@Semkae Futa wote DC na RC.
Majukumu ya DC kama mhamasishaji wa maendeleo aachiwe Meya au M/Kiti wa Halmashauri. Mengine yanayohusu utawala yabaki kwa RAS na DED.
Rais anazo taasisi nyingine ground ambazo ndio jicho lake.
@TBoundBuses Wana masharti magumu sana wachina hapo, Nchi yetu ila wanatupangisha kwa masharti,
Ofisi za mabasi wanataka 10 tu, halafu kila BUS Route 1, so nasisi tumekosa kwa sababu Route zimejaa,
Kwa sasa wanahitaji Msafirishaji anayekwenda Congo tu
@jformagic@TBoundBuses Ile magufuli ukisema magari yote yaishie pale sasa hivi abood tu itabidi tupaki magari mengine nje kabisa, sasa hivi magari ni mengi sana
@TBoundBuses Katika eneo ambalo serikali imefeli vibaya sana ni kuwadhibiti wafanyabiashara wa mabasi. Haiwezekeni kwa akili za kistarabu tumejenga stand kubwa ya Magufuli leo tunaikimbia na kuja kujibana pembezoni mwa barabara urafiki, manzese, agentina, kagera, magomeni etc
@AppTechMon@jackprandelli Under Tanzania’s Petroleum Act, 2015, Sections 44–45 establish how petroleum rights are structured and how TPDC
•
• TPDC must generally maintain a participating interest of at least 25% in petroleum operations unless TPDC itself decides otherwise.
• .
🇹🇿Tanzania is about to finalize one of the largest energy deals in African history.
Equinor, ExxonMobil, and Shell are meeting in Dar es Salaam this week for the final round of negotiations on a $42 billion LNG project.
The hard part is already done... Commercial terms agreed and Tax framework settled.
What's left is turning the handshake into legally binding contracts.
💡Tanzania sits on massive offshore natural gas reserves that have been waiting for development for over a decade.
This project would build the infrastructure to liquefy that gas and export it globally creating one of Africa's largest LNG export hubs.
Right now the world is desperately hunting for LNG supply outside the Gulf(Qatar mainly)
Tanzania is about to enter that market with $42 billion of committed infrastructure and 3 of the most credible operators on earth behind it.
Another node on the new energy map and one that bypasses Hormuz entirely.
Kumbe Chama alienda kupeleleza Yanga😁
Seleman Mwalimu amefunguka kuhusu namna Chama alivyomkabidhi ule mpira apige penalty kwa masharti mazito……
“Kwanza namshukuru Mungu kwa kuaminiwa na kupewa jukumu la kuleta furaha msimbazi baada ya muda mrefu….,
Chama alinikabidhi mpira lakini kwa sharti moja tu (Kipa wao au mchezaji wao asiuguse ule mpira mpka nipige) na Mimi sikufanya makosa nilichofanya ni kupigilia msumali”
Akamalizia “Chama ni Mwalimu Wangu wa mpira hivyo nilitakiwa nifate maelekezo yake yooote,. Maana amekaa nao wale”.
🗣️Selemani Mwalimu
Mwambieni Hilda na wanachadomo wengine kwamba;
Ikitokea Lissu kaachiwa leo wakati kesi haijafika mwisho, basi watambue hayo ni makubaliano aliyoingia na dola baada ya kutepeta,
Na hili ni automatic anakuwa amewasaliti wanachadomo wote na sisi watu wema nchi hii tutahubiri nchi nzima tukieleza usaliti wake!
🚨Seleman Mwalimu amefunguka kuhusu namna Chama alivyomkabidhi ule mpira apige penalty kwa masharti mazito……
“Kwanza namshukuru Mungu kwa kuaminiwa na kupewa jukumu la kuleta furaha msimbazi baada ya muda mrefu…., Chama alinikabidhi mpira lakini kwa sharti moja tu (Kipa wao au mchezaji wao asiuguse ule mpira mpka nipige) na Mimi sikufanya makosa nilichofanya ni kupigilia msumali”
Akamalizia “Chama ni Mwalimu Wangu wa mpira hivyo nilitakiwa nifate maelekezo yake yooote,. Maana amekaa nao wale”.
🗣️Selemani Mwalimu
Football Kenya must move with speed to solve their wrangles before it starts giving signs of jeopardizing AFCON 2027 plans.
Both Hussein and Mariga were recently gazetted in the AFCON 2027 LOC alongside all NEC members. If the federation has two sides how are they going to work to deliver AFCON? There must be goodwill from the host federation for any tournament to proceed.
Remember AFCON 2027 is a project of the country’s top G and if he feels these wrangles are painting a bad picture of Kenya then a painful call to one of the sides will have to be made.
FIFA expects submission from the NEC members by May 1 then it will give a way forward.
@TakuChinakidzwa@EricNjiiru It's not about saying bro🤣🤣it's about the stadium that will attain the category 4 requirements which is the requirements of CAF,so far Tanzania will have Mkapa in Dar salaam then Samia Suluhu in Arusha those are two cities if that is what you want me to say🤣
@Malyekete@KLusekelo@MarekaMalili Mbona sefu alikuwa ni mdogo wake wa mwisho , kulikuwa na joseph alifariki kama sikosei 1995 anakuja Pera then sefu , kwao makete.
Duka lao la kwanza lilikuwa mlangoni mwa soko la kyela akiwa anatazamana na pataya guest house ,
Bongo ndio nchi nyepesi sana kuanza upya maisha.
Ukitoka Dar, ukaenda Wilaya mojawapo ya Morogoro, unaenda kuanza maisha upya bila mtu kukujua na matendo yako umewahi kufanya 😆
@Malyekete@elibarick658@MarekaMalili 2005 Matema beach ilishakoma ku-operate kwenye njia ya dsm-kyela weka record zako sawa na sikumbuki lini washawahi kuwa na route ya dsm-tdm ukitoa dsm-lilongwe ambayo wali-operate kwa muda mfupi.
@KLusekelo@Malyekete@MarekaMalili Pera mwaka 2003 alikuwa ashaachana na mabasi ,baada ya kupata kipindi kigumu mwaka 2001, ikabidi awatoe watoto wake waliokuwa lukenya academy machakos wakiwemo watoto wa kakake kuwarudisha bongo, huyu anakwambia 2005 ni wazi hajui hata chanzo Cha Pera kwenda mwanza
@Malyekete@KLusekelo@MarekaMalili Kwani unajua sefu ni nani kwa Pera , ingekuwa ni issue ya madeni basi hata zile nyumba zake za dar na kyela zingefirisiwa ,Pela alikuwa anajulikana kote , Tena baada ya kwenda mwanza ndo alipata pesa zaid ya mabasi , sio Kila biashara inahusiana na siasa , Pela hakukimbia deni
@Malyekete@KLusekelo@MarekaMalili Kwahiyo alivyohamia kitumbini na kuanza biashara nyingine alikimbia madeni.
Issue ni kuwa kubadilisha mazingira sawa, ila hata wewe hauko informed mabasibyalikufa kabla hata ya 2005 baada ya mdogo wake kufa
@Malyekete@KLusekelo@MarekaMalili Mbona Pera alikuwa anajulikana kabisa ,kilichofanyika ni kubadilisha jina la biashara tu, ila ofisi yake ya mnazi mmoja mbona ikiendelea kuwa wazi na mpaka leo mbona bado yuko mnazi mmoja.
Pera kuacha mabasi haikuwa madeni ndugu ila aliona biashara ya mabasi haimlipi tena
@KLusekelo@elibarick658@MarekaMalili Hoja kubwa siyo ruti ya mabasi au nini bali ni Charles Peera kuhamia Mwanza kutokea Dar kusha kujiita Sefu Jome na kisha kufanya biashara bila kutambulika. Hilo ndiyo ungenibishia
@Malyekete@MarekaMalili Pera hakufirisika sababu ya madeni bali mdogo wake aliyekuwa kichwa alisepa, Pera hesabu hakuwa vizuri na mke wake hakuwa anajua hata kuandika ,tuulize tuliyeeishi nae kyela wakati anaanza biashara ya chumvi na sukari Malawi. Baada ya charle kufariki ndo akaanza yumba
@MarekaMalili Charles Peera mmiliki wa Matema Beach hadi 2005, alikimbia madeni ya mafuta na matengenezo ya magari. Akahamia Mwanza Nyerere Road akijiita Sefu Jome na akawa wholesaler wa sukari, mafuta na bidhaa zingine za majumbani.