Sabitlenmiş Tweet
DUKA BANDO 🛜
4.4K posts

DUKA BANDO 🛜
@myXhandle
Extensionist/ Beekeeper/short and humble dude
under the Earth Katılım Ekim 2020
407 Takip Edilen511 Takipçiler

@Tinahcristiaan Kuna hii huduma ya SME
NAKUTENGENEZEA malipo baada ya huduma hutumi chochote kabla hujaridhika
0768357341

Filipino

@capitanpapilon Huduma ya halali hii
Wapigie voda watakwambia ipo harafu nicheki nikuunge
0768357341

Indonesia

DUKA BANDO 🛜 retweetledi


DUKA BANDO 🛜 retweetledi

Asanteni sana @VodacomTanzania kwa sasa naserereka tu nimeshasahau kabisa kuhusu kuunga bundle.
Hii ni ofa kubwa sana kuwahi kutokea toka nianze kutumia mtandao wenu hapo 2012

Filipino

Kuna watu hawana roho za huruma kabisa
Kuna jamaa walikuja mtaan kwa mwanangu na kujifanya kua wana app wanakuwekea unakua unatumia internet bure, sasa wakamuonesha mshikaji na wakamwambia ili kumuwekea wanatakiwa awe na laini ya mtandao flan na jamaa alikua nayo , jamaa akawapa simu wakajifanya wanaweka baada ya kama dakika 20 wakasema kwake imekataa afu wakaondoka
Jamaa baada ya wiki kuna mteja alimtumia pesa mil 20 kwenye acc yake ya bank kwa afu mshikaji akashangaa zinaanza kuingia message za uthibitisho kua ametuma 2.5M kwa namba flan, izikaimgia messag kama hizo 8 zinazoonesha pesa imetumwa kwa namba 8 tofauti
Jamaa kujaribu kuingia kwenye app yake ya bank ya simu app ikawa inafunguka kama nfo anatakiwa kuji register kea mara ya kwanza. Jamaa alihisi kama kuchanganyikiwa
Kumbe wahuni washafanya ya kwao kwenye simu yake
Wanangu tuwe makini sana aiseee matapeli wengi sana kwa sasa
Indonesia
DUKA BANDO 🛜 retweetledi

Kila mtu anao uwezo wa kukupenda wakati mambo yako yako vizuri lakini siku yanapoenda kombo ndipo maji na mafuta hujitenga.
Na kwenye hili kwa vijana waoaji muombe sana Mungu akupatie mke ambae anaouwezo wa kuteseka na wewe hasa utakapopitia nyakati ngumu.
Huyo ur future wife vipi unamuona siku ukipata changamoto ya figo au kufirisika akiendelea kuwa na wewe.
Jitahidi sana kuusoma mchezo kabla mechi haijachanganya.
Nyakati ngumu ndio kipimo sahihi cha upendo📌
Indonesia

@myXhandle @MkulimaKante Ntakutafuta kesho manual huku kwenye mtandao nshachoka kupigwa
Filipino























