Ibrāhīm

1.2K posts

Ibrāhīm banner
Ibrāhīm

Ibrāhīm

@Jr3Urassa

Katılım Ekim 2020
3 Takip Edilen16 Takipçiler
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Kuna habari napewa hapa japo sina uhakika mkali kumbe ni jasusi la M16.
JAGUAR. tweet media
Filipino
64
21
341
37.5K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hongera kwa kijana huyu kukataa upumbavu wa UVCCM! Hivi hawa ni wazima maana viongozi wote wa CCM ni ka walevi sijui bangi au ni wendawazimu pia humohumo? Mijitu mipumbavu wote na huyu mtoto wazazi wake waingilie kati aachane na hii satanic cult inayoitwa CCM 🚮
John Heche@HecheJohn

Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.

8
55
251
8.7K
sultan
sultan@chapanombombwi·
Watu wanatekwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanauliwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanabakwa na kulawitiwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanabambikiziwa kesi, jamaa hawajali wapo kimya tu. Unawezaje kusema una vyombo vya ulinzi katika nchi ya namna hii? Ndugu zangu, jukumu la kulikomboa taifa tunalo mikononi mwetu. Kama yupo hata mmoja anayedhani hawa watu kuna siku watatupa taifa bora, basi huyo mtu ni mtumwa wa ki-fikra!
sultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet media
हिन्दी
50
117
376
24.9K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@PMadeleka Ila hapo wapo Wapenzi wa Simba na Yanga na wamefurahi refa kutoka nje
Filipino
0
0
0
193
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@SuluhuSamia Sasa naona wale waliosusia kuja kuapishwa kwako inatumika nguvu kuwaleta Bado huku script ya saida kaloli kununuliwa Gari inasubiri Na huku pesa za walipa kodi zikisubiri kuwaleta Mayweather na Tyson
Filipino
0
0
0
53
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Leo, Ikulu jijini Dar es Salaam, nimempokea Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame, aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Tanzania na Rwanda si tu ndugu na majirani, bali pia ni washirika wa kimkakati wenye uhusiano unaoendelea kukua kwa kasi. Takribani asilimia 70 ya shehena ya Rwanda inapitia katika bandari za Tanzania. Biashara kati ya nchi zetu mbili imefikia shilingi bilioni 644 mwaka 2025, na uwekezaji kutoka pande zote mbili unaendelea kuchochea ajira na ukuaji wa uchumi kwa wananchi wetu. Katika mazungumzo yetu, tumekubaliana kuongeza kasi ya ushirikiano kwa kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi, kuimarisha biashara na uwekezaji, na kuwekeza zaidi katika miundombinu ya usafiri na usafirishaji, mawasiliano, pamoja na nishati ya uhakika. Aidha, tutaimarisha ushirikiano katika masuala ya ulinzi, usalama na ajenda za kikanda na kimataifa. Karibu tena Tanzania, Mheshimiwa Rais.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
207
718
2.9K
115.4K
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
In Rwanda 🇷🇼 they call rain "Imvura", What do you call rain in your native language?
Zoom Afrika tweet media
English
219
46
505
53.6K
African Hub
African Hub@AfricanHub_·
Namibia’s 🇳🇦 ICT Minister, Emma Theofelus, is just 29 years old. She became Deputy ICT Minister at only 23. The country is investing in young leadership for the future, while some places are still investing in the same old politicians.
African Hub tweet media
English
13
21
112
5.4K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@Baradhuli2 Hapa Bongo wewe simamia HAKI tu utaona hata uraia utapokwa
Indonesia
0
0
0
228
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Huyu pimbi kinachomfanya awe mropokaji ni kwasababu ya hasira za wanae kunyimwa uraia pacha... Alikua anajifanya ni mzalendo wa tz sijui nini na nini kumbe alikua akitaka kupitia hivyo wanae wapate uraia wa Tanzania huku akiendelea kua raia wa Uingereza kinyume cha sheria za Tanzania ambazo kama una apply uraia wa nchi hii lazma uukane uraia wa nchi yako. Jambo ambalo hakulikubali akadhani sababu ya ushawishi angefanikiwa lakini aligonga mwamba so hivi sasa amepata angle ya mandela pori (CHIBA) ndio anapoza machungu yake.
Indonesia
51
30
61
6.2K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@DadyJoseph6 @HildaNewton21 Wengi wao wamelamba asali wapo kwenye siasa huko ccm na wengine kwenye Teuzi ndo maana tupo hapa lkn wenye kujitambua wametengwa ni kama wapo kwenye vizuizi
Indonesia
2
0
1
11
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@HildaNewton21 Nasikitika sana kuona taifa lina watu kama hawa walio kuwa jeshini na wamestafu lakini hawatupi msaada wowote
Filipino
1
0
1
163
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kesho usipange kukosa!..
Hilda Newton tweet media
Indonesia
8
118
543
6.3K
Four
Four@24onFour·
@AnnaTibaijuka Kwa kumbukumbu zangu lissu ni mwenyekiti wa chadema ? Analiponyaje taifa ? Au taifa ni chadema ? Au ni pamoja na chandema ? Ukiinza hizi nyingi za nani aachiewe nani afanyeweje .... ilibidi magereza zote zifungwe kila mtu arudi nyumbani na CPA ifutwe.
Indonesia
9
0
1
1.3K
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Indonesia
113
587
2.2K
41K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@Kipanga1986 Hata akina Lowasa na kundi lake walichukiwa kwa vile walikwenda upinzani kumbuka alikuwa ni Waziri Mkuu,kinachoonyesha hii Govu ya Tume haipendi fikra mbadala subiri na wewe Siku usimamie HAKI ndio utajifunza kitu
Filipino
0
0
0
317
Kipanga
Kipanga@Kipanga1986·
Moja kati ya kosa kubwa sana tulilofanya kama Taifa ni kumkaribisha Tz na kumfanya ajue kiswahili Bongo zozo badala ya kufanya kazi ya kuitangaza Tz kama balozi baada ya kuvuta mpunga mrefu kageuka kuwa mjenga chuki kwa wananchi wa Tz kuichukua Nchi yao kwa kuleta sababu za kipumbavu na za kijinga, na kwa vile watanzania wengi wao ni wajinga ndio wanaweza wakadhani hili analofanya Bongo zozo ni jambo jema na lenya maana sana Tunamuuliza Bongo zozo huko kwao Ulaya watu wanaoweza kutangaza hadharani kama watazuia uchaguzi na kwenda kukinukisha siku ya uchaguzi huwa wanaachwa na sheria za Nchi hazifanyi kazi juu ya mtu huyo, Jee huko kwao mahakama zinapewa msukumo kwamba mtuhumiwa fulani aachiwe kwa sababu ya umaarufu wake, Bongo zozo anaposema sijui Tz ili irudi kwenye amani lazima Lissu arudi uraiyani anamisha nini, nani kamuambia kwamba Tz haina amani au Lissu ni nani hata akoseshe amani ya Nchi hii, Lissu ni kiongozi wa Chadema kama alivyo Ado Shaibu na ACT au Salim Mwalimu na CHAUMMA wala sio mtu special sana wa Taifa hili kwamba bila uwepo wake kunaweza kulingiza Taifa kwenye machafuko, Bongo zozo anasema tume badala ya kuponya watu imekuja kuongeza hasira kwa wananchi, Bongo zozo anaongelea wananchi wepi au anadhani jambo kama hawakupenda wanaharakati na chadema yao ndio jambo hilo halipendwi pia na wananchi wote, tume imetoa takwimu ya mambo walioyakuta kwenye uchunguzi wao, wametoa ushauri ya nini kifanyike ili kuepusha yasiweze kujitokeza tena, Bongo zozo alitaka tume ifanyeje haswa ili yeye aone imeponya wananchi, au alitaka amsikie Jaji Chande akisema kwamba watu 10million waliuwa kati ya hao watu 5million walizikwa kwenye makaburi ya halaiki Bongo zozo ni mtu hatari sana tuliowahi kumkaribisha na kumpa thamani kubwa tukidhani ni mtu sahihi kwetu Sasa Serikali kuna haja ya kuangalia watu aina ya Bongo zozo wanaingia Tz sio kuwakumbatia na kufika hata kuwapa ubalozi wa kuitangaza Tz
Kipanga tweet media
Indonesia
70
12
39
8.5K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@SuluhuSamia Umesikia Mama wa Namibia huko alichokifanya kwa Taifa lake nakukumbusha ni Taifa lake sio Taifa Gas ⛽️
Indonesia
0
0
1
100
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Leo nimeungana na wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi mkoani Njombe katika maadhimisho ya siku hii kitaifa, ambayo mwaka huu imefungamanishwa na utekelezaji wa Dira ya 2050 unaoanza Julai 1. Hii ni hatua ya kimkakati inayolenga kuelekeza nguvu kazi ya Taifa katika kujenga uchumi shindani, jumuishi na endelevu. Ninampongeza kila mfanyakazi kwani mafanikio tunayojivunia leo ni matokeo ya juhudi za pamoja katika sekta zote. Serikali yenu itaendelea kuimarisha fursa za ajira, kupanua fursa za kiuchumi, kuboresha mazingira na maslahi ya wafanyakazi, pamoja na kurasimisha sekta isiyo rasmi ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata kazi yenye staha, inayozingatia haki, usalama na ustawi. Ili kufikia malengo hayo tunahitaji dhamira ya pamoja, kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi wa hali ya juu, huku tukidumisha amani, umoja na mshikamano wa Taifa letu.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
51
91
249
12.6K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@TitoMagoti Kwa Nchi makini huyo kashafukuzwa kazi/kajiuzuru kwa hayo matamko lkn kwa vile huku kwetu ni mandezi na makofi anapigiwa
Indonesia
0
0
0
7
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Spana ambazo Serikali haram ya Idd Amin Mama inapigwa kuhusu Report ya Uwongo ya Tume ya Jaji Chande zimewavuruga sana. Juzi kati Lazaro Nyalandu alipanga kufanya Interview na media moja hivi ya Kimataifa ili azungumzie Report ya Chande, alienda studio za Media hiyo vizuri tu, kila kitu kikawa tayari kwa ajili ya kuanza Interview. Kabla hata hawajaanza kurekodi akapigiwa simu moja tu akaambiwa asiendelee na hiyo Interview yake kwasababu Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imeamua kwamba mtu pekee ambae atazungumza kuhusu Report ya Jaji Chande ni Profesa Kabudi na Watu wa Tume tu. Nduli Idd Amin mama anataka Kabudi ndo awe anazungumza kwasababu yeye ndo Muandishi wa Report hiyo, anajua matakataka yote ambavyo wameweka ndani ya Report hiyo. Basi ikabidi jamaa asitishe kila kitu na kuondoka zake mdogo mdogo yani kama jamaa aliambiwa punguza kiherehere.😂
Hilda Newton tweet media
Indonesia
41
125
892
54.9K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@MsigwaGerson Nimeandika nikafuta nikaandika tena nikafuta Ila sisi pipo
Filipino
0
0
0
20
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@chapanombombwi Na baada ya hapo UPINZANI Utachukua nchi hii tafsiri Mkeka upo active sababu Kitendo cha Kuwa Rais Mwanamke tu ndo Upinzani utachukua Nchi kwa hiyo hata baada ya Samia akaja mwingine tena wa ccm hata miaka 50 mbele atapatikana tu Rais kutoka Upinzani.
Indonesia
1
0
8
1.5K
sultan
sultan@chapanombombwi·
Huu umechanika tayari, ngoja nicash out tu!
sultan tweet media
Indonesia
90
39
447
45.5K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@YerickoNyerereT Huyo ni tofauti sana na Salum maana angekuwa ni Salum yupo ndani hata watu wa Kibaha wasingejuwa kama yupo Ukonga,ila TL Kutoka ni sababu kesi ya mchongo na ni shindikizo kutoka jumuiya za kimataifa achiwe pasipo masharti na awezi kwenda moja kwa moja Ikulu kama yule Boss wako
Indonesia
0
0
1
1K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mwambieni Hilda na wanachadomo wengine kwamba; Ikitokea Lissu kaachiwa leo wakati kesi haijafika mwisho, basi watambue hayo ni makubaliano aliyoingia na dola baada ya kutepeta, Na hili ni automatic anakuwa amewasaliti wanachadomo wote na sisi watu wema nchi hii tutahubiri nchi nzima tukieleza usaliti wake!
Indonesia
219
18
90
22.8K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wizara ya Mambo ya nje USA imezindua Passport zenye picha ya Trump. Passport hizo ni maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 250 ya Uhuru wa USA, pia zitatolewa kwa watakao “renew” passport zao Washington. Kwa watakao renew online na maeneo mengine ya USA watapata zile za kawaida
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
9
21
320
6.4K
Ibrāhīm
Ibrāhīm@Jr3Urassa·
@mwlkeberenge @BrendaRupia Samahani Nje ya Mada kidogo hivi huyu ni yule wa Tanga aliyepambana pindi flani na Mwinjuma au alishatimkaga Chadema?
Indonesia
4
0
0
353
Mwl.Keberenge wa Nyasaricho
Huyu @BrendaRupia Mkurugenzi mkuu Wa Mawasiliano ya Wa CHADEMA si mnaona hata ngeli yake inavyonyooka sana? Iko hivi huezi mlinganisha na yule kihongosi wa mbogamboga na kingereza cha garisoni wa kupuyaya 🤣.
Mwl.Keberenge wa Nyasaricho tweet media
Indonesia
13
43
335
10K