confusing speaker

2.8K posts

confusing speaker

confusing speaker

@confusing_speak

optimiste

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2022
337 Takip Edilen204 Takipçiler
confusing speaker retweetledi
Dae Joyong
Dae Joyong@KingDaeJoyong·
Dae Joyong tweet media
ZXX
0
1
7
2.1K
confusing speaker
confusing speaker@confusing_speak·
@mchiziMonie @kasimuabuu98 Ungekuwa MPANGWA hata mimi ningeanza kuogopa. Unapiga zako TEGO linatafuna ukoo mzima.. linaanzia na wepesi wanaopuuzia mila kisha linawafuata vingunge. Hiyo misiba mitatu uhakika na wakijifanya wabishi anazika ukoo mzima yeye anakuwa wa mwisho
Indonesia
1
0
4
278
THE LAZARUS
THE LAZARUS@mchiziMonie·
Mwana unamuamini unampa mchongo wa 10M, unalipa advance 6M kwamba ukipokea mzigo unammalizia mzigo uliobaki, anapotelea mitini😂😂 hey!! Mi ni mkinga kaongeze chale au irizi kwa waganga wako kumamako zako wewe.
Filipino
14
16
234
17.1K
confusing speaker
confusing speaker@confusing_speak·
@bmuajir03 @ercurry_ YOHANA na MATHAYO ni wanafunzi wa Yesu. Injiri ya MARKO ingepaswa kuandikwa kuwa ni 'Injiri ya PETRO' Tatizo ni kuwa anayepewa andiko ni mwandishi na PETRO alikuwa hajui kusoma na kuandika kwahiyo yeye alikuwa akitoa alichohifadhi kichwani mwake na Marko akimsaidia kuandika
Filipino
1
0
0
20
Pablo'
Pablo'@bmuajir03·
@ercurry_ Alie iandika ndio muongo kuliko wote maana hakua hata mmoja kati ya wanafunzi wa yesu😂
Filipino
1
0
1
156
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Mtu aliyekuwa muongo muongo sana kwenye Biblia alikuwa nani?😂
Filipino
15
14
114
7.8K
confusing speaker
confusing speaker@confusing_speak·
@emabilly2001 El mencho vs El chappo Huyu El mencho ni mtoto wa Sineroa Cartel ya bwana El Chapo. So lilipo jina la El mencho lifute andika El CHAPPO
Español
1
0
2
476
Beast
Beast@emabilly2001·
Colombia 🇨🇴 wana Pablo escobar Mexico 🇲🇽 wana El mencho Nchi yako ina nani?😄
Español
48
11
131
8.9K
Ndussa26
Ndussa26@LusajoNdussa·
Kusema kweli Wanaume hatupendi wa hivi👇🏿👇🏿
Ndussa26 tweet media
Filipino
1
0
4
73
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Kwahiyo tumekubaliana wapare wanaongoza kwa uchoyo au?
Filipino
14
7
55
4.2K
Mzee wa Chuki 🤬
Mzee wa Chuki 🤬@PapiiKhan98·
Aise nimekumbuka Nina degree ya UDOM college of informatics and Virtual Education (CIVE) na sahivi nauza mbao. Enewei kuanzia sahivi naitwa Muuza mbao mwenye degree ya UDOM....Karibuni Rombo mniungishe mbao wakali zangu.😂😂😂😂🔥🔥
Indonesia
38
48
237
9.7K
confusing speaker
confusing speaker@confusing_speak·
@bwaya Fikra za aina hii ni fikra dhaifu zilizoibukia karne ya 21. Matokeo yake ni dunia dhaifu ya ushoga na baby mama... dadiooo... chapati za maji ngumu... juice ya embe Chungu. Shindwa pepo.!!!
Indonesia
0
0
1
270
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Umewahi kufikiria maumivu ya mtoto kunyimwa kufurahia utoto wake? Haruhusiwi kufanya makosa. Haruhusiwi kufikiri kama mtoto. Haruhusiwi kutaka wanachotaka watoto wengine. Mtoto anakomazwa kuzidi umri wake. “Unaogopaje kulala mwenyewe?” “Umechafuka tena? Sitaki mtoto anarudi na vumbi ndani.” “Unathubutu kulia na mdogo wako afanyaje?” “Unakuja kunisemea mimi nifanye nini? Hebu ondoka acha kunidekea hapa.” Huenda ni dhana kuwa utoto ni ujinga. Huenda ni wazazi kuwa na msimamo mkali kupindukia. Huenda ni shauku ya mzazi kumwona mtoto anawazidi uwezo wenzake (smart kid), na pengine ni tatizo la kutafsiri woga kama nidhamu na udadisi kama ukorofi. Lakini inaweza pia mzazi anakuwa kalemewa na mengi na hana mtu mwingine wa kumshirikisha na mtoto anageuzwa kuwa dodoki la kubeba matatizo yanayozidi umri wake. “Baba yenu ni mtu katili sana.” “Mnaona mama yenu anachonifanyia?” “Usije ukalogwa uwaamini wanawake”. Tunaweza tusione matokeo ya kuwabebesha watoto mizigo isiyowahusu lakini matokeo yake yakaribu maisha ya baadae. Kumkimbiza mtoto awe mtu mzima kabla ya wakati ni kumwandaa kuurudia utoto wake akiwa mtu mzima. Malezi ni pamoja na kuwaruhusu watoto kuufurahia utoto wao na kuwasaidia kukabiliana na changamoto kwa namna inayolingana na umri wao.
Indonesia
4
14
69
5.6K
confusing speaker retweetledi
Manifest_Lord
Manifest_Lord@Manifest_Lord·
These 13 families that secretly control the world.. 🧵
Manifest_Lord tweet media
English
13
101
293
41.3K
confusing speaker
confusing speaker@confusing_speak·
@Rydx_017 Physics ipi.? Tuleteeni hapa matokeo ya PCB na PCM mwaka wowote ule, shule yoyote Ile TUSIONGEE KWA HISIA
Filipino
0
0
0
12
Wakana Wakilo
Wakana Wakilo@77Rondo5·
@PapiiKhan98 Hakuna mtu katoka CIVE hana ajira labda twambie umesoma nini mkuu
Indonesia
1
0
2
170
deric
deric@derc2323·
Wakuu mnakubaliana hapa au kuna mjadala wa kuzungumza nimekutana nayo greenapp
deric tweet media
Indonesia
8
5
13
330
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Kuna wale mabro wao wanataka mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote cha pesa kwao ndio wife material.
Indonesia
29
19
147
7.9K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Waislamu wamefunga na Wakristo wamefunga, hawa wanaokula migahawani ni watu gani?
Filipino
17
5
88
2.6K
confusing speaker
confusing speaker@confusing_speak·
@LastbornWaWapwa @heisnabeel Njombe, kwetu tulipanda kama maua Hatukuwa tunajua kama ni strawberry yaani matunda ya maana. Tulipoanza kusikia matangazo ya CONDOM ndio tukajua yanaitwa hivo
Indonesia
0
0
0
133
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuna mzee anasema hapa ukiwa tajiri ni mateso,presha muda wote, mawazo chungumzima, matajiri hawalali. Muda wote kichwa kinapata moto tu.
Indonesia
15
23
234
6.8K
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Kwahiyo wote leo humu ndani mmefunga..???
Filipino
2
4
10
80