Pro° retweetledi
Pro°
2.1K posts

Pro°
@innophlly
Digital Strategist | Digital Brand | SEO Writter ✍🏾
Worldwide Katılım Mayıs 2019
167 Takip Edilen342 Takipçiler

Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya Ziwa—mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Tabora na Simiyu. Cha kushangaza zaidi, mkoa mmoja wa Dodoma una Mawaziri wanne.
Hii ni dhihirisho la wazi la kutengwa kwa Wasukuma na wakazi wa Kanda ya Ziwa katika uamuzi wa masuala nyeti ya Taifa, licha ya kanda hii kuwa kubwa kwa idadi ya watu, eneo na mchango wake wa kiuchumi.
Nahene —ndoho tabu!
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 07 Januari, 2026.
Indonesia

Airtel tumenyoosha Boxing day!!
Tumefanikiwa kukabidhi Bajaji 1 na TV 6 kwa washindi 7 kupitia kampeni yetu ya Airtel sikukuu imenyooka na santa mizawadi!
#MyAirtelApp #AirtelMoney




Indonesia

@airtel_tanzania Mnahuduma mbovu sana yan kbs kwa 70k per month kwel??
Indonesia

@IoTDevMelvin Thank you Melvin. We are glad to serve you. Keep enjoying our service!! ^Lulu.
English

Hii kitu ya @AIRTEL_KE inastream Nextflix na Youtube huku Ocha bana. Even uploading a YouTube video with it. No difference na Fiber ya Saf back in the City.

English

@KennedyMmari Mmnakosea kufananisha Tz na Us maana Us kuna issue za property tax na insurance hizo issue bongo hazipo
Filipino

Jengo lenye appartment 57 limeuzwa kwa dola milioni 2.65 huko Oakland, Carlifonia, Marekani.
Hii ni bei sawa na wakati mwingine ndogo kuliko baadhi ya nyumba zinazouzwa Goba au kiwanja kinachouzwa Masaki.
Tyler | Kenji Capital@KenjiCapital
This 57-unit property we just bought was originally listed at $4,240,000. Then it was dropped to $3,180,000. We bought it for $2,650,000. 📍Oakland
Indonesia

@Richstartz Still ananafasi ya kujifunza na kukua zaidi he is still young and he will be better hata mbuyu ulianza kama mchicha
Indonesia

@mafolebaraka Meta wanazingua wamenilamba block 🚫 siwez fanya ads sasa mwaka wa pili natumia account za watu ukiwatafuta huwapati yan ni kasheshe
Indonesia

Uganda naona wamewakalisha Google mahakamani na Nigeria waliwakalisha Meta mahakamani.
Tunakoelekea nchi nyingi za kiafrika zitaanza kupata confidence ya kuruka na hizi bigtech na wakatoboa and hiyo itakuwa changamoto sana especially kwa activists ambao ndio target kubwa ya serikali za Africa
Filipino

I’ve compiled 9 exclusive guides to help you build and scale your AI income:
📘 $15K MRR with 10K Followers
📘 AI Influencer Monetization
📘 UGC & VEO3 Ads Guides
📘 Info Product A–Z Guide
📘 $5 Offers Playbook
📘 Leverage AI for Digital Products
📘 Betting Community with AI
...and more!
Normally worth $299, but I’m giving it away 100% FREE for the next 48 hours.
To get access:
1️⃣ Follow me (so I can DM you)
2️⃣ Like & Repost this post
3️⃣ Comment “SEND”
💥 Free for the first 5000 people only!

English

𝗣𝗮𝗶𝗱 𝗖𝗼𝘂𝗿𝘀𝗲 𝗙𝗥𝗘𝗘 (PART - 2)
1. Artificial Intelligence + Data Analyst
2. Machine Learning + Data Science
3. Cloud Computing + Web Development
4. Ethical Hacking + Hacking
5. Data Analytics + DSA
6. AWS Certified + IBM COURSE
7. Data Science + Deep Learning
8. BIG DATA + SQL COMPLETE COURSE
9. Python + OTHERS
10 MBA + HANDWRITTEN NOTES
(72 Hours only ) Cost About - $500
To get: -
1. Follow (So I can DM you )
2. Like & retweet
3. Reply " Send "

English













