blazahimself
291 posts

blazahimself
@iamgratius
son🕵 Recruiter HR manager&community officer keep Resting Easy Dady😑
mboka Katılım Nisan 2021
964 Takip Edilen671 Takipçiler

Jumamosi mwendokasi Gerezani kiliwaka sana wananchi walizuia magari yasitoke, unaambiwa polisi walitisha watu wafute video ila watu waliochoka hawakufuta wametoa ujinga wao. #MsiogopeTumeshinda
Indonesia

@mariam255_ @kichefuchefuu Who are you unasema tumsamehe walioba, sio tukusamehe ww kwanza sababu hujui ulitendalo
Indonesia

KWA NINI WARIOBA AMEWAKA!?
Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Chadema wanataka maridhiano, na wanaamini mtu pekee anayeweza kumsukuma Rais Samia awasikilize ni Jaji WARIOBA
Mtakumbuka, hata wakati Chadema walipokataa kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi, baadae walimtuma huyu Mzee akawaombee kwa Rais Ili washiriki Uchaguzi, lakini walikataliwa.
Sasa, Chadema wanaona mambo ni magumu, wanatamani wazungumze na Rais, na ndio wakamtuma Mzee Warioba Ili akawaombee kwa Rais, wafungue meza ya mazungumzo, lakini wameenda na Masharti, baada ya kusikiliza, Rais amekataa masharti yao.
Kitendo Cha Rais kukataa masharti waliyopeleka Chadema, Warioba anaona hajatendewa haki, na amesikika akisema "huyu mtoto mzanzibari anakataa kusikiliza wazee" kwa hiyo aliporudisha mrejesho kwa Chadema ndio wakamwambia atoke hadharani azungunze aliyoyazungumza.
Ni hasira tu na chuki msameheni huyu Mzee

Indonesia

@Princess_mcute @Aduiwayanga @DartonIrene @dsm_wa @_zack255 @Cutyhusnah @Daktariwayanga @GoodluckSymon UE hawawez simama from nowhere na kuongea maswala ya kisiasa na ishu za ushoga kwa Tz bila bond yoyote kinachomaanishwa hapo either ni contract or agreement directly zinataka Tz kufuata izo mambo za watu wa LGBTIQ+ , it all about secret
#wakeupafrica
Indonesia

Ulaya ina historia ya kututawala, kutupangia, na kutudhibiti. Sasa wanashindwa kuachia kabisa. Badala ya kuheshimu uhuru wetu wa kikatiba na kisheria, wanataka kutumia maazimio ya kisiasa kama fimbo ya kutulazimisha kufuata matakwa yao.
Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha masuala yake bila kupewa maelekezo ya nje.

Indonesia

@Mrsdaviee Hiyo mambo imekaa kimchongo sana mabeberu kuwen makin😂😂🙌
Filipino

@Mkunga_Og Class ya 7 ndy ya mwisho kinamba lkn ndy itakuwa ya kwanza kujaa
Indonesia


















