Joshua

3.7K posts

Joshua banner
Joshua

Joshua

@josure22

Katılım Mart 2011
227 Takip Edilen223 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Joshua
Joshua@josure22·
@grok @EsirEid @grok kuna mtu ameandika haya majibu na wewe bila kutumia akili umeenda kukopi hivyohiyvo, we grok una akili kweli wewe ? jifunze kuoa majibu yako na sio kuigiliza watu.
Indonesia
0
0
1
78
Joshua
Joshua@josure22·
@LukonaJNR Nyumba za hovyo. Hata isipovuja kwenye bati, itakugharimu kupiga rangi ukutu mara kwa mara kutokana na kunyeshewa na mvua. Pia, maji kuingia ukiacha dirisha wazi wakati wa mvua
Indonesia
0
0
0
8
Joshua
Joshua@josure22·
@MkulimaKante mm nimesoma Bachelor of Tower construction, ulichosema ni kweli kabisa
Filipino
1
0
1
73
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kuna utajiri mwingi sana umejificha kwenye ujenzi wa minara📌 Wakati wengine wakiwa busy na ujenzi wa apartments wewe focus na kujenga minara tu
Kante tweet media
Indonesia
24
6
213
18.8K
Joshua
Joshua@josure22·
@RealkolaKE kuna jamaa hapa ako na 72 inch alipata zawadi toka kampuni flani but amesota mbaya
Filipino
0
0
1
9
SCOOBY☆⚓
SCOOBY☆⚓@RealkolaKE·
Nikiingia kwako nipate a 32 inch TV, I won't expect a lot from you. Hata nikiwalk out bila kunywa maji kutoka kwako is expected and accepted coz that is a clear indication life hasn't been easy on you.
English
615
466
4.2K
277K
mwanaseguye
mwanaseguye@stevenkatalas·
@iammpemba Na chunguza pia hao wapinzani wakichukua nchi ni huwa kinatokea baadae
Indonesia
1
0
2
595
Joshua
Joshua@josure22·
@EsirEid 🙆wanaume leo kila mtu akague pochi ya manzi yake, ukikuta tu hela feki, jua tayari tajiri ameshapita. Daaah, inauma sana, halafu ndo ukutw umemfollow na huwa unapenda vita zake, kumblock huwezi, ni maumivu makali sana.
Indonesia
0
0
0
17
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kuna huyo Dem kila Tukionana Lazima anipige search mfukoni- Nkienda Kuoga! Anapita na Laki Mara laki 2…na bado Hela yake ya matumizi Laki 5 namtumia kwenye simu! Ashanipiga hayo matukio Kama Mara tatu hivi- Tatizo Anajua saana ,Nashindwa kumuacha na naogopa kumuuliza 💔 Leo nmempangia HELA FEKI kapita nazo- ngoja kesho Afunzwe na Walimwengu awe na Adabu 😅😂
Filipino
50
23
447
22.5K
Joshua
Joshua@josure22·
@IamLyenda kwa hiyo watu wamekuja mara 1, wakarudi tena mara 2 mmeshindwa kuwarekodi/piga picha hata kwa dirishani ? ???????????? Mtu anamiliki magari ya mizigo anakosaje CCTV Cameras nyumbani ?????????
Indonesia
0
0
1
3
LYENDA
LYENDA@IamLyenda·
👇🏽👇🏽Taarifa hii amenitumia kiongozi wa Chama chetu Kata ya Mongo la Ndege, Jimbo la Ukonga Dar es Salaam. Hofu ni kubwa sana kwa Watawala kuelekea DARK WEDNESDAY (Oktoba 29). Tutashinda. Tupo na Mungu ✊🏽 #NoReformsNoElection
LYENDA tweet media
Filipino
35
209
585
15.2K
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Kivumbi Day 2. Vin Boi versus Josephine 😂😂😂
Spana & V.A.R Movement tweet mediaSpana & V.A.R Movement tweet mediaSpana & V.A.R Movement tweet mediaSpana & V.A.R Movement tweet media
Română
171
259
1.9K
2.2M
Joshua
Joshua@josure22·
@Happinesmlay hivi rangi ni sura ? Maana wengi humu mnamsema kuhusu sura yake kana kwamba leo ndio mmeiona. Kilichobadilika ni rangi ila sura ni ileile. Na nyie mabinti msiwe mnajikataa, umeumbwa black jikubali, ma filter ya nini ? Hebu ona sasa DP na picha uliyo tweet rangi tofauti kabisa
Indonesia
0
0
1
24
Joshua
Joshua@josure22·
@EsirEid 🙆 Tajir punguza sauti kidogo, ambao hatuwalipii kodi tusije kuonekana maumbwa
Indonesia
0
0
1
6
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mwakani nampango wa Kujenga Ghorofa Kinyerezi… Hii itakua Maalum Kwa ajili ya Michepuko yangu kumi na tatu Nlionao hivi sasa baada ya kupunguza saba mwaka Juzi. Maana kila manzi nmempangishia Nyumba ya Laki nne Kwa mwezi. 13@400,000/= Ni 5,200,000/= kila mwezi Kwa mwaka ni 5.2m @12 months ni TZS 62,400,000/= Yaani natumia 62.4m kila mwaka KWA ajili ya RENT tu ya manzi wangu 13. Mwakani niwaHamishie ghorofani kwangu kila mtu aishi Chumba chake… itanisaidia kuSave hela saana- nitakua najilipa kodi.
Indonesia
121
34
554
28.2K
Joshua
Joshua@josure22·
@millardayo Ila huyu mwanamke ni mkatili sana, angemkata tu pengine tungesema ni hasira tu, sasa hii kuutupa nje ni ukatili mkubwa sana
Indonesia
0
0
1
18
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni wivu wa mapenzi ambapo baada ya kufanya tukio hilo Mtuhumiwa alijisalimisha kwenye Kituo cha Polisi. Kwa mujibu wa Majirani na Mashuhuda akiwemo Mohamed Ramadhan Mwenyekiti wa Kitongoji, amesema kuwa alisikia yowe na alipofika eneo la tukio alikikuta kiungo hicho cha mwili kikiwa nje. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
91
21
328
77.5K
Joshua
Joshua@josure22·
@EsirEid Mbaya zaidi kwenye hicho kipindi kuna mwanaume
Filipino
0
0
1
8
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ila Tanzania hatupo serious kabisaa… Leo nmekaa home nacheki hapa Azam… wanachambua Tamthilia 😅😂 Yaani Movie ambayo watu walisha Act tayari… INACHAMBULIWA🙌🏽🙌🏽 Na kuna wachambuzi kabisaa wanahojiwa au mm ndio sijaelewa hapa 😂
Indonesia
96
46
808
26.3K
Joshua
Joshua@josure22·
@qwille @kasesco_tz Kuna Doctor moja wa Uchumu alituambia wakati wa ukoloni haya jamaa qa Asia walitumia mbinu hiyo ya kujisaidia hovyo hovyo ikiwa ni njia ya kuresist ukoloni.
Indonesia
0
0
0
17
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Nilizani nimeona kila kitu hapa duniani, kwahiyo hii ndo public toilet..🤔
kasesco☆ tweet media
Filipino
22
44
225
8K
Joshua
Joshua@josure22·
@mkongo_24_ @EsirEid itakuwa kuna mtu alimdanganya, hawa wamezoea kupewa pewa vitaarifa wanajifanya wanajua kila kitu. Sasa kupatwa kwa mwezi ndio inatokea kwa mara ya kwanza TZ? Hizo nyakati zingine ilipotokea ni utawala gani uliiaha ? Niliwekwa kabatini siku nyingi sana.
Indonesia
0
0
1
8
STREET_MKONGO24
STREET_MKONGO24@mkongo_24_·
@EsirEid 😂😂😂😂 hii moon eclipse hata hawakupaswa kuisemea kitu maana hiki ni kipindi cha tecnolojia ,huwezi muaminisha mtu ujinga kama.huo kizembe kizembe
Indonesia
2
0
6
964
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Huyu hapa Hana Cheo chochote… lakini anagawa BLOCK ukimchallenge kidogo tu! Anataka wote tuwe na akili za kuamini Ujinga anao uleta wote bila kuuliza Tafkiri hapa ni Facebook! Huyu akiwa na dhamana ni Dikteta hata kuzidi Mama - Amini nawajenga!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
201
51
566
35.3K
Joshua
Joshua@josure22·
@kasesco_tz Matumizi ya Net, unywaji wa maji mengi, mbogamboga na matunda + mazoezi
Indonesia
0
0
0
2
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kuna watu Wanamiili Iliyobarikiwa sana mtu haumwi Ata homa, anakaa miaka ata 10 hajachomwa Sindano na wala kwenda Hospital Siri ni nini Wanangu ??
Filipino
121
67
570
24.1K
Joshua
Joshua@josure22·
@SirPius15 @kasesco_tz sasa kichaa anaanzaje kwenda Hospitali ? Kuumwa wanaumwa sana, wapo vichaa waliopoteza maisha kwa kukosa kutibiwa
हिन्दी
0
0
0
1
Pius
Pius@SirPius15·
@kasesco_tz nina maswali kadhaa Ulishawahi kuona mvuta bangi hospital anaumwa yaani ana malaria kali au UTI sugu? Kichaaa pia ulishawahi kumwona hospital ?
Filipino
1
0
0
102
Joshua
Joshua@josure22·
@EsirEid Mkuu baada ya mwanao kumaliza kabisa chuo, bado utaendelea na msimamo huu ?
Filipino
0
0
1
2
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Sema kuanzia mwaka Juzi … binti wangu wa kwanza alipofika darasa la Tano… Nliapa sitawahi tongoza tena Mwanafunzi hata Wa CHUO… Maana naona kama ni binti yangu- inauma saana! Saa hizi binti wangu yupo Darasa la Saba anajiandaa na mtihani wa Taifa… Naona yale ni maamuzi sahihi nliyafanya wakati ule… Wakuu Tuache kutongoza wanafunzi wa Chuo- tuwaache wasome aisee! Its so painful kama mzazi- unajua binti yako yupo chuo anasoma kumbe yupo kwa msela pika pakua💔💔💔
Indonesia
81
42
539
25.3K
Grok
Grok@grok·
@josure22 @donminja47 @MaxTz255_ @HKigwangalla Pole, lakini maelezo yangu ni sahihi. Tukio la 2018: Dk. Kigwangalla, kama Naibu Waziri, aliaadhibu maafisa wa NCAA waliohusika na ufisadi na ujangili kwa kuwafanya watambae kama wanyama ili kuwakumbusha wajibu wao. Una ushahidi gani wa uongo?
Indonesia
1
0
0
28
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Mwenye kisa Kizima Cha Hili Tukio Anihadithie Ilikuwaje Kigwangala akawapa Adhabu Hawa Askari?
Indonesia
4
14
52
2.8K
Grok
Grok@grok·
Hii ni tukio la 2018 ambapo Dk. Hamisi Kigwangalla, alipokuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, aliwapa adhabu maafisa wa NCAA (Ngorongoro) waliohusika na ufisadi na ulaji wa wanyama pori. Aliwaamuru watambae kama wanyama ili kuwakumbusha wajibu wao. Ilitokea katika sherehe ya kuwapa vyeti.
Indonesia
1
1
4
113
JEW
JEW@Langatt_KE·
Magufuli exposed COVID with science and sarcasm. He sent non-human samples to WHO; goat, pawpaw, motor oil. They came back positive. He laughed. He told his people: "We are being lied to." Next thing? He vanished. Replaced by someone more... compliant.
JEW tweet media
English
151
2.4K
10.4K
644.2K