
Huwezi kupambana na ACT halafu wakati huohuo ukajiita mpinzani wa CCM. Wewe ni silaha ya CCM dhidi ya ACT na unawasaidia CCM washinde uchaguzi kwa kuwambia watanzania wasuse kupiga kura.
Oktoba twende kupi kura #LindaKura
Nawasilisha!
Indonesia
abubakar
81 posts










Maamuzi haya ya Mahakama Kuu ya Tanzania yamemaliza mgogoro wa umiliki wa IPTL. Serikali IUZIKE MZOGA HUU tafadhali. Fedha za Umma TZS 211B kwa mujibu wa CAG, ambazo Bwana Seth anataka kupora tena haziibiki. Watafute mradi mwengine


Karibu msikilize Mwami Ruyagwa.


















Hivi Bawacha ya Chauma inaitwaje?

act wazalendo wana dira ya dhati kwa taifa
