EGF

509 posts

EGF banner
EGF

EGF

@egf_eddy

Stay positive and make it happen.

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Katılım Ağustos 2016
158 Takip Edilen55 Takipçiler
EGF
EGF@egf_eddy·
@MaraHo0d @Elsukay0 Morogoro katikati ya mji unaweza hata kupanda mahindi yakamea aah Moro kama Kigoma tu.
Indonesia
0
0
0
20
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@Elsukay0 Hiyo picha hata ukisimama Pale Masika Morogoro unaweza kutoa na hivyo, lakini Morogoro bado ni manispaa na hawana haraka hiyo.
Filipino
2
0
1
716
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Iringa ni kuzuri kuliko Dodoma Iringa ni kuzuri kuliko Tanga Iringa ni kuzuri Mbeya Sijui ni kwanini huu mji ulinyimwa hadhi ya kuwa jiji
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
44
19
145
10.4K
Novich
Novich@Novich276961·
@Addy_Adams Jamaa ni dishi siyo Leo tu
हिन्दी
1
0
0
202
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Sikiliza hadi mwisho uone mtu alivyo KASHA
Filipino
24
27
119
9.1K
EGF
EGF@egf_eddy·
@TanzaniaGains Huo ni mkono wa kulia hakuna pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kulia kaka hii unayofanya sio sahihi.
Indonesia
5
0
6
9.4K
Mr Mchambuzi
Mr Mchambuzi@TanzaniaGains·
Humu mko na siri sana, kumbe jamaa wa Ford amepigwa chini na hamsemi wana tusaidie kumlea Lee 😂😂😂😂🤣🤣🤣
Mr Mchambuzi tweet media
Filipino
30
41
727
76K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mwamba kabahatika kupata mama ya kikorea 🙌 Love is beaurifuliii Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
17
5
321
23.4K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kanji ananilazimisha nibeti kwa lazima ngoja nitafte odds 5 tu
Real Nigger tweet media
7
3
39
3.3K
EGF
EGF@egf_eddy·
@DaveConscious Hii biashara ni nzuri ila ina stress sana hasa vijana wa kuosha aisee watakutesa mno, kingine ni suala la maji ukitaka upate ahueni chimba kisima hapo utakuwa ume win.
Indonesia
0
0
3
259
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Yule Jamaa wa The School of Hard Knocks alimuinterview Billionaire Mmoja US source yake ya utajiri n wapi anaweza invest in today's world, Akasema in CarWash Business. Hii biashara bado naifatilia na kuiangalia kwa jicho la 3 hapa Bongo, Kunae Namna na Pesa!!
Indonesia
5
13
150
8.8K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Sports Arena bila Ambangile ni sawa na Pilau bila NYAMA🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
Indonesia
34
44
538
15.1K
I AM
I AM@francismtey·
Ukitaka Uokoe Pesa yako kuanzi leo... Nakushauri Achana na - Hisense -
Filipino
47
24
578
46.3K
EGF
EGF@egf_eddy·
@Ponge_Bromine @francismtey Vijana wa K/koo ndo wanauzia kwenye maduka ya Haisensi au maana mimi nimenunua soundbar katika maduka yao pamoja na Tv 58 inch
Indonesia
1
0
0
28
Eddy
Eddy@Eddy58576899·
@thomas_yona_ Mwanza hapo kwenye huo msikiti kumepakana na Nata mukipanda juu njia ya kwenda bugando na mwanza sec nyuma kidogo Aga khan hospital
Filipino
2
0
1
922
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Wakuu hapa ni wapi?😎
Brave man tweet media
Indonesia
61
29
217
15.4K
EGF
EGF@egf_eddy·
@dodoma360 @Mikumifinest Vya katikati ya mji vipo vingi tu Ilazo, Kisasa, Mlimwa, Area D tatizo bei utaiweza.
Indonesia
0
0
1
157
wekeza Dodoma
wekeza Dodoma@dodoma360·
@Mikumifinest Shida ya kampuni ya real estate viwanja vingi ni nje ya mji kule chahwa au nala chigongwe. Huwez kupata kiwanja mlimwa c cha kampuni
Indonesia
4
0
4
1.5K
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Skuiz kununua kiwanja kwa madalali sio salama Tena , ni Bora ukatafta kampuni ya real estate iliyobora ukapa kiwanja chako safi . Hapa Dom Kuna mtu kauziwa kiwanja kina beacon kumi 😂
Indonesia
16
23
227
18.6K
EGF
EGF@egf_eddy·
@TBoundBuses Walishasema uwanja sio kwaajili ya matumizi ya Afcon huenda ukawa Sports Centre tu.
Indonesia
0
0
0
377
Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses·
Dodoma mnatuchanganya aisee, uwanja upi mnajenga?
Tanzania Bound Buses tweet mediaTanzania Bound Buses tweet media
Indonesia
6
4
112
12.6K
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁
Huyu mwamba content zake hazihitaji maneno mengi lakini Mungu amempa muonekano unaofanya watu duniani kote wampende. Hahitaji lugha kufikia hadhira yake. Kwa waliopitia fasihi, huyu jamaa anatumia vyema mawasiliano ya kimya na ishara kujenga audience. — Uzi:👇
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁 tweet media
Indonesia
3
5
50
59.1K
EGF
EGF@egf_eddy·
@mlula_05 @zumbekhan Njax vipi mnamkumbuka mzee wa sarakasi akiona wazungu
Indonesia
2
0
1
171
mlula_F05
mlula_F05@mlula_05·
@zumbekhan Huwez amin huy nmesoma nae image sec ghafla tu naon anafanya matanuz😂 huko mbinguni ttatajana sana @zumbekhan
Filipino
5
0
9
3.8K
Carhartt
Carhartt@kahaats·
Hivi Huyu Jamaa Pesa Anatoa Wapi Yaani Nimeamini Kweli Pesa Haieleweki Asee😂🙌
Carhartt tweet media
Indonesia
37
10
426
54.6K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Unaambiwa pale dodoma matajiri walioshika jiji list yao iko hivi 1.Shabiby ( ana morena hotel) 2.Frank mtei (ana Imarika financial Microfinance na Bambalaga) 3.Aliko Vintage (ana zile Imagi wine na Dompo , kiwanda chake) 4.Tumaini Mtei ( Ana infinity real estate) 5.Nzota Traders ( Ana Nzota Pharmacy)
Română
45
21
428
48.4K
EGF
EGF@egf_eddy·
@PolycarpMDM Walisafisha eneo sasaiv naona majani yaneshaota tena aisee
हिन्दी
0
0
1
991
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
DODOMA STADIUM. Wakuu, Hivi ujenzi wa Hili Dimba ulianza hapo Dodoma? Maana Mkandarasi alipatikana na akawa Awarded, Je ujenzi umefikia asilimia ngapi? Arusha Stadium picha zilianza toka Groundbreaking mpaka sasa Canopies, huo picha hatuoni 😁
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
49
5
232
35.6K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Pale Mbeya kuna kijana ametumia usafiri wa pikipiki kutoka Mbalizi Mbeya hadi Dar es salaam kwa kutumia saa 10 tu. Alikuwa na Boxer 150 HD yenye number usajili wa MC 473 FKT. Ametoka Mbeya saa 05:00 alfajiri na kafika Dar es salaam 15:35 jioni. Ni hatari. Credit; Manara Tv
Indonesia
69
61
999
58.5K
Africa Stadiums 🏟️
Africa Stadiums 🏟️@AfricaStadiums·
The government of Tanzania 🇹🇿 is building Samia Suluhu Hassan Stadium, a first world stadium 🏟️ project at incredible speed for AFCON 2027 that will amaze everyone!
Africa Stadiums 🏟️ tweet media
English
52
66
1.6K
96.5K