Machalee

7.5K posts

Machalee banner
Machalee

Machalee

@kocoryko

Patriotic 🇹🇿

Africa 🇹🇿 Katılım Şubat 2014
867 Takip Edilen113 Takipçiler
Machalee retweetledi
Basketball Africa League
No doubt about this one! Dar City secure a commanding 100-70 win over Joburg Giants 😤
English
6
19
118
4K
Machalee retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
AFCON na Migogoro ya Uongozi Afrika: Tafsiri ya Sheria Inapochukua Nafasi ya Ukweli Haki na Busara. Uamuzi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuinyang’anya Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na kuutunuku Morocco utaingia katika historia kama moja ya matukio ya kutatanisha zaidi katika michezo barani Afrika. Si kwa sababu sheria imetekelezwa, bali kwa sababu katika kudai kuitekeleza, CAF imeonekana kubadili ukweli na kuuweka katika kile kinachoweza kuitwa hali ya kisheria iliyobuniwa (legal fiction). Tuwe wazi kuhusu ukweli. Senegal haikuacha mchezo kwa maana ya kawaida inayotambulika katika soka. Wachezaji wake walitoka uwanjani kwa muda mfupi kupinga uamuzi, walirejea, wakaendelea na mchezo, na wakaukamilisha. Mwamuzi aliruhusu mchezo uendelee hadi mwisho wake wa kawaida. Senegal ilifunga katika muda wa nyongeza na kushinda. Hata hivyo, CAF sasa inadai kuwa Senegal ilipoteza kwa kuacha mchezo. Hapa ndipo tatizo linaanzia. Katika sheria na michezo, dhana fulani zina maana wazi. Kupoteza kwa kuacha mchezo kunamaanisha kuwa mchezo haukukamilika, kwamba upande mmoja ulikataa kuendelea, na hivyo hakuna matokeo ya uwanjani. Lakini katika tukio hili, mchezo ulikamilika. Matokeo yalipatikana. Yalishuhudiwa na mamilioni. Senegal ikashinda uwandani. Ikapongezwa. Kwa hiyo, uamuzi wa CAF unatutaka tukubali hali mbili zinazokinzana: kwamba Senegal ilicheza na pia haikucheza, ilishinda lakini pia ilipoteza kwa kuondoka. Hii si tafsiri kali tu ya sheria. Ni uundaji wa hadithi ya kisheria, simulizi inayotofautiana na ukweli ulioshuhudiwa ili kuhalalisha uamuzi wa kiutawala. Hadithi za kisheria zina nafasi yake katika sheria. Lakini zinapotumika kubadili matokeo ya wazi na ya umma, zinahatarisha uhalali wenyewe unaokusudiwa kulindwa. Ndiyo maana suala hili linazidi mipaka ya soka. Linaakisi moja kwa moja mgogoro mpana wa uongozi Afrika. Na hata wazee limetushangaza na tukalazimika kuweka neno. Katika taasisi nyingi barani, tunaona mtindo unaojirudia: mamlaka inapopingwa, majibu hayawi ya uwiano bali ya nguvu tena za ziada. Sheria hutumika si tu kurekebisha vijana, bali kuthibitisha mamlaka juu yao. Kukomoa. Hatua ya muda mfupi ya Senegal kutoka uwanjani, iwe ilikuwa sahihi au la, ilikuwa ni changamoto kwa mamlaka. Jibu la CAF likawa si la kukosoa kwa kutoa adhabu stahiki, bali kufuta matokeo ya mchezo na kuwakomoa vijana. Kwa kufanya hivyo, jibu limevuka mstari kati ya nidhamu na kupitiliza kwa kiburi cha mamlaka. Uongozi bora haujengwi tu juu ya sheria, bali juu ya busara. Inahitajika taasisi kutofautisha kati ya kurekebisha tabia na kulinda uaminifu. Faini au adhabu zingine zingeweza kudumisha nidhamu bila kubadili matokeo ya mchezo. Badala yake, CAF imechagua hatua kali zaidi. Matokeo yake ni wazi. Imani inapotea. Kwa mashabiki wa soka Afrika, swali si tena nani alishinda AFCON. Ni kama matokeo ya uwanjani yanaweza kuaminika tena. Ikiwa yanaweza kubadilishwa baadaye kwa tafsiri za kiutawala, basi uadilifu wa mashindano wenyewe unahojiwa. Unakuwa wa mashaka. Kwa maana hii, CAF inaweza kuwa imeshinda hoja ya kisheria, lakini imepoteza kitu muhimu zaidi: Uaminifu na Uhalali wake. Na uaminifu ukipotea, si rahisi kuurudisha. Suala hili sasa litapelekwa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS). Lakini bila kujali matokeo, madhara tayari yameonekana. Soka la Afrika haliwezi kustawi katika maamuzi yanayoonekana kuwa ya kiholela au yasiyo na uwiano na busara. Yanayofutwa na watawala wa taasisi kwa kisingizio cha sheria. Walioshindwa kweli katika tukio hili huenda si Senegal wala Morocco, bali ni AFCON yenyewe. Uhalali wake nahata uadilifu tayari vimetiliwa mashaka na walio wengi. Hata na wazee ambao hatufuatilii michezo kila siku, tukio hili limetugusa. Tukaweka neno. Itambulike kwamba nguvu ya mashindano yoyote iko si tu katika sheria zake, bali katika imani kwamba sheria hizo zitatumika kwa haki na kwa kuendana na ukweli na busara.
Anna Tibaijuka tweet media
Indonesia
73
122
411
25.2K
Machalee retweetledi
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
Imekuwa kawaida kuona Mkristo akimkejeli nabii wa mwisho Mtume Muhammad swala na salamu ziwe juu yake na wengine kumtukana kwa Uongo na Dhulma lakini kamwe huwezi kuta Muislamu anafanya hivyo kwa Nabii Iysaa Yesu amani iwe juu yake kwa sababu ni Kufru kubwa Dini ya Haki Uislamu.
Indonesia
75
11
135
8.3K
Machalee retweetledi
Ujwal Patel
Ujwal Patel@Ujwal_patel21·
@realMaalouf What peaceful religion 💣💥☺️
English
6
12
40
11.2K
Machalee
Machalee@kocoryko·
@chaumma2030 Sawa Chadema tunaijua haya nyie ni kina nani? ANC, FRELIMO?
Filipino
0
0
0
25
CHAUMA DAMUNI✊🏾
CHAUMA DAMUNI✊🏾@chaumma2030·
Sisi Tunafanya Siasa SAMAWATI bila kumbuguzi mtu na wala kutokuafuta huruma kwa wananchi kama chama kile.
Indonesia
14
14
44
4.6K
Machalee
Machalee@kocoryko·
@askariwahovyo @EsirEid Wazayuni hawatapoteza lolote kuwashushia moja Zito Kati yao. Ila wazayuni hawapigi Raia.
Filipino
1
0
1
5
Suleima_japharjr
Suleima_japharjr@sele_jr20·
@HildaNewton21 Mali gani walizo nazo bnah ww acha kuongea uwongo uyo tundu lissu alikuwa Belgium miaka kibao anajua mali zilizopo ndomana ndugu yangu mboye kaa pembeni kawachia ujinga wenu
Indonesia
5
0
4
2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#BreakingNews Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Mhe Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama, wamezuiwa na Jeshi la Polisi kuingia Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa wanaoruhusiwa kuingia mahakamani ni wanahusika na shauri hilo ambao Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika, Bodi ya Wadhamani ya Chama na Mhe. @TunduALissu.
Indonesia
14
137
625
30K
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Chakuma ni chama cha haki,democracy na kinafuta sheria na kina wanasheria. Jamaa ametumia haki sheria, democracy amepeleka malalamiko yake Mahakamani ili apate haki yake. Kwanini msiiachie Mahakama itoe huamuzi?
BARADHULI🇹🇿 tweet media
Indonesia
7
13
39
1.8K
Machalee retweetledi
Drew Pavlou 🇦🇺🇺🇸🇺🇦🇹🇼
Today I decided to download the Ayatollah Khomenei's manual of Islamic law, the Tahrir al-Wasilah. Page 229, Volume 3: ''Intercourse with a woman is not allowed unless she attains the age of nine years, regardless whether the marriage is permanent or temporary. There is, however, no objection in other sexual enjoyments like touching lasciviously, hugging and rubbing the thighs, even with a suckling infant.''
Drew Pavlou 🇦🇺🇺🇸🇺🇦🇹🇼 tweet mediaDrew Pavlou 🇦🇺🇺🇸🇺🇦🇹🇼 tweet media
English
3.6K
14.5K
42.7K
4.3M
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
Mkikaza fuvu kwamba mnajua sana sheria, jamaa huyu atatoboa 2030 na atanyongwa
Dr Kwala Liwengo tweet media
Filipino
225
9
222
34.2K
Machalee
Machalee@kocoryko·
@NNgabu_ Kwanini muda wote huo yuko uraiani, unajua tunaikataa mifumo mibovu ni pamoja na hilo la kusema na yeye ameua sana ndio maana.
Indonesia
0
0
0
2
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
@kocoryko Bloodthirsty Labda majambazi wenzie. Hata yeye Banjoo kaua sana
Eesti
1
0
0
9
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
1. Paul alikua RC na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Chuga. Aache kushughulikia then amshughulikie now? 2. Kwa kusema "Haukuwa threat to that extent" unakubali kuwa alikua threat to some extent. Si ndio? 3. Ni mzigo gani Banjoo alikua anapitisha airport? Alikua anapitisha kihalali au kwa magendo? Kubali tu mnamtetea Banjoo kwa sababu ya ajenda zenu ila kwa bahati mbaya wanaomjua wamemkataa propaganda zenu na wanasema ukweli kuhusu jamaa😂😂😂
Hasta La Victoria Siempre@Oktoba29

Haukuwa threat to that extent, ni ujinga tu wa Paulo na Dully pale airport wanataka wapitishe mizigo kimonopoly. Rest easy man.

Filipino
7
3
9
4.9K
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI - SASA PATA UKWELI 👇🏿 katika Mkutano wa African Union (au), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hawezi kutambulishwa kama rais mpya kama ilivyofanywa kwa marais wa Gabon, Namibia na Seychelles kwa sababu wao ni viongozi wapya waliochaguliwa na si anayeendelea na muhula wa pili. Kwa upande wa Rais Samia, tayari alishawahi kutambulishwa katika mkutano uliopita baada ya kuapishwa na kupokea kijiti cha uongozi kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (JPM). hivyo, si sahihi kumtambulisha tena kama Rais mpya katika mkutano huu wakati yeye anaendelea na Muhula wake wa pili wa uongozi wake sio Rais mpya.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Filipino
15
13
21
4.1K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Naona CHADEMA wanapush ajenda ya Maridhiano Kimkakati... Kwa Ground mambo ni mazito sana!!!
Filipino
52
11
101
14.9K
Machalee retweetledi
Infodex
Infodex@infodexx·
Birthplace of Major Religions: 🇮🇱 Christianity - Israel 🇸🇦 Islam - Saudi Arabia 🇮🇳 Hinduism - India 🇮🇱 Judaism - Israel 🇨🇳 Confucianism - China 🇯🇵 Shinto - Japan 🇮🇷 Zoroastrianism - Iran 🇮🇳 Buddhism - India 🇨🇳 Taoism - China 🇮🇳 Jainism - India 🇮🇷 Bahá’í Faith - Iran 🇮🇳 Sikhism - India
Infodex tweet mediaInfodex tweet media
Filipino
30
33
457
59.8K