Deosparta
4.7K posts


@kissamosulleysh @francismtey point ni free will babu... ww mbinguni hujafika na mm sija fika so unaweza kuyaelezea mazingira yake ?
Indonesia

@deosparta @francismtey Unawezaje kutoa mfano wa Bunge na Mbingu? How?
Polski

@TheHertkiller @BarakaMaviatu @frajo_ "chuma chenye uzito mkubwa kinavutana zaid na sumaku kuliko chenye uzito mdogo" HUU UONGO Sogeza sumaku krb na wembe utapata majib. na hio point ya helium sija kuelewa hebu eleza kwann tunda lenye uzito wa gram 200 lina anguka chin na puto lenye gas ya helium gram 20 halianguki?
Indonesia

@deosparta @BarakaMaviatu @frajo_ 1. Kumbuka maji ya bahari Yana surface area kubwa na kiujumla Yana mass kubwa, kwahy gravitation inakuwa na nguvu sana, mfano tu kama sumaku chuma chenye uzito mkubwa kinavutana zaidi na sumaku kuliko chenye uzito mdogo.
2. Case ya Puto Kuna Sababu mbili;
Filipino

@PolycarpMDM @Innocen89950594 Sikatai hilo ila hii vita ya Iran ni kutaka tusi focus mambo yake ya epistein... mpka tuta sahau kwamba huyu jamaa ni mmoja wa watu walio kwenda kisiwani
Indonesia

@Innocen89950594 Trump ni wazi anapinga ushoga, Amepinga Transgender michezoni na jeshini
Filipino

@BarakaMaviatu @MightBeKelvin @frajo_ milima inapimwa urefu kutoka usawa wa bahari do you know why? the reason behind ni ocean water iko level.. so at what point maji yana bend ndo tupate hayo mambo ya horizon na hiko wanacho kiita ship visibility?
Filipino

@BarakaMaviatu @MightBeKelvin @frajo_ sio tuu kwann hatuanguki km ni hivo sisi tunaishi km mijusi ukutani? ukiangalia maji always finds its level ndo mana mostly yanatoka mtoni kwenda ziwani au baharini sasa on globe earth hio water level inapimwa vip?
Indonesia

@BarakaMaviatu @frajo_ yeah force ambayo ina weza ku create mawimbi kwenye bahari ila haiwezi kwenye mto? Au force ambayo haiwez kuzui puto lililo jaa gas ya hellium lisitulie chini?
Indonesia

@deosparta @frajo_ Umewahi kusikia gravitational force na jinsi inafanya kazi?
Indonesia

@BarakaMaviatu @frajo_ sawa kaka elezea mvua inanyeshaje south pole, east and west of this globe earth???

Română

@deosparta @frajo_ Tungekua tunapata jua 24/7,hakuna kuowa na kujaa hakuna kupatwa kwa jua nk
Mnairudisha nyuma Dunia miaka 2300+ nyuma.
Indonesia

@deosparta @frajo_ Radar, satellite, Mawasiliano ya Internet nk havina uhusiano wowote na shape ya dunia.
Indonesia

@BarakaMaviatu @frajo_ Fikiria kuhusu Radar inavo fanya kazi na redio frequency zinavo fanya kazi ndo utajua kwann watu wana sema earthn ni flat,
Indonesia

@frajo_ Flat earthers wamavyohaha kutetea nadharia yao ndivyo waliofanya tafiti kua Dunia duara walivyoteseka kuishawishi jamii kua Dunia sio flat.
Japo hakuna flat earther hata mmoja anaefanya tafiti kuthibitisha madai yake zaidi ya nukuu za maandiko ya kale ambayo.
Indonesia

Aren't they a bit overgrown? In our local market in Tz, at that stage they won't buy them.
ÀRÀLẸSHỌ 💕🇵🇸@AishahAyilara
Fun fact; the cucumber I’m holding in the first frame weighs exactly 1kg🤭
English
Deosparta retweetledi

Anyone involved in the business of Agriculture will tell you that the minute you treat farming as a mere side hustle, that’s how you start killing your venture.
🚜 Treat it as a serious business, as a response to a market NEED & not just a path to financial freedom.
#UkulimaSioUshamba 🌾 🌽 🍅 🍆 🥬



English



















