Ye🦍🦍
2.1K posts

Ye🦍🦍
@Carnivorous_07
Scientist🔬 Medical & Health Expert
Texas, USA🇺🇸 Katılım Kasım 2017
595 Takip Edilen149 Takipçiler

@TonnyUnfiltered @fintanjr_ Nimeajiriwa Taasisi moja ivi salary 3.5M monthly , Volontia anakunja 1.5M monthly , wife ana qualification ya kupata ata voluntear pale ila sijawahi kumsanua maana najua ndo utakua mwanzo wa Ndoa yangu kuaribika ! Huwa nafurahia ninavomoa huduma na heshma alio nayo sasa😀✋
Indonesia

@Juveh27 @FamWorld2025 Mtu analia kumbe unawaza atakulaje ugali dagaa mchele😀✋
Indonesia

@FamWorld2025 Hakuna upendo after death bhn , huwa mnawazaga misoto tu mtu akishakata kamba😀😀😀
Filipino

@Carnivorous_07 unafikiri kila kitu ni pesa? hapo ndo akili yako ilipoishia? umaskini wako unafkiri kila mtu anao sio?
Indonesia

@ravuway @mentor209 University mnazo ngap apo kwenu? Mpaka leo 2026
Indonesia

@Carnivorous_07 @mentor209 Sidhani hata kama una akili timamu.
Kiswahili nacho ni shida.
In short unatumia ubongo km decoration ya kichwani.
Indonesia

@MrDepalitto9 Kasome life cycle zote mbili, sio unaamka tu unaanza kuandika usenge usenge
Filipino

@ravuway @mentor209 Nan mwenye akili timamu aje ajenge chuo sehemu watoto shule sio kipaumbele? 😀😀😀 uko madrasa bdo sehumu yake ila mjue madrasa sio chuo
Filipino

@Carnivorous_07 @mentor209 Ukiendelea kufikiri kidogo tu kwa umakini utaelewa kwanini vyuo viko Tanganyika sio Zenji.
Utaelewa tu, gulagula wewe.
Indonesia

@DKabugumila @RahmaMwita @ObBi_5 @EpifanJose82051 Hawana uwezo wa kudeal na mambo ya msingi uncle 😀 hayo majukumu sio yao
Indonesia

@RahmaMwita @ObBi_5 @EpifanJose82051 Umeulizwa kuhusu kulinda kura.....wewe unajubu kuhusu waliosema hakutakua na uchaguzi??!!! Kama siyo kukkoswa akili ni nini??!!!
Mnavyoji'postion ndivyo mnavyoonesha chama chenu ni CCM-B,na ndiyo uhalisia mko hivyo. Badala ya ku'deal na mambo ya msingi mnawas7gua wenzenu.
Indonesia

@ravuway @mentor209 Zenji akili zao mdogo sana ! Vyuo vya kati vya private vimejaa sana madogo wa humo 😀😀😀 ni wateja wazuri sana wa vyuo vya kati huku tanganyika kea corse zinazoitaji D 2 tu
हिन्दी

@mentor209 Kazi nyingi za kipato duni, nchi zote duniani, zinafanywa na wageni.
Hafu sema kazi za vibarua sio ujenzi.
Na elimu ndogo Zenji ni form four.

@Kabelele_ @Roma_Mkatoliki Mzee kama ilo lingekua linawezekana asingekubali kufanya hivyo! Nadhani kuamua kumhudumia mama yake kwa karibu kiasi cha kumuogesha bhs hiyo ndo last option aliobak nayo ! LIFE✋🧨
Indonesia

@Roma_Mkatoliki Homeboy angetafuta Nesi amuajiri amlipe aisee hapo anazingua. Kuona na kushika tupu ya mzazi wako ni LAANA.
Suomi

Homeboy anamuuguza mama yake, hakuna ndugu wala majirani wa kumsaidia.
Alizaliwa peke yake kwao hakuna hata mtoto wa kike na homeboy hana hata mke wa kumsaidia.
Mama hali mbaya ni wa kubeba kutoa nje na kurudisha ndani na kujisaidia hapo hapo kila kitu!!
Naam, homeboy anafumba macho anaangalia pembeni huku anamuogesha mama yake…..
Yes you heard me right anamuogesha mama yake, inamuumiza lakini ndio mitihani ya dunia!!
Homeboy anambadilisha mama yake pampas, kama ambavyo mama alimbadilisha yeye akiwa kichanga!!
#LIFE 🤲
Filipino

@MapundaSimba @Mikumifinest Ni kodi zetu kaka unless kama hulipi kodi
Eesti

@Mikumifinest Omba Mungu Uwanja wa Taifa uwe umekalika kujengwa na Serikali ya Samia.
Nyie wapuuzi uwa hamna pumzi lakini mnapenda kukimbia marathon
Indonesia

Sio kila kitu cha kupinga,,, yuko SAHIHI
Au mkubwa unaona sawa MKE wako kwenda KUANGALIWA njia kama imetanuka au bado??
Peter Madeleka@PMadeleka
Hicho 👇 ndiyo KIPAUMBELE cha MBUNGE.😂😂
Filipino

@Addy_Adams Labda sio medicine , Nendeni tu kwa mwamposa mkaombewe
Indonesia

@ShabaniKandege @PMadeleka 😀😀😀Watavua sana mkuu , wakinaga na mabaibui wanaanza kutoa moja baada ya nyingine adi wanachosha
Indonesia

@PMadeleka Kwa dini kama usilam ni haramu kuvua nguo kama sio mumeo.....haya mambo huwezi kuyakta Iran
Filipino

@DKabugumila @MwansasuSnr Binafsi ukifikiria maumivu aliopitia wakati anakatwa kichwa kama
Bado alikua hai inaumiza sana sasa mama ake mzazi akitafakari ilo anaumia kiasi gani?
Indonesia

@MwansasuSnr Yule mama ni wa kukaa nae kwa ukaribu sana hasa kipindi hiki,vinginevyo naye watampoteza kwa simanzi. Maana si tu kwamba anajiuliza marehemu mwanae kafanya nini kustahili hayo masaibu bali anajiuliza sana yeye kama mama alimkosea nini na wapi Mungu kijana wake kupatwa na hayo.
Indonesia

@Kingdom199595 @madeinmusoma @Mwanachuo_tl Haishuki M1 baada ya makato ya bank? Unazungumzia mwanajeshi wa aina gani hawa wenye V moja? Anakua na mshahara wa milioni ngap uyo mwanetu?😀😀😀✋
Indonesia

@madeinmusoma @Mwanachuo_tl Mwanajeshi alieanza kazi miaka mitatu mwenye diploma anakopa mpka 80M na hela yake haishuki kwny M1
HT

@kasesco_tz Hakuna mtumishi hayupo apa dsm kimuundo wa kiserikali😀, Nikujuze Wilaya ya kinondoni ina Afisa Nyuki daraja la II
Indonesia














