Jaguar☄️

15.6K posts

Jaguar☄️ banner
Jaguar☄️

Jaguar☄️

@leotena111

Spana Ziendelee

Amsterdam, The Netherlands Katılım Şubat 2021
568 Takip Edilen601 Takipçiler
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Azam Media ili kuleta chachu kwenyw radio yao ya UFM, wangefanya rebranding ya jina kutoka UFM kwenda Azam FM kisha wakaboresha muonekano wa studio kuwa wakisasa wangetisha sana. Kwanza ingesaidia sana watu wengi kuijua na kuiamini kwa mara ya kwanza sababu ya jina ‘Azam’.
Filipino
47
35
669
19K
Toyosi Michael Oyejobi
Toyosi Michael Oyejobi@toyosioyejobi·
@kay_z67 To be honest 1999 till date has been something of a transition, everything has gone so fast. It's clear that we are definitely in the end times
English
1
0
3
810
Jaguar☄️ retweetledi
kayz3d
kayz3d@kay_z67·
I wonder how people felt at 11:59 p.m. of dec. 1999 before crossing over to the year 2000.
English
3.9K
5.9K
60.2K
1.9M
Ye🦍🦍
Ye🦍🦍@Carnivorous_07·
@2Ndulisu @joeselasini Ivi apa anapata zile stahiki zote za safari kama mtumishi wa umma? Posho za safari, malazi ,n.k?
2
1
5
326
Godwin Rwiza
Godwin Rwiza@GodwinRwiza5·
@iamNehemia MsingI wa nchi ulijengwa ktk kudhamini wakulima na wafanyakazi,uwekezaji binafsi haukupewa thamani na mpaka leo sera hazijabadilikaga japo zinasemwa mdomoni,wenzetu waliolelewa na upebari wanajua maana ya fursa na hawazichezei,mfumo ndo tatizo
Indonesia
1
0
1
136
Jaguar☄️ retweetledi
Liber Nehemiæ
Liber Nehemiæ@iamNehemia·
Samsung alikuja kujenga industrial park in Tanzania Tukajizungusha. NALA was about to put HQ in Tanzania Tukajizungusha. Celtel was to put it's HQ for Africa in Tanzania Tukajizungusha. VW was to put an assembly plant in Tanzania Tukajizungusha. List ni ndefu sana, So it's concerned people Wana shindwa kufanya maamuzi, au sera zetu zina changamoto, au nini kinatu - kwamisha. Naomba kueleweshwa?🤔
Liber Nehemiæ tweet media
Suomi
138
95
741
55.1K
Nelson
Nelson@NellyB52·
@iamNehemia Acha ushamba we unafikiri dunia ya sasa mnataka afunguwe kiwanda ili tu atoe ajira? Hiv mnajua mnayoyataka kwenye hayo madeal au mpo kuandika tu tweets? Kwamba samsung akifungua kiwanda Bongo simu itauzwa sh 5K? What do you real want from these deals mana hata ikisainiwa hufaidik
Indonesia
2
0
0
77
Jaguar☄️ retweetledi
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Pale ig kuna “ Bingwa wa magari used” alafu kuna “Mgaya motors”. Kama ni mitaa hapo kuna Chanika vs Mbezi Beach.😅🙌🏿
Filipino
4
14
137
7.9K
Jaguar☄️ retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Vijana wadogo tu pesa wanatoa wapi unashangaa janja ako na 24 tu ana mradi wa kulima mpunga na kukoboa (mashine zake) mwingine anachenjua dhahabu mashine zake Yaani inakuwaje kuwaje majanja wa 20yrs tu wana investment hadi za bilioni mbili. 😂Mbona wengine hatuna hata mashine ya kukamua juisi ya miwa ni Mungu ametutenga au tuibiane siri🙌
Indonesia
31
38
179
3.8K
Jaguar☄️ retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Unakuta mtu amefanya kazi zaidi ya miaka 30, every morning alikuwa anaamka kwenda kazini faithfully… Lakini anapostaafu, hali yake ya maisha bado ni ya kawaida sana , wengine wanaomba hadi msaada . Hivi shida huwa ni nini ?
Filipino
17
29
206
10.1K
Jaguar☄️ retweetledi
Zhao DaShuai 东北进修🇨🇳 Commentary
President Xi giving a tour of the exclusive backyard in Zhongnanhai (a side palace to emperors of old, now a residence of the leaders of China). As Xi have mentioned, he rarely take foreign visitors to this part of Chinese leader's living quarters.
English
82
580
4.7K
196.4K
Jaguar☄️ retweetledi
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
Who has tried TTCL's fibre WiFi? Recommend or not?
English
33
6
155
17.4K
Jaguar☄️ retweetledi
Isack Mathew Ilamlila
Isack Mathew Ilamlila@IsackIlamlila·
Nyuma ya Mwanaume Yeyote Aliyefanikiwa Kuna Wanawake Wengi Aliowanyima Hela.. Kaza🔥🔥🔥 😂😂😂
Indonesia
17
65
453
7.8K
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Broo Miaka 3 Ijayo Utakua na Familia yako kwenye Nyumba yenu Mpya Uku Ukitizama Salio lako la Benki lenye 6 figure.. Usichoke Muamini Mungu na Endelea Kupambana.
Indonesia
44
154
857
9.9K
Jaguar☄️ retweetledi
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
Unasemaje unataka kuwa na uchumi wa dola Trilioni 1 kutoka uchumi wa dola Bilioni 78, investment ya Trilioni karibu 40 inakuja, halafu unayumba yumba, huna kauli. Sasa tutaweza nini?
Indonesia
19
22
193
6.5K
Jaguar☄️ retweetledi
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
ZXX
22.1K
45K
435.9K
78.9M
Jaguar☄️ retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Nimeona Ile video wachina wamejazana kulicheki lile ndege linalobeba mizigo C-17 Globemaster III ambalo limeshusha magari yote ya Msafara wa Trump China. Wamarekani wanalalamika kwanini wameruhusiwa kusogelea kiasi kikubwa Vile 😁
Filipino
13
17
605
79.4K
Jaguar☄️ retweetledi
.
.@Fimiye·
One day we’re gonna have to watch an ad before they let us answer the phone.
English
503
11.3K
73.1K
749.4K
Jaguar☄️ retweetledi
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Tanzania kubwa tu ukiwa una tafuta maisha ila ukiwa unasakwa na jamhuri ni ndogo kishenzi 😅😅😅
Filipino
37
65
623
17.3K
Jaguar☄️ retweetledi
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Kuna “ngumi za pua” zimepigwa na Gen Z yaani ukizitafakari ni ukweli mtupu. Nimecheka sana ile ya home wakipika wali lazima uoge mapema 😂😂🙌🏾
Filipino
24
35
334
10.4K