joemakker

12.5K posts

joemakker

joemakker

@joemakker

mr disminder

Katılım Temmuz 2022
55 Takip Edilen89 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
joemakker
joemakker@joemakker·
Huwezi kuwa bora katika kila kitu,unahitaji kuchagua MAENEO yako MACHACHE ambayo utakuwa BORA.
Indonesia
0
0
7
0
I AM
I AM@francismtey·
@hilarymbowe_ @captain_320nm haha usiatack mtu, Hoja Imeletwa mezani. Tu deal na hoja. Tuelezee na sisi Nyoka aliwezaje Kuongea. Au kuna nyoka huwa wanaongea? Please,,,
Suomi
2
0
0
59
I AM
I AM@francismtey·
NYOKA aliingia Ndani ya Bustani inayosemekana ilikuwa inatwa EDEN... Kilichotokea...Nyoka AKAZUNGUMZA na Hawa/Eva... Sasa Swali ni Je? 1. Nyoka Aliwezaje Kuzungumza... Kama unamini NYOKA alizungumza Nieleze kwa Upole aliwezaje, Ikiwezekana Unipe na Reference nipitie... Nielewe Unachoelewa wewe/Unachomini .... FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
27
4
51
6.7K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Meja General Isamhuyo ndio Uwanja pekee wenye hadhi ya kuchezewa mchezo wa Kariakoo Derby baada ya Benjamini Mkapa Bahati mbaya sana wote wanao ukataa Uwanja wa Meja Isamhuyo hawajafanya utafiti wa hali ya Viwanja Nchini Tanzania Acha nikuambie kwanini Meja Isamhuyo ni chaguo sahihi Azam Complex inaingiza mashabiki Elfu 4 tu, Tofauti ya Mashabiki Elfu 6 na Meja Isamhuyo, Hivyo tungepeleka mechi Azam Complex tungewaminya fursa mashabiki wengi, mfano Mechi ya Azam na Simba mashabiki wengi walibaki nje licha kununua Tiketi wakaambiwa Uwanja umejaa Amaan Zanzibar inaingiza Mashabiki Elfu 14, tofauti ya yake na Isamhuyo ni Mashabiki wa Elfu 4 tuu hiyo ni tofauti ndogo sana Unaweza kuitaja Kirumba Mwanza, au Sheikh Amri Abeid Arusha, Sokoine Mbeya vyote hivyo vinaingiza mashabiki chini ya Elfu 13 bado tuko pale pale kwenye idadi ndogo ya watazamaji Kama Hitoshi kutokana na hali ya hewa hivi sasa, Viwanja hivyo havitabiriki sasa kwanini tuiweke Derby rehani?? Ukweli mwingine ambao hauzungumzwi ni kwamba Meja Isamhuyo ndio kiwanja cha pili Tanzania kuwa na Pitch nzuri ya Nyasi Asilia baada ya Benjamini Mkapa Kwa hoja hiyo kwanini mechi namba moja ya Nchi isipigwe kwenye kiwanja cha pili kwa hadhi katika Taifa letu? Karibuni sana Meja Isamuhyo naaamini mtafurahi mkifika!!
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
12
6
66
4.7K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
Indonesia
14
18
109
2.9K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Iko hivi……. Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish. Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!! Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable. The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!! HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!! LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE! Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!! No matter how tough the situation is! Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari! So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Indonesia
41
279
1.6K
44.2K
joemakker
joemakker@joemakker·
@RevocatusMagum1 nlitegemea kwa ujinga unaopost ungekuw maaruf lkn naon post zko nispo comment mimi bas hazizid commnt 5 hta kufika
Indonesia
1
0
0
56
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
PUBLICITY is PUBLICITY...Yanga wamempa umaarufu huyu mzee kiutani utani tu... Sasa hivi kila Mtu anataka kupiga picha na Mzee wa Jambia na hata kama alishawahi kupiga nae picha anaipost... Publicity is Publicity...Diamond Platnumz yupo pale juu sio kwa sababu ya kazi zake nzuri pekee, Skendo pia ziliwalazimisha Watanzania kumzingatia Mandoga alikua maarufu sio kwasababu anajua kupiga...ni kwasababu alikua anapigwa, Yaani aliempiga hakupata umaarufu badala yake aliepigwa ndio kawa maarufu! Kuna watu wanakuwa maarufu na maisha yanabadilika baada ya kukosea kutamka neno fulani nk ndio maana Cow way ilibadilika na kuitwa KAWE! Haji Manara aliwahi kuanzisha kampeni ya kumharibia Jemedari Said kwa Majizzo kisa anaisema vibaya Yanga...Unajua kwanini Majizzo hakumfukuza Jemedari Said licha ya kelele zooote zile? Publicity Yanga inafuatiliwa na watu wengi...Kitendo cha Afisa Habari na Influencers wao wote kumshambulia Oruma ni kumpa Umaarufu! Simba waliwahi kuanzisha kampeni ya ku- unfollow Instagram ya Haji Manara...Ilikuwaje? Binafsi sitegemei kuona Majizzo akimfuta Kazi Oruma kisa wana Yanga wanasema...kwanini? PUBLICITY.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
3
2
37
2.9K
Daniel
Daniel@DanielDMashamb1·
@SportsarenatzTz Amechomesha mechi nyingi mno, hana lolote la kuwazidi mligo na kibabage
Filipino
1
0
3
777
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
💬 “Hakukuwa na sababu za msingi sana kwa Simba kuachana na Tshabalala. Nadhani walikuwa wamemchoka tu. Simba na Yanga huwa hazishindwi kuwabakiza wachezaji wake muhimu wanaowahitaji. Labda zitokee timu kutoka nje na kutoa madau makubwa kama ilivyowahi kutokea kwa kina Chama, Mayele, Kisinda, Jose Luis Miquissone na wengineo. Humu ndani kwa ndani huwa hawashindwi jambo lao.“ — Legend, Edo Kumwembe
SportsArenaTz tweet media
Filipino
12
10
514
26.7K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Kassali Leo akitoka na clean sheets anamfikia diara zinakuwa kumi na mchezo mmoja mkononi✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
36
6
182
6K
joemakker
joemakker@joemakker·
@sisuyasuke @kishoka_ hakuna mahali wamesema hvo ila alikuw highlighted kam mshirika wa mambo hayo kwa siri
Indonesia
0
0
0
32
ZEDD-Enigma
ZEDD-Enigma@sisuyasuke·
@kishoka_ Hivi unajua kwamba mke wake na Lutu ndo alikua anachochea ule upuuzi ufanyike?
Indonesia
4
0
4
2.2K
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Hadithi ya Sodoma na Gomora inafurahisha mno. Imagine Lutu alitembelewa na malaika wawili, wanaume wote wa mji huo wakajaa mlangoni kwa Lutu wakitaka kuwabaka wale malaika, Lutu alijaribu kuwaambia atawapa binti zake ambao bado ni bikra lakini wakakataa. Majamaa halali yachomwe😂
Indonesia
40
58
489
29.5K
Osho Makaveli
Osho Makaveli@Manyama255·
@kishoka_ @waziri3wa_wapwa nimeelewa point yako bro,me naonesha upande mwingine wa tafsiri,kwa mwingine kama mimi Lutu nae hana tofauti na watu wa sodoma kutaka kuwatoa binti zake wakatumike ki ngono, sisi tunaona poa sababu ni wanaume ila sio sawa kabisaa hiyo story jau
Filipino
2
0
9
720
joemakker
joemakker@joemakker·
@mzaramo_ @RevocatusMagum1 ko ww unajua sheria ya mpir kugusa mikono au kugusa viganja?? muwe mnasoma sheria si zipo mintandon humu
Indonesia
0
0
0
27
Mzaramo🫶
Mzaramo🫶@mzaramo_·
@RevocatusMagum1 kilichonikera ni kuona refa kaona penalt ila hajaona mikono ipo nyuma.. labda alitaka mikono ikatwe..
Filipino
3
0
2
618
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Sijui marefa wetu hawajui sheria za mpira au wanasheria zao!?🚮🚮🚮
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
10
6
162
9.6K
joemakker
joemakker@joemakker·
@Mndewa11 @RevocatusMagum1 huend yey anahs kinachohesabika kushika ni viganja tu🤣🤣🤣🤣 yani utanue hzo arms km mabawa ukatae tuta kisa viganja viko nyuma....
Indonesia
0
0
0
30
Mndewa11
Mndewa11@Mndewa11·
@RevocatusMagum1 Kuna kuficha mikono na kuiweka mikono nyuma Kama aliweka mikono nyuma ila akajiextend kupitia eneo la kiwiko basi uliushika
Indonesia
3
0
2
687
joemakker
joemakker@joemakker·
@baraka_asege tz mwanahabri akijua timu timu na kuonesha anafatilia mpira nae atajiita mchambuzi wa mpira
Indonesia
0
0
0
11
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Tukisema Tanzania mchambuzi wa Soka ni JOJI AMBANGILE na George Job tu muwe mnaelewa. Proffesional analyst huwezi ukawa unaendeshwa na hisia hata siku moja
Mr.Mbeya tweet mediaMr.Mbeya tweet media
Indonesia
16
8
183
8.3K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Nyie endeleeni tu kumfanisha na huyo mbumbumbu wenu ambaye anakutana na mechi za mihamara huku mwenzenu anaforce kwenye visiki huku🔥🔥🫵
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
13
3
50
1.5K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya VYUO VIKUU… ni chanzo cha Kuporomoka kwa maadili kwenye Jamii… Ni vile tu we are not Ready for this Conversation! 70% ya watu wanaanza Kunywa Pombe na Kuvuta shisha hapa… 90% wanaanza kuchora Tattoo hapa… 80% Prostitution inaanzia hapa- Binti katoka kwenye familia maskini… inabidi Ajiuze ili aendane na standard… madem wa UDOM kila weekend wapo Dar- SGR ya jumamosi inajaa juma tatu😂 BIKRA itavuka kooteee ila sio CHUO💔
Filipino
87
118
736
31.9K
joemakker
joemakker@joemakker·
@back_bencher255 @RevocatusMagum1 wewe ulipochukua ubngwa mar 4 ulifika robo na nin zaid? mana ktk kumbukumb kuna ¼ ,kuna final cafcc au ww izo mar 4 umehesabu aje
Indonesia
0
0
0
8
Backbencher@255
Backbencher@255@back_bencher255·
@RevocatusMagum1 Suala la Utopolo kununua mechi mbona liko wazi tu. Jiulize kwa nini kachukua ubingwa miaka 4 ila huko kimataifa anaishia tu makundi
Indonesia
1
0
0
177
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Haya ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma “Nina ushahidi mwingi kwenye mechi za Yanga lakini naamua kunyamanza kimya na kwa namna hii tunayoenda nayo Mamlaka zisipokua makini mpira wetu unaenda kuangamizwa moja kwa moja” 🗣️ Wilson Oruma Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuongea kitu kama hicho? Je? inawezekana ni kweli Yanga wananunua mechi hawezi kuongea tu bure✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
39
8
178
19.9K
joemakker
joemakker@joemakker·
@RevocatusMagum1 goli 6 hh alizpfungw prison alishawah kula hz hz jkt pale chamazi .....anyways weken evidences sio hisia na malalmiko mana hata kule kwenu mlikuw hamsat
Polski
0
0
0
53
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Hatimaye wanaanga wa Artemis II wamerudi salama duniani. Chombo chao kiliingia anga la dunia kwa speed ambayo ni mara 32 zaidi ya speed ya sauti. Msuguano wa hewa ukakifanya kiwe na joto la zaidi ya 2000°C kwa nje. Pia kuna wakati walipoteza mawasiliano. Wametua bahari ya Pacific
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
42
60
1.2K
33.5K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Mnasema mmetupa bure mchezaji?? Mbona hamsemi kuwa Mchezaji alishavunja Mkataba na nyie muda mrefu kwa kushindwa kumlipa stahiki zake? Mbona hamuelezi kuwa Mchezaji alishawashtaki TFF akiwataka mumpe barua ya kuondoka klabuni kwenu?? Mmetupaje bure mchezaji👇
MeaMswahili tweet media
Indonesia
9
6
238
14.9K
Mr
Mr@abbasX_·
@FKihamu Mmeanza kuplay race card😃.....hakuna penati pale Labda kama mnataka aukate ule mkono
Eesti
3
0
8
1K
joemakker
joemakker@joemakker·
@DismasDc01 @FKihamu hvi sheria ya ball to hand na hand to ball bado inatumika eenh!? nshashuhudia zaid ya mar moja matuta ynawekwa mtu akiwa anafnya sliding tackles
Indonesia
0
0
0
21
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
@FKihamu Sheria za mpira kaka hamna penalt pale Yule mchezaji wa misri alikuwa teyar anaenda chini na asingewesa kwenda chini bila mkono wake kuwa chini mkuu
Indonesia
6
1
20
1K