Richstar

8.1K posts

Richstar banner
Richstar

Richstar

@Richstartz

Content Creator / Educator / Entrepreneur / Producer Tanzanian | Dar es salaam 📧 [email protected]

Dar es Salaam Katılım Eylül 2013
266 Takip Edilen8.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Richstar
Richstar@Richstartz·
Kuanzia Mwaka jana Dec hadi mwezi wa nne mwaka huu nilikuwa busy sana ku design jukwaa ambalo itakuwa rahisi wanaopenda kujifunza kupata Premium content kwa urahisi. Mpaka sasa imefika stage ambayo lengo linaelekewa ipo kupitia richacademy.org. Maoni yako yanakaribishwa.
Richstar tweet media
Indonesia
29
54
201
36.3K
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Sasa Baraka unatuma mails kila siku si unalipwa watu kwa CLICKS?? Ko tuseme na wewe deep down unapata pesa kwa watu kuCLICK ads kwa emails unawatumia kuliko GIGS za UPWORK na GURU?? Hakuna kosa lolote kuwa AFFILIATE. Na actually betting affiliate ni ngumu kuliko affiliates zingine maana they Deduct pesa (Wins-Loses) Em acheni kila mtu afanye kinachompa PESA as long as ni LEGAL hajavunja sheria. Me ndomana siwezi umia mtu auze kozi, affiliate link ama nini Sio rahisi ndomana kwenye Tz ya watu 60m influencers halisi hawafiki hata 1,000. Ingekua simple kila mtu angefanya.🫵🏾
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Filipino
26
23
150
17K
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
I have been in the space kwa muda ila hata mimi zamani ungeniambia kuna mbongo kijana anamake zaidi ya $100k ningekataa Uzuri sahizi kila kitu kipo open kwa Internet unaona Tofauti ni kuwa wengi hawaezi SEMA. Maana jamii yenye maskini wengi mtu kuonesha umetoboa ni UHAINI.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Indonesia
26
18
207
12.4K
Rugilandavyi Barabona
Rugilandavyi Barabona@rugilandavyi·
@99Zaburi How? Isn’t publicity good especially if you earn through social media. That’s more subs, engagement and views.
English
2
0
1
4.1K
Backbencher@255
Backbencher@255@back_bencher255·
Wataalam Natafuta mtu wa kunifundisha course ya AI ili niweze master Graphics design kwa kutumia AI Cc: @rahisitech @NjiwaFLow
Indonesia
3
1
1
224
Richstar
Richstar@Richstartz·
Sasa kupitia AI as a Creator naweza kufikiria na kuyaweka mawazo yangu kwenye uhalisia. 100% Ni AI Image Generator: Nano Banana Pro Video Generator: VEO 3 & Kling AI Soundtrack: Freepik Voice Over: Elevenlab Editing: Premiere Pro SoundFx: Elevenlab
Indonesia
0
1
4
503
Pro°
Pro°@innophlly·
@Richstartz Still ananafasi ya kujifunza na kukua zaidi he is still young and he will be better hata mbuyu ulianza kama mchicha
Indonesia
1
0
0
26
Richstar
Richstar@Richstartz·
UCHIZI VUNGA
Italiano
0
1
14
674
Richstar
Richstar@Richstartz·
@TitoMagoti Matatizo yanayowakabili vijana Wanaitwa wazee kuyajadili. 😃😃.
हिन्दी
6
6
54
3K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Muuwaji amepewa script. Kwamba leo ahutubie kutoka kichwani. Kwamba awatazame watu machoni. Kwamba aombe radhi kwa yaliyotokea. Kwamba aombe mazungumzo na waathirika. Kwamba aahidi mabadiliko makubwa. Huo👆🏻ujinga utarejesha uhai wa maelfu ya watu waliouwawa ili awe Rais?
Indonesia
40
236
1.3K
43.8K
Joshua Msuya
Joshua Msuya@joshuamsuyatz·
@Richstartz 100%. Mfano mimi nagenareate content kutumia ai kwasbb najua frameworks najua saikoloji ya wateja najua wateja wanatala nini, Mtu ambae hana hizo taarifa lazima atengeneze generic content. Ni akili ya njee kiufupi.
Indonesia
1
0
2
87