wanapata ajira kupitia hizo beuro de Change.
Indonesia
2
0
0
456
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
Huyu mropokaji, muuwaji na mwizi hata wakimuua, Watanganyika watakuwa karibu na ukombozi. Watajuana, maana Bashite ndio kashikilia mpini.
Tanzania Leaks tweet mediaTanzania Leaks tweet media
Indonesia
5
27
225
20.6K
@therealbellan 🇹🇿 retweetledi
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
Kama umri wangu ungerudishwa mpaka miaka 25, ningechagua kujenga kipato cha maana kwanza nje ya ajira kabla ya kuoa. Ukishaoa na kupata watoto, kujenga biashara na kufanya uwekezaji inahitaji kujinyima sana na huwezi kuchukua risk kubwa kwa sababu zitawaathiri watoto na mkeo.
Indonesia
17
61
474
13.2K
Othman
Othman@othmanhamis30·
@fbuyobe Sasa hicho kiburi na confidence kilikuwa mbele ya jiwe Sasa embu assume kiburi chake Kwa wafungwa
Filipino
1
0
30
3K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Ilimbidi Magufuli asafiri mpaka Butimba kwenda kumuinua
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
42
53
981
44K
@therealbellan 🇹🇿 retweetledi
LUSAJO
LUSAJO@sajo_mwaihabi·
Kinachoogopesha watu wengi kuimarisha MIPAKA yao ktk maisha ni KUPOTEZA watu Ukifanikiwa kuweka Mipaka alafu ukasikia kwa walengwa waliotolewa wanasema; - Now days anajickia sana - Anajifanya yuko busy - Anajiona tajiri Ujue ndio unahama hatua. Hii ni Moja ya GHARAMA ktk maisha
Indonesia
8
15
152
2.5K
@therealbellan 🇹🇿
@therealbellan 🇹🇿@bellan__·
Don't quit because you're tired, quit because you're done.✨️ Wozolo wozolo
English
0
0
0
13
@therealbellan 🇹🇿
@therealbellan 🇹🇿@bellan__·
Bila kujali wewe ni bora kiasi gani Lazima kuna mtu utakutana nae ambaye amekuzidi kitu fulani. Ukielewa hii hautaishi kwa mashindano.✨️
Indonesia
0
0
1
14
@therealbellan 🇹🇿
@therealbellan 🇹🇿@bellan__·
Kuna siku utaangalia nyuma na kusema"Nilipitia mengi lakini sikukata tamaa".Siku hiyo inakuja. Endelea kuamini,endelea kusimama na endelea kuwa na moyo wenye subira.Dunia inaweza kukunyima mengi lakini haiwezi kukuondolea ndoto zako bila ridhaa yako. Blue Monday lads✨️
Indonesia
0
0
0
15
HB ezzy
HB ezzy@mpalila78200·
@nyuki_malkia kuwa na migodi haimaanishi wanakijiji wote watakua matajir
हिन्दी
1
0
1
529
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Geita miaka 100 ijayo itabaki na ardhi ya mashimo mashimo tu kila sehemu ni mgodi tu lakini wananchi wake maskini 🙌
Indonesia
17
24
474
24.6K
BEBERU
BEBERU@VictorLash31118·
@TanzaniaLeaks Mbona Nyerere alikuwa akifanya shughuli za Serikali na Kichama akiwa Butiama
Indonesia
5
0
2
1.7K
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
Samuya, mbona anaogopa ogopa, Kwani makao makuu ya nchi yamehamia Zanzibar? Wadau, na wajuzi wa mambo, kwani kuna nini Tanganyika kiasi kwamba Samuya anakimbia kimbia kama Digidigi? Au kivuli chake kinamkimbiza? Na bwana Emmanuel mbona hatumuoni kwenye kikao?
Tanzania Leaks tweet media
Indonesia
35
29
333
36.2K
Baba P
Baba P@TheRock25656251·
@chapo255 Bila kusahau mtu mmoja alikuwa anaitwa.Saliboko
Filipino
4
0
24
4.7K