K A G A@iamKaga
Kuna wale watu hata ikitokea kampuni wanapofanya kazi wanahitaji kupunguza wafanyakazi kutokana na hali ya uchumi, they are usually the last person in line kuachishwa kazi.
Na hata ikitokea wanaachishwa kazi, huwa haiwachukui hata mwezi 1 kupata kazi nyingine tena inayolipa vizuri zaidi wakati wengine wanaweza kukaa benchi hata mwaka 1.
The level of competence na uwezo ya hawa watu kwenye sekta waliobobea inafanya the level of difficulty kuwapata na kuwa replace kuwa ngumu sana.
Pamoja na ukweli kwamba kila mtu is replaceable, ila ni muhimu utafute namna, watu wapate ugumu kuku replace, by being a valuable, exceptional and a competent human being.
Hii inahitaji ufanye years of training.
Na ukianza kufanya mazoezi,
Hautakiwi kuwa na haraka kupanda kwenye majukwaa na kuanza kuhubiri vitu usivyo na uhakika navyo, kwasababu watu watakupa nafasi, na watakuskiliza na wataenda kujaribu ulichowaelekeza.
Na endapo watakosa matokeo mazuri kutokana na maelekezo yako, you will never be trusted again.
You don't have to learn everything, but you have to find one area in your life hata ukiwa usingizini, you will still be one of the most valuable and competent brains out there.