Willy Chilly
1K posts


Inaonekana China ndiyo watu pekee wanaoelewa nguvu ya Marekani na Donald Trump.
Nchini Venezuela, Maduro alikuwa akitegemea sana usaidizi wa China lakini Donald Trump alipojitokeza, China ilimwacha Maduro.
Nchini Nigeria, baadhi ya viongozi walikuwa wakiitegemea China na waliamini kuunda muungano na China kungezuia shambulio la Trump dhidi ya magaidi wa Kiislamu.
Trump alifika, alifanya mashambulizi yake na China haikukohoa.
Sasa, nchini Iran, Trump alizuia Mlango wa Hormuz na kuzuia meli kuingia au kutoka bandari za Iran. Jana, meli za China ziligeuka baada ya kukumbana na kizuizi cha Marekani.
Baadhi ya watu walibishana kwamba China bila shaka ingekabiliana na Marekani na inaweza hata kuandamana hadi Mlango wa Hormuz na jeshi lao wenyewe.
Unajua nini? Leo, China inaithamini Marekani na Donald Trump kwa kufungua Mlango wa Hormuz na China imekubali kuacha kutuma silaha Iran.
Ni dhahiri, baadhi ya watu, tunadharau sana nguvu ya kijeshi ya Marekani.
Ni China pekee inayoonekana kuona kile ambacho hatuoni.
Indonesia

@ayubu_madenge Sio kuzuia tu ikiwezekana na wazuie chochote kuingia ama kutoka iran,
wazuie kila aina ya malighafi inayouzwa iran kwenda nje ya nchi
mabomba yote ya maji,
umeme na nishati ilipuliwe
hospital zibomolewe maana magaidi wanafany watu kama ngao
Indonesia

@VungaEl74 @_Tajiri__ Chuo Cha Umbea Kinachotoa PHd,wakati Wewe una Cheti
हिन्दी

Tulisema mapema kwamba Mlango-Bahari wa Hormuz uliofungwa ni ushindi mkubwa kwa Donald Trump.
Sasa, ametangaza tu kwamba atazuia Mlango-Bahari wa Hormuz mwenyewe na Iran haitauza tena mafuta.
Na sasa, Marekani ina mafuta mengi kuliko Urusi na Saudi Arabia zikiwa zimeunganishwa pamoja.
Na meli nyingi za mafuta ziko tayari kuelekea Marekani kujaza mafuta.
Iran haijawahi kuona hili likitokea.
Indonesia

@kanagana_gete Wewe ndiye Uliyemtambua Nabii Kama Mungu
Ila MUNGU Anabaki kuwa MUNGU kwa kuwa Yeye ni Mkubwa Kuliko Dini na Kanisa
Filipino

@VungaEl74 Ukweli ni kama Jua
Hata ukijifunika na ungo,utajificha Wewe Tu Wengine Wataendelea kuliona tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Indonesia

Una bahati Yule mama aliondoka kwenda kwa muumba hamjamalizana maku ww
Dr Calipso@nulphin
Hatuitaki mtu hujui ata hesabu za kujumlisha na kutoa.
Filipino

Boti moja iliyokuwa na takribani askari kumi na wawili wenye silaha imeishambulia meli ya mizigo karibu na mlango wa bahari wa Bab al-Mandeb katika Bahari ya Shamu.
Shambulio hilo halikufanikiwa, kwani walishindwa kuipanda meli hiyo.
Inaonekana kama kundi la Houthis limeanza mashambulizi kwa lengo la kufunga njia hiyo muhimu ya baharini.

Indonesia

@kanagana_gete @Sharb84 Ili kuzitawala
Mifumo Ya Wakuu Wa Giza
Indonesia

Bhutto hapa alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan. Alikuwa Rais wa Taifa hilo kwa muda mfupi sana wa mpito baada ya Rais wa Kijeshi Yahaya Khan kujiuzulu kufuatia kushindwa vita iliyoligawa Taifa la Pakistan na kuzaliwa Bangladesh . Baadaye alikuwa Waziri Mkuu
Swahili Times@swahilitimes
Desemba 15, 1971, Rais wa Pakistan, Zulfikar Ali Bhutto alichana hati ya Umoja wa Mataifa katika mkutano na Marekani wakati Pakistan ilipozuiwa kuwa na silaha za nyuklia, akisisitiza kuwa "Tukilazimika tutakula nyasi, lakini tutatengeneza bomu letu la nyuklia." Mwaka 1972, Rais Bhutto alianza rasmi mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia.
Indonesia

Iran ilitishia kwamba meli yoyote ya Jeshi la Wanamaji la Marekani iliyopatikana maili 50 karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz, ingelengwa.
Na leo, meli kadhaa za Jeshi la Wanamaji la Marekani zilipita kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz bila hata mkwaruzo.
Sahau kelele za mtandaoni, Iran inamuogopa sana Trump.
Trump😆🙌🏽
Indonesia

@joeselasini Ukijimlisha na Udadali Unaufanywa na Upinzani Umerahisisha Hayo

@ezzy_wix Acha Uzembe Wa Kufikiria Wewe
Hata Wewe Ukisoma Ulichoandika lazima Ujicheke
Indonesia

Watanzania wengi tunaamini mayai ya kisasa sio mazuri ukilinganisha na mayai ya kienyeji.
Ukweli ni kwamba mayai ya kisasa na ya kienyeji hayana utofauti in terms of nutrients.
#Elimikawikiend


Indonesia

@CoolestDudeOnX Mtu Anahoji Kutumia Hiyo Sayansi Anaonekana Miyeyusho
Utumwa wa Kifikra Mbaya Sana
Indonesia

Kwa namna hii, CCM itatawala milele.
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1
Zaidi ya nyuzi joto 2700*C walizokutana nazo lakini bado hiyo rangi kwenye chombo haikuyeyuka wala kufutika. Wakuu, ni kazi sana kuwatetea hawa jamaa😂
Indonesia









