Tug
4.5K posts


Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Indonesia

@HildaNewton21 Pole sana Hilda. Lakini nilikuwa na ombi moja, kulikomboa taifa ni jambo la msingi sana, hasahasa kwenye kipindi hiki ambacho limetekwa na maharamia, lakini unaona je ukikomboa na moyo wangu, Hilda?. 😒
Filipino

APRIL 24, 2025 KUMBUKU ISIYOFUTIKA
Siku kama ya leo mwaka mmoja uliopota yani April 24, 2025
Majira ya alasiri hivi nikiwa Mahakama ya Kisutu kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu nilitekwa na maofisa wa Polisi ambao walitumwa na ZCO Mafwele hii siku ilikuwa ngumu sana kwangu.
Jamaa walinipiga na kunitesa sana hakuna rangi niliacha kuona.
Hii ndo siku ambayo nilijua kwamba maisha ya mwanadamu ni mafupi sana maana kila nikitizama mbele nilikuwa naona kifo, nilipoteza matumaini ya kuishi na ndo siku ambayo nilijua ile sala ya mwisho huwa wasali vipi.😭
Pamoja na mateso yote niliyokuwa napitia kila nikifungua kinywa changu nilikuwa nawaomba waniachie, nikamnyonyeshe mwanangu lakin hawakunihurumia licha ya kwamba maziwa yangu yalikuwa yamejaa mpaka yalikuwa yanamwagika yenyewe, kwa mtu ambae amezaa anaweza kuelewa maumivu ambayo Mzazi huwa anapata maziwa yakiwa yamejaa kwa namna ile.
Halafu badae nikaambiwa nikikubali kutoa ushirikiano wataniruhusu nijidhamini ili niende nyumbani kumnyonyesha mtoto, nikakubali nikawapa particulars zangu badae nikaletewa fomu ya kujidhamini.
Basi bhana nikajaza fomu yao, nikasaini wakataka niweke fingerprints za vidole vyote kumi, nilishtuka ila kwasababu akili yangu yote ilikuwa inawaza kumuwahi mtoto sikuona kama ni issue nikaweka fingerprint.
Jamaa wakaniambia twende counter ukachukue vitu vyako ili umuwahi mtoto wako, moyoni nikajisemea asante Mungu naenda kumuona mwanangu ile tumefika tu counter, jamaa wakanibadilikia wakawambia askari wa zamu mchukueni huyu mpeleleni shimoni, nikauliza vipi tena si nimekamilisha taratibu zote za kujidhamini jamaa walikuwa mbongo waligoma hata kuniorodhesha kwenye Log book nilichanganyikiwa sana ila ndo ivo nikatupwa shimoni huko.
Yani ni story ndefu sana, Kuna siku nitawasimulia vizuri
Lakin yote kwa yote Namshukuru sana Mungu kwa kuninusuru na kifo, nawashukuru sana Watanzania wote ambao mlinipazia sauti.
Nawashukuru Dada Happy Baega, @rose_mayemba na Mawakili wangu maana ile siku wasingefika kwa wakati leo ingekuwa tunaongea mengine pengine ingekuwa natimiza Mwaka mmoja tangu nipotezwe 😭
Wakili-;
@Advocate_Jebra
@Advocate_Kisabo
@EdvEdson
@AdvMahinyila ,
Mungu awabariki sana nyote kwa kazi kubwa ambayo mlifanya kuhakikisha nakuwa huru.🙏❤️

Indonesia

@myXhandle @MkulimaKante Ntakutafuta kesho manual huku kwenye mtandao nshachoka kupigwa
Filipino


@joharimshana MM TM LISSU LAKN JAHAZ LIKIFEL BORA NISAPOTI MKATORIK MWENZANG AINA MBAY
HT

Nimetoa kwa ndugu yangu;
Kwa busara na hekima ya kawaida, sisi WAKATOLIKI pamoja na kuwa na viongozi wazuri, mahiri, walioandaliwa vema na KATIBA ya Jamhuri haitukatazi, nafasi ya urais kama tutafanya uchaguzi kweli au huu wa kubumba, tuwaachie WATANZANIA wengine. Tunaelekea kuchokwa.
Mmenielewa?
Vijana wake wakali humu, wamechachamaa, ni kama wairan hawataki kuachiaa vitaa 😂

Indonesia


Hivi rushwa ya ngono kwa wanaume kwa nini haisemwi sana?
Je, wanaume huogopa kuzungumza au jamii haipo tayari kusikiliza?
Toa maoni yako hapa chini
#DADAZ @mwanneothmankamby @zahrasalehe_

Filipino

Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulenga ametangaza zawadi ya shilingi milioni 10 kwa Wanafunzi Wahandisi wanaosoma Vyuo vikuu watakaoandika andiko la kibunifu lenye kutatua changamoto na kuleta suluhu katika Wizara ya Ujenzi ikiwemo suluhu ya changamoto ya foleni katika Jiji la Dar es salaam.
Ulenga ameyasema hayo hii leo Februari 23, 2026 wakati akizungumza na Vijana Wahandisi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam Uhandisi na Teknolojia (COET) ambapo amesema Washindi hao mbali na kiasi hicho cha fedha watapata nafasi ya kusajiliwa Kampuni ambazo zitaenda kutatua changamoto hizo.
“leo nitaweka challenge kwenu Wahandisi kupitia Chuo Kikuu cha Dar es salaam Wanafunzi na Vyuo vingine natoa hapa donge nono kwa watakaoandika vizuri wakaleta suluhu ya mambo mambo yalivyo uweze kuwa ni chemchem ya fikra chanya ya kutatua changamoto zilizopo Nchini kwetu na ninataka niseme moja kwa moja kwamba kwa muda wote nitakaokuwa Waziri wa Ujenzi Vijana watakaoandika suluhu ya changamoto zinazotukabili tutatoa milioni 10” - Waziri Ulega
#MillardAyoUPDATES

Indonesia
























